silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,987
Haaaaaaaaaaaaa nimecheka sana zote hizo, lol ila wanaume mmezidi mmnajua ss ke, especially tunaopenda uchesi tunaeleweka visivyo, ila nilichojifunza hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke kabisa, kila rafiki wa kawaida wa kiume alinigeukia mwisho wa siku tunapoteza urafiki wote
Ilinitokea kwa rafiki wa kaka yangu tulizoeana sana kwani ofic zetu zilikuwa karibu, alikuwa ananisaidia mambo mengi ya kikazi ilienda hivyo kwa miaka 2 na nusu,tulifika hatua anitoa out ananirudisha vizuri home, tunapeana maushauri kibao ya maisha, loool kilichotokea sasa, wanaume wengi niliowachukulia friends waliponitongoza tu ilikuwa balaa na mwisho wa urafiki, huyu sasa siku mm ndiyo nilimtoa out kumshukuru kunisaidia jambo fulani la kizazi,kama mnavyotujua wahasibu kwa kuharibu,kweli alinisaidia sana, baada ya dinner tulitumia usafiri wake, tukiwa tunarudi home story,kucheka kwa sana gafla akasimamisha gari sehemu nzuri akasema kuna kitu anataka kunionesha, mmmh alinishika uso na makiss kibao, daah hadi leo sikuelewa ilikuwaje, tukaishia kusex kwake, hadi leo ni mtu wangu, hatukutongozana, na tunapendana sana
Alikuwa sawa, sasa mwanamke umeshazoeana naye na mna ukaribu sana unaanza kujiumauma kutongoza. Tengeneza mazingira ya kumgegeda mengine yatajiseti.