Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,651
Duh kama nakuona unavyoikimbia mvua [emoji16][emoji16][emoji16]Naamini ni wewe pekee unayehusisha Public transport na umaskini....silly goose!
Duh kama nakuona unavyoikimbia mvua [emoji16][emoji16][emoji16]Naamini ni wewe pekee unayehusisha Public transport na umaskini....silly goose!
Ila tuache utani jamani.... mwanaume kukimbia mvua na demu ni soo!!Mi mwenyewe nataka mwenye gari.
Hahahaaa. Ni soo lakini ndo maisha. Wote hamuwezi kuwa na magariIla tuache utani jamani.... mwanaume kukimbia mvua na demu ni soo!!
Yeah Hilo nakubali kama ambavyo wote hamuwezi kuwa na nyumba!! Ila daah povu la hapa limenifanya niwajue waoga vumbi na wakimbia mvua! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa. Ni soo lakini ndo maisha. Wote hamuwezi kuwa na magari
Ila cha ajabu trump huyo huyo unayemuona ni GREAT THINKER mkewe alilipwa pesa ili apige picha za uchi mwaka 2006 kwa ajili ya magazine moja huko marekani,na trump alifurahi sana na akaomba hizo picha aziweke ofisini kwake.
Shithole Trump.
Sawa kabisa wote ni shitholes tu.Me cjasema Trump ni great thinker, na kupiga picha za uchi ni mambo binafsi ya mtu kwan miss world c wanatukaliga uchi tu kwan c ni buzness tu. Ukienda ufukweni watu wapo uchi n no body cares. Mwanamke anaweza akawa unavaa hijabu hadi kufunika mikono lkn km anavuliwa chupi na wanaume tofauti tofauti, huyo ni mkaa uchi tu. Kupiga hzo pcha km kwa utamaduni wao co vibaya haina shida. Labda km alimsaliti mumewe.
By Nelson Mandera"Kizazi cha sasa kinapaswa kifahamu kwamba kuwa na gari sio mafanikio au utajiri na kutembea kwa miguu sio umaskini"
Nelson Mandela
Mkuu we hujavuta Ka Volvo hapo [emoji4]inategemea na shida ya usafiri sehemu husika ....kama uku kwetu scandinavia treni zipo 24/7 ,baiskeli ndo rahisi kabisa!
By Nelson Mandera
Nimejikuta nacheka tu !Za leo ndugu zangu,
Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?
Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.
Aibu sana.
Kila mtu akiwa na gari nani atapanda hayo mabus?Za leo ndugu zangu,
Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?
Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.
Aibu sana.
cc: mwifwaNa pia inawezekana hizo nyumba ni za poor quality sana, labda ukiuza zote tatu hununui hata Harrier moja
Limbukeni wahed!Za leo ndugu zangu,
Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?
Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.
Aibu sana.