RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Mkuu kuna mambo mengine inabidi ukubali, na kuna wakati inabidi uonyeshe uungwana. Kuhusu mtwangio nashindwa kusema kama ilimtisha ama la, maana sijajua kipimo sahihi kinachofaa ni kipi?daaah hii kali....hapo hata matumizi ya ubavu inaruhusiwa kama unammudu......lkn mkuu labda size ya mtwangio ilimtisha ...