Mwanaume anapodanganywa na msichana

Mtachomolewa mpaka akili zikae sawa...tatizo ni kuwa....wanaume wengi wa kitz hawajui mambo ya platonic, yaani ni urafiki bila na kuwa na vigezo vya kimapenzi. Mkiona mdada kakuchangamkia basi...wazo liko kwenye kufuli dunia haiendi hivyo

Aisee kama ni hivyo mimi nilishaathirika maana mwanamke akichart especcially at night tayari naanza kumvutia picha umbile lake na akivua pants anakuaje kuaje vile...naanza kufanya mikakati ya kumvuta mahali.
 

Mkuu una technique kaa mbali na vibinti
 

Mkuu samahani lakini huu wako ni uboya,uzembe na upumbavu mkubwa kumvulia hadi boxer mwanamke na usimgonge,na mpo wote kitandani...halafu unalala naye mpk asbh? Mimi ningeondoka hata kama ni usiku wa saa 8,kama una gari washa usepe zako au chukua tax kafuate manz mwingine mwache huyo hapo.
-Na tena ulioga naye means mlikuwa naked wote...Aisee usiiseme hii mbele ya wanaume ni aibu na ajabu flani hivi boss.
 

mkuu hapakuwa na haja ya kupoteza mda alichokosea ni kutanguliza hisia zake mbele huku akiziacha za mwanamke nyuma.

Huyo mwanamke alitakiwa atekwe kihisia,,
 
Mimi yote hayo la kwanza hadi la 4 yamenikuta i confess,hivi hua inasababishwa na nini?naomba na wewe unijibu kiutaalamu na ufasaha kama mwenzio nilivyokiri ili niongeze mbinu na efficiency ya utongozaji na ufanikishji Zinduna
Am waiting

Mwekundu umeongea kwa uchungu sana,...you make my day!
 
Mimi imenitokea namba 4. Ndiyo maana Mimi huwa nasema mwanamke awe ajabu la nane la dunia looo!
 
Mr Rocky hata wewe uliuvaa mkenge. mwee!

Kusema kweli sio fair, hawa viumbe hawapaswi kututengenezea mazingira ya kuwadoea then wakatutolea nje. Urafiki unamipaka.

Mbaya zaidi hawaheshimu hisia zetu, wengi wao hawana njia mzuri za kumkataa mtu huyo, mtu anakujibu jibu la maudhi kupata usingizi hadi ujibust, mkionana confidence inarange kwenye 20% na kushuka chini. teh teh teh!
:focus:

Tena rafiki uliwajibu vipi walipokuuliza kuhusu kupungua ukaribu wenu?
 
Last edited by a moderator:
watu wazma tumeshaelewa,,,,, nafkiri hapo ukawa unauliza ww S.... Unataka nn? Huku unatanua upaja kidogo kidogo..... Jaman S... Subir kwanza basi nivue mwenyew wakat huo unaruhusu anavyokuvua... Mpaka ukajikuta joka limeingia shimon hahahaaaa!

Ni sheeeder .........ha ha ha.......aiseee......

Miss you S......wherever you are.......gadem Los Dias dulce..........
 

Kwahiyo siku zote hizi ulikuwa unanizuga? Sitaki kuamini hii ndoto.
 
Kwahiyo siku zote hizi ulikuwa unanizuga? Sitaki kuamini hii ndoto.

Jamani urafiki mimi na wewe umeanza lini Asprin???? wewe mume wa ujana wangu umeanza kujifanya ni kijana kwamba bado tupo kwenye process za urafiki, sitaki kuamini aisee!!!!
 
Jamani urafiki mimi na wewe umeanza lini Asprin???? wewe mume wa ujana wangu umeanza kujifanya ni kijana kwamba bado tupo kwenye process za urafiki, sitaki kuamini aisee!!!!

Sitaki kusikia una urafiki na kiumbe kiwacho chochote cha jinsia ya kiume. Wivu wangu mpaka kwa kaka zako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…