Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Umesema kitu aisee, sio kila urafiki lazima uishie kuvuana nguo, wabongo watu wa ajabu sana, hata neno nakupenda wanaona kama dhahabu fulani, ukimwambia mtu nakupenda lazima aone nyota kichwani, wakati mtu anasababu nyingi za kumpenda mtu kikawaida kabisa na wakawa marafiki wazuri lakini sio wapenzi.
Lakini ndio tulivyo wanaume wengi, mwanaume akikaa na mwanamke sehem tulivu kitu cha kwanza mwanaume lazma afikirie ngono,pale mnapoendelea kuwa karibu zaidi ndivyo internal forces znazidi kumshawish akutongoze na akishakutana na marafiki wakampa maneno tayar lazma akuapproach.