Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Niliposoma story ya maisha ya lemutuz ndo nikaona tofauti kati ya Nigers na wazungu. Anakwambia watu weusi bado hawajapewa uhuru wa kifikra. Ndo nnacho kwa huyu jamaa hapa. Hata trump anavotutukana ni dhahiri bado watu weusi hatujaonyesha uwezo wa kuwaonyesha wazungu vitu vya maana tunavyofikiria, zaidi ya kuvaa na kuendesha magali.
Ila cha ajabu trump huyo huyo unayemuona ni GREAT THINKER mkewe alilipwa pesa ili apige picha za uchi mwaka 2006 kwa ajili ya magazine moja huko marekani,na trump alifurahi sana na akaomba hizo picha aziweke ofisini kwake.

Shithole Trump.
 
20180212_081416.png
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Kwa mfano mwingine akakwambia mwanaume mzima na familia yako kuishi kwenye nyumba ya kupabga ni aibu sijui utasemaje? Zombie elewa tunapishana vipaumbele! Mavi.jana ya siku hizi hamna akili mnakimbilia magari!
 
Kama mwanamme anaweza kuwapa wanawe chakula cha kutosha. Kuwavisha na kuwasomesha. Kuwapa pakulala pazuri. Mengine ni ziada na siyo muhimu.
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Duh kumbe ni aibu pia??

Aisee

Na Mimi ambaye sina nyota ya kupat hela ya kununulia gari?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Akili zako cjui unawaza nini, gari ni sehemu ya starehe tu si lazima
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Na wote wakiwa nayo hayo magari unadhani itakuwaje???
Nadhani utakuja na uzi kwani lazima kila mtu awe na gari??
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.

Hivi umeshawahi kujiuliza tu swali dogo kama endapo Sisi sote tungekuwa Matajiri ingekuwaje? Classes hajizaanzia tu hapa Duniani bali hata katika Uumbaji wake Mwenyezi Mungu tayari aliweka na ndiyo maana unaweza kuona kwamba Wanadamu wote hatunafani Kimaisha na ndiyo maana hata tunaheshimiana na tunategemeana 24/7.

Kwa mfano kuna uwongo ambao kila mara huwa nausikia kutoka kwa baadhi ya Vijana na hata Watu wazima kuwa sijui ukiwa na Gari unakuwa na uwezo wa Kuwangono / Kuwabaioloji sana Wanawake / Mademu tena wakali / wazuri kuliko yule ambaye hana sasa cha Kushangaza Mimi achilia mbali tu kutokuwa na Gari ila hata Baiskeli tu sina lakini nawabandua / nawakanyaga Wanawake / Mademu kuliko hata hao wenye Magari yao na kuna ambao pia hunifuata kuniuliza huwa natumia nini kuwapata na jibu langu huwa ni rahisi tu kwamba nimebobea zaidi katika Propaganda Hai ambayo Wanawake / Mademu wengi huwa wanaipenda na wakikutana na Mtu anayoijulia kama Mimi basi wengi wao hujikuta tu wananisalulia / wananivulia wenyewe Vyupi zao na nawachapa nao Mkuyenge wangu.
 
Back
Top Bottom