Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Mwanaume kuwa na gari halafu anaishi kwenye shimo/pango kama fuko ni aibu zaidi,believe me!![emoji30][emoji30][emoji30]
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Hahaha kwani wanaume wanaishi gongo la mboto?! Wanaume wanaishi city center, mikocheni, masaki, oysterbay, mbezi beach na mbweni.
Unaishi gongo la mboto kwanini, city center unaogopa nini?!
 
Nafanya kazi ambayo nina usafiri hivyo sijaona umuhimu wa kuongeza matumizi na nimezijenga kwa pesa zangu na kumwezesha marehemu baba yangu kupata mahali pema pa kupumzika ila sijamiliki gari hata siku moja na sina hamu. Sikurithishwa chochote zaidi ya library yake.
Mtegemea cha ndugu (gari ya kazini), hufa masikini.
 
Nafanya kazi ambayo nina usafiri hivyo sijaona umuhimu wa kuongeza matumizi na nimezijenga kwa pesa zangu na kumwezesha marehemu baba yangu kupata mahali pema pa kupumzika ila sijamiliki gari hata siku moja na sina hamu. Sikurithishwa chochote zaidi ya library yake.
Na pia inawezekana hizo nyumba ni za poor quality sana, labda ukiuza zote tatu hununui hata Harrier moja
 
Baba yangu alifariki akimiliki baiskeli nzee na aliheshimika mpaka nje ya vijiji jirani, mimi sina gari na sijawahi miliki gari lakini nina nyumba tatu. Gari na nyumba kipi mhimu kwako? Kuning'inia kwenye dala ni kitu cha kawaida ndugu. Hata fast train huwa zinajaa watu mnabanana kama ndizi ingawa wote mna uwezo wa kumiliki gari ila priority kwanza. Hata wenye magari wanayapark wanapanda usafiri wa umma kama wabunge UK unafikiri hawawezi endesha magari au hawana madriver? Nyinyi ndo mnapinga climate changes sababu hamjui hasara ya kuwa na gari tena huku kwetu ambapo exhaust hazipimwi kama zinatoa moshi. Pole ndugu.
Kwa nini usiuze nyumba moja ukanunua gari,ili uwe na nyumba mbili na gari moja.....ama mpaka nyumba zifike kumi?
 
Unafikiri kwa kutumia Shithole ndugu.
Gari ni muhimu lakini sio kipimo cha kumdharau mwanaume...usiwe kama Kenge jike
 
Za leo ndugu zangu,

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
Sio rahisi Mwanadamu kukuelewa kwa haya uliyoyasema, lakini Mwenye enzi Mungu ameshakuelewa.
 
Back
Top Bottom