Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,593
Cheee
Another bullshit
A lot of em today.
Cheee
Another bullshit
ha ha ha a ha mkuu umenichekesha watu wana fake maisha sanahahahaaa ukiyachukulia serious kila matukio yanayotokea humu au kwenye hiz social network utakuja kudata ..ishi maisha yako mkuu
Self esteem issueZa leo ndugu zangu,
Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?
Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.
Aibu sana.
Sawa, lakini vp uwe na gari halafu unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwingine?Za leo ndugu zangu,
Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?
Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.
Aibu sana.
mtihani sana .mkuuha ha ha a ha mkuu umenichekesha watu wana fake maisha sana
asante ..jikubàli kwanza wewe hvyo ndivyo unavyopaswa kufnya kama ulivyosemaSina nyumba sina gari, sina kitu ninachomiliki ila life naona liko poa tu
ficha upuuzi wako basi. hakuna apendaye shida mkuu.Za leo ndugu zangu,
Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?
Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.
Aibu sana.
Nafanya kazi ambayo nina usafiri hivyo sijaona umuhimu wa kuongeza matumizi na nimezijenga kwa pesa zangu na kumwezesha marehemu baba yangu kupata mahali pema pa kupumzika ila sijamiliki gari hata siku moja na sina hamu. Sikurithishwa chochote zaidi ya library yake.Kusema unamiliki miti mitatu ya maembe (nyumba tatu) halafu huna embe hata moja (gari) kwangu naona ni kwamba hizo nyumba ni za urithi.
Climate changes hata trump anaipinga mkuu.Baba yangu alifariki akimiliki baiskeli nzee na aliheshimika mpaka nje ya vijiji jirani, mimi sina gari na sijawahi miliki gari lakini nina nyumba tatu. Gari na nyumba kipi mhimu kwako? Kuning'inia kwenye dala ni kitu cha kawaida ndugu. Hata fast train huwa zinajaa watu mnabanana kama ndizi ingawa wote mna uwezo wa kumiliki gari ila priority kwanza. Hata wenye magari wanayapark wanapanda usafiri wa umma kama wabunge UK unafikiri hawawezi endesha magari au hawana madriver? Nyinyi ndo mnapinga climate changes sababu hamjui hasara ya kuwa na gari tena huku kwetu ambapo exhaust hazipimwi kama zinatoa moshi. Pole ndugu.