Mwanaume anapodanganywa na msichana

Mwanaume anapodanganywa na msichana

Acha hizo zote sasa kuna hii yangu.
Nimekutana na mtoto mahali fulani, mtoto kanichangamkia na mimi bila kupoteza nafasi nikamchangamkia zaidi, tukaongea mengi kwa sababu mimi nilikuwa nimefikia hotel moja kali sana, ilivyofika usiku nikamwambia mimi naenda kulala ila ningependa tuende wote, bila hiyana akakubali. Na ukimcheka mtoto yuko vizuri, choo kipo vizuri, mguu ni tembo style na sio Flamingo style. Basi tulipofika room mimi nikaenda kuoga then naye akaenda kuoga tukapanda kitandani huku tukitaniana maneno ya kimahaba, sasa si mimi nikamvua boxer then ikachukua buti nikavaa, ile nataka kumchojoa kufuli ili niue, si akasema yeye hawezi kuduu na mimi eti it was just a company. Yaani mpaka asubuhi nikatoka patupu, dah siwezi kusahau ile pua niliyoangukia.
Sijawahi kuona mwanamke mwenye roho ya ukatili kama yule mweeee!

daaaaah...mkuu hta alternative way ilshndikana kwel...!????
 
safi kabisa!!! kwan huwez lala na mtu mpaka m.fa.nya.ne!
 
Labda wanawake wenyewe ndo waje waseme huwa wanafikiria nini. Yani I've always thought wenzangu mambo yano ni fresh ila mimi tu.
Mi kuna msichana walihamia mtaani kwetu, tukazoeana (Tulisoma shule moja). Tukawa tunasoma hadi usiku (kwao). O level hiyo. Ananisindikiza na tunaongea vitu vingi sana. Tukawa tunatoka wote out, kwenda beach. Hata naweza kuagizwa sehemu akanisindikiza na mimi like wise. Nikaja kumtokea akapiga chini vibaya mno! KIla mtu akasepa kivyake. Tukiwa advance tukajaga kukutana twishen tena tukaanza urafiki. Tukawa close tena, hadi nachukua simu ya mama tunachat night kali. Hadi mtaani wakaanza kutusema. Kwenye sherehe tunaenda wote. Kwenye simu yake ananionesha anavyokataa watu wengi na muda wote yuko na mimi, nikaamini ameanza kunipenda. Nikatokea akapiga chini. Kila mtu akasepa kivyake tena. Chuo akawa na boyfriend wake akamzingua kanijia rum...akafanya mambo hadi tukado. Tukatoka wote kwa muda fulani mara akarudiana tena na boyfriend wake (Yani I was a rebound relationship). Nashukuru angalau nilikuja kumuonja japo kidogo.
 
Acha hizo zote sasa kuna hii yangu.
Nimekutana na mtoto mahali fulani, mtoto kanichangamkia na mimi bila kupoteza nafasi nikamchangamkia zaidi, tukaongea mengi kwa sababu mimi nilikuwa nimefikia hotel moja kali sana, ilivyofika usiku nikamwambia mimi naenda kulala ila ningependa tuende wote, bila hiyana akakubali. Na ukimcheka mtoto yuko vizuri, choo kipo vizuri, mguu ni tembo style na sio Flamingo style. Basi tulipofika room mimi nikaenda kuoga then naye akaenda kuoga tukapanda kitandani huku tukitaniana maneno ya kimahaba, sasa si mimi nikamvua boxer then ikachukua buti nikavaa, ile nataka kumchojoa kufuli ili niue, si akasema yeye hawezi kuduu na mimi eti it was just a company. Yaani mpaka asubuhi nikatoka patupu, dah siwezi kusahau ile pua niliyoangukia.
Sijawahi kuona mwanamke mwenye roho ya ukatili kama yule mweeee!

Teh Teh pole sana..duu kwanini usinge mwambia aondoke? Nahisi kuna sehemu ulikosea...duu lakini pole bhana
 
PRONDO, kujenga urafiki sio jambo baya, na mapenzi ya watu wanaoanza nz urafiki huwa mazuri na mara nyingi huwa na mwisho mzuri kama wanajitambua, ila tatizo wanaume mkikataliwa mnajenga chuki.
..... Mmmmmmmmmmm.......Mbona mimi sijajenga chuki kwako!
 
RICARDO KAKA umeuwa mbayaaa ha ha aha ha ha haaaaaaa.......
Kwa mambo wanayofanya wanawake, acha tu wanawake waitwe wanawake.
Kwa sasa ndo nimegundua kwanini YESU hakuchagua MTUME mwanamke katika mitume 12 aliwachagua.
Na nimeelewa kwanini ALLAH hakumchagua mwanamke kuwa MTUME.
Wanakera sana wanawake aiseee! kama ningekuwa nina roho nyepesi si ningebaka. Aaaaaah inakera sana kwa kweli!
 
Acha hizo zote sasa kuna hii yangu.
Nimekutana na mtoto mahali fulani, mtoto kanichangamkia na mimi bila kupoteza nafasi nikamchangamkia zaidi, tukaongea mengi kwa sababu mimi nilikuwa nimefikia hotel moja kali sana, ilivyofika usiku nikamwambia mimi naenda kulala ila ningependa tuende wote, bila hiyana akakubali. Na ukimcheka mtoto yuko vizuri, choo kipo vizuri, mguu ni tembo style na sio Flamingo style. Basi tulipofika room mimi nikaenda kuoga then naye akaenda kuoga tukapanda kitandani huku tukitaniana maneno ya kimahaba, sasa si mimi nikamvua boxer then ikachukua buti nikavaa, ile nataka kumchojoa kufuli ili niue, si akasema yeye hawezi kuduu na mimi eti it was just a company. Yaani mpaka asubuhi nikatoka patupu, dah siwezi kusahau ile pua niliyoangukia.
Sijawahi kuona mwanamke mwenye roho ya ukatili kama yule mweeee!

mkuu unaumri gani? Hapo usimlaumu mwanamke bali jilaumu wewe kwa akili zako za kitoto na tamaa yako...

Hapo ulitakiwa kutumia upole wa hatari... Kuwa mtulivu wakat wa hatari...
Wenzio mtoto akishakubali kuingia room lako tayar kachinjwa.
Hapo ulitakiwa kuwa mtulivu ulitakiwa kuleta utan wa kukuruhusu kushikana akisharuhusu utani wa kugusana hapo ndio ungepeleka mashambulizi kwenye sehem za hatari yaan usingekuwa na haraka ya kuvua nguo...

Ww ungecheza na mikono yako na viungo vyake muhimu
yaan ungemlainisha mpaka anguvua mwenyew na angekung'ang'ania uingize, au yeye mwenyew angekuvua ww na kuzamisha kwake.

Sasa ww na migenye yako unaleta kukuru kakara, ... Ona sasa umekula kwa macho...

Na atakuwa amekucheka sana ulivyokuwa mzembe hapo anajua ww hamna kitu
 
Unakutana na binti hapa Jamii Forum. Anakupm kila saa. Anakupa like hatakama umepost utumboo,anakusifia jukwaani mpaka unahisi mzIgo utapewa hata kabla ya kuomba.Ila siku unamcheki pm anakupa namba za simu. Mnaanza kuchati kwenye simu unamtongoza halafu anakutosa kama vile sio yeye hapa JF.

H ha ha ha ha haha ha h teh teh ..... da! ya leo kali aiseee,
 
Hebu wanaume leo mnipe ushuhuda, kama hamjawahi kukutana na hiki kizungumkuti cha wanawake.

1.
Unakutana na binti anakuchangamkia na kila mnapokutana anakusalimia kwa bashasha huku akikupa tabasamu maridhawa linalokushawishi kumtongoza kutokana na kuvutiwa naye, lakini unapothubutu kumwambia ya moyoni anakutolea nje kifedhuli kiasi cha kukuumiza moyo wako

2. Inatokea kila asubuhi uendapo kazini na urudipo kazini unakutana na binti huyu mnayeishi naye mtaa mmoja na kila mkutanapo anakutupia macho ya mahaba huku akikusalimu kwa heshima na upendo, mara mojamoja mnapata fursa ya kuongea mawili matatu kuhusu maisha na pilika za mjini na anaonekana kuvutiwa na wewe kwa jinsi unavyozungumza naye kwa upendo,anaonekana dhahiri kukupenda na haachi kujipitisha pitisha pale inapotokea uko kibarazani kwako ukipunga upepo, moyo unakulipuka kwa mapenzi unaona huyu ndiye, lakini unapojaribu kumtupia nyavu anachomoa na kukupotezea mazima humuoni tena na anaanza kukukwepa. Unajikuta ukijiuliza huyu mwanamke ni mzima kweli au ana wazimu?

3. Mnakutana kwenye Party au Klabu, wakati wakucheza mziki anakufuata na kukuomba mcheze,unapocheza naye anakuchezea kwa manjonjo ya kimahaba huku akikushika shika nakukugeuzia makalio yake na ma hipps yaliyojazia jazia na wewe ukipata fursa yakuyashika na kuufurahia utukufu wa Muumba kiasi cha kusababisha maumbile yako ya chini kututumka kwa ashki na tamaa ya kimwili huku akili yako ikikwambia,'leo lazima nikaufaidi huu utukufu wa Mungu.' Mara muda wa kufunga mziki umefika na kwa kuwa ni usiku wa manane kila mmoja sasa anatoka kutafuta usafiri wa kurudi kwake. Ukiwa umefuatana naye kutoka nje ya Klabu huku ukijiamini utamudu kumshawishi uondoke naye kwenye Ki Vitz chako cha mkopo, mara anakuonyesha jamaa aliyepaki Toyota MarkX akimsubirina anakujulisha,

‘Yule ni mpenzi wangu amenifuata, ahsante kwa kampani, uwe na usiku mwema…!'

Anakuaga hivyo na kukuacha ukiwa umeduwaa. Unabaki ukisaga meno na kung'ata midomo kwa hasira……

4.
Mnafanya kazi katika jengo moja, na mara kwa mara mnakutana kwenye mghahawa kwa chakula cha mchana na wakati mwingine kwa evening coffee, wewe unakuwa ni mtu wa utani mwingi na masighara, na kila unapofanya utani anacheka na anaonekana kuufurahia utani wako na pia anaonekana kuvutiwa na uwepo wako kila mnapokutana, kwa kifupi ni kwamba anaonekana dhahiri kukupenda. Jambo hilo linakufanya utake kumvuta ili awe mpenzi wako, si kajilengesha…! Unapojaribu kumuomba mtoko ili upate wasaa wa kumtongoza anakutolea nje na kukwambia hayuko interested na wewe… unabaki unashikwa na mshangao, ni kitu gani hiki kinakutokea…

Hebu wanaume nipeni mauzoefu yenu kama mlishawahi kukutana na moja kati ya hivi visirani nilivyovieleza hapo juu

CC:
Kaizer, Asprin Kiranga The Boss, Nyani Ngabu, Mwita Maranya, Preta, snowhite, gfsonwin, King'ast, Ruttashobolwa, lara 1

Mkuje mtoe maushuhuda yenyu

1 - 4 zimenoga sana, halafu inapendeza sana binti ukifanya hii kitu sio unakurupuka tu kukubali na pichu kuvua hapana
 
mkuu unaumri gani? Hapo usimlaumu mwanamke bali jilaumu wewe kwa akili zako za kitoto na tamaa yako...

Hapo ulitakiwa kutumia upole wa hatari... Kuwa mtulivu wakat wa hatari...
Wenzio mtoto akishakubali kuingia room lako tayar kachinjwa.
Hapo ulitakiwa kuwa mtulivu ulitakiwa kuleta utan wa kukuruhusu kushikana akisharuhusu utani wa kugusana hapo ndio ungepeleka mashambulizi kwenye sehem za hatari yaan usingekuwa na haraka ya kuvua nguo...

Ww ungecheza na mikono yako na viungo vyake muhimu
yaan ungemlainisha mpaka anguvua mwenyew na angekung'ang'ania uingize, au yeye mwenyew angekuvua ww na kuzamisha kwake.

Sasa ww na migenye yako unaleta kukuru kakara, ... Ona sasa umekula kwa macho...

Na atakuwa amekucheka sana ulivyokuwa mzembe hapo anajua ww hamna kitu

jamaa alivua na boxer kabisa hata kiss hajapata???!! alidhani mkewe huyo!!!!
 
Siyo kila mwanamke anaekuchekea na kupiga story na wew, basi kavutiwa na wewe. Hvyo futa mawazo hayo kwa mwanamke..
 
mkuu unaumri gani? Hapo usimlaumu mwanamke bali jilaumu wewe kwa akili zako za kitoto na tamaa yako...

Hapo ulitakiwa kutumia upole wa hatari... Kuwa mtulivu wakat wa hatari...
Wenzio mtoto akishakubali kuingia room lako tayar kachinjwa.
Hapo ulitakiwa kuwa mtulivu ulitakiwa kuleta utan wa kukuruhusu kushikana akisharuhusu utani wa kugusana hapo ndio ungepeleka mashambulizi kwenye sehem za hatari yaan usingekuwa na haraka ya kuvua nguo...

Ww ungecheza na mikono yako na viungo vyake muhimu
yaan ungemlainisha mpaka anguvua mwenyew na angekung'ang'ania uingize, au yeye mwenyew angekuvua ww na kuzamisha kwake.

Sasa ww na migenye yako unaleta kukuru kakara, ... Ona sasa umekula kwa macho...

Na atakuwa amekucheka sana ulivyokuwa mzembe hapo anajua ww hamna kitu

Ila ni kweli kabisa some men are ignorant when it comes to approaching women,sasa how comes mtu anaanza kukurupuka na kuanza kumvua mtu pant yake iviivi kabla mtt hajalainika na ukijua fika kuwa wanawake wana aibu,yaani mpaka ukiona mwanamke anavua au unamvua pant yake bila kipingamizi ujue hapo nyege zimeshapanda na hapo aibu tena ishamtoka na hapo sasa a man can do whatever he likes to a woman!
 
Teh Teh Zinduna umenifanya nicheke sana na hii thread yako na umenikumbusha mbali sana..na umenikumbusha hasira nilizo zipata baada yakukumbana na hiyo hasa namba nne!

Muda mwingine sisi wanaume huwa tuna kosea sana tena sana maana huwa tunaamini mwanamke hawezi kukukubali au kukupenda bila kuwepo na hisi za mapenzi ndani yake kumbe sivyo!Na yanayo tudanganya zaidi ni matendo na hisia wanazo onesha muda mwingine zinazo tupelekea tuzichanganye na hisia za mapenzi!

Na kumbuka ilikuwa 2008 kuna binti alitokea kunizoea sana na ilikuwa haiwezi kupita siku bila kunitafuta au kuonana tukapiga story na muda mwingine alikuwa hadi aniletea zawadi na ikifika muda wa chakula cha mchana ananishitua tukale..na uwezi amini mimi mwanzo nilimchukulia kama rafiki wa kawaida kabisa..lakini baadhi ya watu walifikiri nina uhusiano nae.

Huyu binti ilikuwa hawezi kulala kabla hatujaongea au kuchati na kutakiana usiku mwema na alikuwa anaonekana mwenye furaha sana hadi marafiki zake wakawa wanasema huyu lazima umuoe kabisa hapo hata sitamtongoza hata sikuwa na fikiri kufanya hivyo maana nilimuona kama rafiki tuu!

Baadae nilianza kupata hisia za kutaka kumtongoza na nilipata msukumo zaidi kutoka kwa marafiki zangu wakiniambia hatuamini kama huna uhusiano na fulani...na anavyo onekana anakupenda ...acha uongo wewe..haiwezekani..daaa

Baadae nilifikiria nikasema lazima nifunguke sasa na haitakuwa shida maana ni wazi ana nipenda kabisa kwanza ataanzie wapi kukataa? niliangalia mazingira yote nikaona hayampi nafasi kukataa kabisa na haiwezekani!

Sasa kwakuwa ulikuwa ndio mwezi wa Valentine nilisema nitaitumia siku hiyo kumsprise na kumfungukia...nilikwenda dukani nikanunua card,mau na zawadi ya pochi..nikavianda vizuri hii ilikuwa siku tano kabla ya Valentine(nilifanya maandalizi mapema sikujua yatakayo nikuta)
Ilipo baki siku moja kabla ya tukio nikamtumia sms kuwa leo jioni nataka tuka kae sehemu tupige story..akasema "poa tena nitakuwa wa kwanza kufika utanikuta" daa nilifurahi sana na nikajisemea moyoni daa tayari nimepewa ushindi wa mezani.
Ulipo fika muda nilia andaa zawadi zangu nilijongea eneo la tukio na kuanza kunywa soda.. baada ya dakika ishirini alifika na kukaa ..cha kwanza akaniambia "Siamini hujaniletea zawadi nika mwambia usiwe na wasi wasi... nikashika kifurushi nika mkabidhi akachunguliaa akacheka akasema nimezipenda lakini nitaziangalia baadae asante...daaa..nikasema nisichelewe nikaanza kufunguka..duuu nikamweleza kila kitu...

Niliishiwa nguvu alipo niambia ruttashobolwa samahani kakaangu mimi "nilikuwa na kuheshimu na nitakuheshimu na upendo nilio nao kwako ni wadada na kaka tuu na sikutegemea kama tutafika huku na siwezi kabisa maana kweli wewe ni muhimu kwangu lakini si jinsi ulivyo fikiri...na zawadi zako siwezi kuzichukua maana haitakuwa fair..samahani naomba niende" nilijaribu kubembeleza wapi ndio kwanza alibadilika na kuchukia na sikuwai kuona amechukia kiasi kile..aliondoka na kuniachia zawadi zangu duuu..niliishiwa nguvu kabisa na kumbuka pale bar nilikuja kuondoka saa 5 na huwezi amini urafiki ulikufa na akabadili namba kabisa....sikuamini kilicho nitokea na ilikuwa funzo kwangu....

Hakuna kazi iliyo ngumu kama kujua mwanamke anataka nini...kwakweli nilipatwa hasira sana na aibu juu

nimejifunza kitu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mtachomolewa mpaka akili zikae sawa...tatizo ni kuwa....wanaume wengi wa kitz hawajui mambo ya platonic, yaani ni urafiki bila na kuwa na vigezo vya kimapenzi. Mkiona mdada kakuchangamkia basi...wazo liko kwenye kufuli dunia haiendi hivyo
 
Back
Top Bottom