Mwanaume anapodanganywa na msichana

Mwanaume anapodanganywa na msichana

Hebu wanaume leo mnipe ushuhuda, kama hamjawahi kukutana na hiki kizungumkuti cha wanawake.

1.
Unakutana na binti anakuchangamkia na kila mnapokutana anakusalimia kwa bashasha huku akikupa tabasamu maridhawa linalokushawishi kumtongoza kutokana na kuvutiwa naye, lakini unapothubutu kumwambia ya moyoni anakutolea nje kifedhuli kiasi cha kukuumiza moyo wako

2. Inatokea kila asubuhi uendapo kazini na urudipo kazini unakutana na binti huyu mnayeishi naye mtaa mmoja na kila mkutanapo anakutupia macho ya mahaba huku akikusalimu kwa heshima na upendo, mara mojamoja mnapata fursa ya kuongea mawili matatu kuhusu maisha na pilika za mjini na anaonekana kuvutiwa na wewe kwa jinsi unavyozungumza naye kwa upendo,anaonekana dhahiri kukupenda na haachi kujipitisha pitisha pale inapotokea uko kibarazani kwako ukipunga upepo, moyo unakulipuka kwa mapenzi unaona huyu ndiye, lakini unapojaribu kumtupia nyavu anachomoa na kukupotezea mazima humuoni tena na anaanza kukukwepa. Unajikuta ukijiuliza huyu mwanamke ni mzima kweli au ana wazimu?

3. Mnakutana kwenye Party au Klabu, wakati wakucheza mziki anakufuata na kukuomba mcheze,unapocheza naye anakuchezea kwa manjonjo ya kimahaba huku akikushika shika nakukugeuzia makalio yake na ma hipps yaliyojazia jazia na wewe ukipata fursa yakuyashika na kuufurahia utukufu wa Muumba kiasi cha kusababisha maumbile yako ya chini kututumka kwa ashki na tamaa ya kimwili huku akili yako ikikwambia,’leo lazima nikaufaidi huu utukufu wa Mungu.’ Mara muda wa kufunga mziki umefika na kwa kuwa ni usiku wa manane kila mmoja sasa anatoka kutafuta usafiri wa kurudi kwake. Ukiwa umefuatana naye kutoka nje ya Klabu huku ukijiamini utamudu kumshawishi uondoke naye kwenye Ki Vitz chako cha mkopo, mara anakuonyesha jamaa aliyepaki Toyota MarkX akimsubirina anakujulisha,

‘Yule ni mpenzi wangu amenifuata, ahsante kwa kampani, uwe na usiku mwema…!‘

Anakuaga hivyo na kukuacha ukiwa umeduwaa. Unabaki ukisaga meno na kung’ata midomo kwa hasira……

4.
Mnafanya kazi katika jengo moja, na mara kwa mara mnakutana kwenye mghahawa kwa chakula cha mchana na wakati mwingine kwa evening coffee, wewe unakuwa ni mtu wa utani mwingi na masighara, na kila unapofanya utani anacheka na anaonekana kuufurahia utani wako na pia anaonekana kuvutiwa na uwepo wako kila mnapokutana, kwa kifupi ni kwamba anaonekana dhahiri kukupenda. Jambo hilo linakufanya utake kumvuta ili awe mpenzi wako, si kajilengesha…! Unapojaribu kumuomba mtoko ili upate wasaa wa kumtongoza anakutolea nje na kukwambia hayuko interested na wewe… unabaki unashikwa na mshangao, ni kitu gani hiki kinakutokea…

Hebu wanaume nipeni mauzoefu yenu kama mlishawahi kukutana na moja kati ya hivi visirani nilivyovieleza hapo juu

CC:
Kaizer, Asprin Kiranga The Boss, Nyani Ngabu, Mwita Maranya, Preta, snowhite, gfsonwin, King'ast, Ruttashobolwa, lara 1

Mkuje mtoe maushuhuda yenyu

Wanajaribisha soko, hivyo huwa sishangai!!!
 
Nimewagegeda rafiki zangu wa kike kama wanne hivi kwa mbinu hii,unampa uhuru akuzowee had anakuja geto mwenyewe
kinachofata inakuwa ni "tap in" katika football.

Nilimgegeda rafiki yangu kwa mtindo huo huo, afu baada ya hapo akavunja urafiki, saiz tumebaki kusalimiana tu jujuu
 
Ila ni kweli kabisa some men are ignorant when it comes to approaching women,sasa how comes mtu anaanza kukurupuka na kuanza kumvua mtu pant yake iviivi kabla mtt hajalainika na ukijua fika kuwa wanawake wana aibu,yaani mpaka ukiona mwanamke anavua au unamvua pant yake bila kipingamizi ujue hapo nyege zimeshapanda na hapo aibu tena ishamtoka na hapo sasa a man can do whatever he likes to a woman!

alikosea sana anajua fika kuwa ni maa ya kwanza na hajawahi kumvua nguo hata mara moja sasa iweje umparamie?

Akishindwa kucheza na akili ya mwanamke mpaka akashindwa kucheza na hisia pamoja na mwili alichokifanya ni kujichezea mwenyewe
 
Hebu wanaume leo mnipe ushuhuda, kama hamjawahi kukutana na hiki kizungumkuti cha wanawake.

1.
Unakutana na binti anakuchangamkia na kila mnapokutana anakusalimia kwa bashasha huku akikupa tabasamu maridhawa linalokushawishi kumtongoza kutokana na kuvutiwa naye, lakini unapothubutu kumwambia ya moyoni anakutolea nje kifedhuli kiasi cha kukuumiza moyo wako

2. Inatokea kila asubuhi uendapo kazini na urudipo kazini unakutana na binti huyu mnayeishi naye mtaa mmoja na kila mkutanapo anakutupia macho ya mahaba huku akikusalimu kwa heshima na upendo, mara mojamoja mnapata fursa ya kuongea mawili matatu kuhusu maisha na pilika za mjini na anaonekana kuvutiwa na wewe kwa jinsi unavyozungumza naye kwa upendo,anaonekana dhahiri kukupenda na haachi kujipitisha pitisha pale inapotokea uko kibarazani kwako ukipunga upepo, moyo unakulipuka kwa mapenzi unaona huyu ndiye, lakini unapojaribu kumtupia nyavu anachomoa na kukupotezea mazima humuoni tena na anaanza kukukwepa. Unajikuta ukijiuliza huyu mwanamke ni mzima kweli au ana wazimu?

3. Mnakutana kwenye Party au Klabu, wakati wakucheza mziki anakufuata na kukuomba mcheze,unapocheza naye anakuchezea kwa manjonjo ya kimahaba huku akikushika shika nakukugeuzia makalio yake na ma hipps yaliyojazia jazia na wewe ukipata fursa yakuyashika na kuufurahia utukufu wa Muumba kiasi cha kusababisha maumbile yako ya chini kututumka kwa ashki na tamaa ya kimwili huku akili yako ikikwambia,’leo lazima nikaufaidi huu utukufu wa Mungu.’ Mara muda wa kufunga mziki umefika na kwa kuwa ni usiku wa manane kila mmoja sasa anatoka kutafuta usafiri wa kurudi kwake. Ukiwa umefuatana naye kutoka nje ya Klabu huku ukijiamini utamudu kumshawishi uondoke naye kwenye Ki Vitz chako cha mkopo, mara anakuonyesha jamaa aliyepaki Toyota MarkX akimsubirina anakujulisha,

‘Yule ni mpenzi wangu amenifuata, ahsante kwa kampani, uwe na usiku mwema…!‘

Anakuaga hivyo na kukuacha ukiwa umeduwaa. Unabaki ukisaga meno na kung’ata midomo kwa hasira……

4.
Mnafanya kazi katika jengo moja, na mara kwa mara mnakutana kwenye mghahawa kwa chakula cha mchana na wakati mwingine kwa evening coffee, wewe unakuwa ni mtu wa utani mwingi na masighara, na kila unapofanya utani anacheka na anaonekana kuufurahia utani wako na pia anaonekana kuvutiwa na uwepo wako kila mnapokutana, kwa kifupi ni kwamba anaonekana dhahiri kukupenda. Jambo hilo linakufanya utake kumvuta ili awe mpenzi wako, si kajilengesha…! Unapojaribu kumuomba mtoko ili upate wasaa wa kumtongoza anakutolea nje na kukwambia hayuko interested na wewe… unabaki unashikwa na mshangao, ni kitu gani hiki kinakutokea…

Hebu wanaume nipeni mauzoefu yenu kama mlishawahi kukutana na moja kati ya hivi visirani nilivyovieleza hapo juu

CC:
Kaizer, Asprin Kiranga The Boss, Nyani Ngabu, Mwita Maranya, Preta, snowhite, gfsonwin, King'ast, Ruttashobolwa, lara 1, Mr Rocky

Mkuje mtoe maushuhuda yenyu

Mkuu pole sana
 
Last edited by a moderator:
alikosea sana anajua fika kuwa ni maa ya kwanza na hajawahi kumvua nguo hata mara moja sasa iweje umparamie?

Akishindwa kucheza na akili ya mwanamke mpaka akashindwa kucheza na hisia pamoja na mwili alichokifanya ni kujichezea mwenyewe

Ha ha haaa umeona ee, yaani mi naona wanaume wanalalamika tu ila ukiangalia matukio yote ni mwisho tu wameharibu wenyewe kwa papara zao wenyewe mwishoni mwa game
 
mi zangu ni style za postpaid sio prepaid, nianze tu kujipa na drama zenu, nikishakula mzigo ndo naanza kuushirikisha moyo.
 
Teh Teh Zinduna umenifanya nicheke sana na hii thread yako na umenikumbusha mbali sana..na umenikumbusha hasira nilizo zipata baada yakukumbana na hiyo hasa namba nne!

Muda mwingine sisi wanaume huwa tuna kosea sana tena sana maana huwa tunaamini mwanamke hawezi kukukubali au kukupenda bila kuwepo na hisi za mapenzi ndani yake kumbe sivyo!Na yanayo tudanganya zaidi ni matendo na hisia wanazo onesha muda mwingine zinazo tupelekea tuzichanganye na hisia za mapenzi!

Na kumbuka ilikuwa 2008 kuna binti alitokea kunizoea sana na ilikuwa haiwezi kupita siku bila kunitafuta au kuonana tukapiga story na muda mwingine alikuwa hadi aniletea zawadi na ikifika muda wa chakula cha mchana ananishitua tukale..na uwezi amini mimi mwanzo nilimchukulia kama rafiki wa kawaida kabisa..lakini baadhi ya watu walifikiri nina uhusiano nae.

Huyu binti ilikuwa hawezi kulala kabla hatujaongea au kuchati na kutakiana usiku mwema na alikuwa anaonekana mwenye furaha sana hadi marafiki zake wakawa wanasema huyu lazima umuoe kabisa hapo hata sitamtongoza hata sikuwa na fikiri kufanya hivyo maana nilimuona kama rafiki tuu!

Baadae nilianza kupata hisia za kutaka kumtongoza na nilipata msukumo zaidi kutoka kwa marafiki zangu wakiniambia hatuamini kama huna uhusiano na fulani...na anavyo onekana anakupenda ...acha uongo wewe..haiwezekani..daaa

Baadae nilifikiria nikasema lazima nifunguke sasa na haitakuwa shida maana ni wazi ana nipenda kabisa kwanza ataanzie wapi kukataa? niliangalia mazingira yote nikaona hayampi nafasi kukataa kabisa na haiwezekani!

Sasa kwakuwa ulikuwa ndio mwezi wa Valentine nilisema nitaitumia siku hiyo kumsprise na kumfungukia...nilikwenda dukani nikanunua card,mau na zawadi ya pochi..nikavianda vizuri hii ilikuwa siku tano kabla ya Valentine(nilifanya maandalizi mapema sikujua yatakayo nikuta)
Ilipo baki siku moja kabla ya tukio nikamtumia sms kuwa leo jioni nataka tuka kae sehemu tupige story..akasema "poa tena nitakuwa wa kwanza kufika utanikuta" daa nilifurahi sana na nikajisemea moyoni daa tayari nimepewa ushindi wa mezani.
Ulipo fika muda nilia andaa zawadi zangu nilijongea eneo la tukio na kuanza kunywa soda.. baada ya dakika ishirini alifika na kukaa ..cha kwanza akaniambia "Siamini hujaniletea zawadi nika mwambia usiwe na wasi wasi... nikashika kifurushi nika mkabidhi akachunguliaa akacheka akasema nimezipenda lakini nitaziangalia baadae asante...daaa..nikasema nisichelewe nikaanza kufunguka..duuu nikamweleza kila kitu...

Niliishiwa nguvu alipo niambia ruttashobolwa samahani kakaangu mimi "nilikuwa na kuheshimu na nitakuheshimu na upendo nilio nao kwako ni wadada na kaka tuu na sikutegemea kama tutafika huku na siwezi kabisa maana kweli wewe ni muhimu kwangu lakini si jinsi ulivyo fikiri...na zawadi zako siwezi kuzichukua maana haitakuwa fair..samahani naomba niende" nilijaribu kubembeleza wapi ndio kwanza alibadilika na kuchukia na sikuwai kuona amechukia kiasi kile..aliondoka na kuniachia zawadi zangu duuu..niliishiwa nguvu kabisa na kumbuka pale bar nilikuja kuondoka saa 5 na huwezi amini urafiki ulikufa na akabadili namba kabisa....sikuamini kilicho nitokea na ilikuwa funzo kwangu....

Hakuna kazi iliyo ngumu kama kujua mwanamke anataka nini...kwakweli nilipatwa hasira sana na aibu juu

Pole sana mkuu rutashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Yani Mimi huwez kunifanyia hivo.. Huwezi kunichomoka hata uwe alafati ngumi jiwe au asha ngedere au mwajuma ndala ndefu ama zena na betina.. Afu huo sio uongo ni ushamba flani hivi au ni ubikraaah
 
Kwa wazoefu wa kupigwa chaga, ukiona mwanamke anajileta usikimbilie kutamka neno bali wewe tengeneza mazingira ya yeye kuingia nyavu, mpe uhuru zaidi asikuogope, awe huru kwenda na ww sehemu yoyote na wakat wowote huku akijua ww huwezi mfanya lolote..Utakuta umemla bila hata kupiga sound baadae kila mtu anakuja kujikuta anashangaa amevuliwaje nguo.

Meneno mengi ni michosho tu.

Kuwa na urafiki na mtoto wa kike.......ni sawa na kuwa na kuku kama pet.......mwisho wa siku lazima umnywe supu.......

hii mbinu ya kivita aliitumiaga S.........anyway........mwisho wa siku tulibatizwa Samaki na Paka........if you know wora am saying..........ha ha ha.......halafu weee dereeeeee...........
 
Sijui huwa inakuwaje lakini ndio hivyo..........binafsi washkaji zangu wengi ni wanaume........na huwa tuna uwezo wa kufanya mambo mengi sana ya heshima na ya kipuuzi kwa pamoja........lakini akitokea akanza kunitongoza.........huwa tunaleteana mbaya........lakini urafiki haufi...........nikiona mazoea yanazidi naua urafiki.........nauibua tena siku nyingineeee........maisha yanaenda...........
 
Back
Top Bottom