Mwanaume anapodanganywa na msichana

Mwanaume anapodanganywa na msichana

Mnakosea kitu kimoja wasichana kama hawa hawatongozwi hata siku moja , huyu unampeleka sehem akam ni kwako ama hotelini unakula mzigo kila mtu anasepa kivyake kama kanogewa atakutafuta kama ni vipi kila mtu atasepa kivyake
 
Sio kila mwanamke akikupenda usifikirie amekupenda kimapenzi.Tatzo ss wanaume tunafikiria mbali sana halafu tunafiria wrong,
unaweza kupendwa tu kwa ucheshi, upole,ukarimu, maneno yako ya faraja kwakke na mengne mengi lakini wakati huo hana hisia yoyote kimapenzi,
 
Kwa wazoefu wa kupigwa chaga, ukiona mwanamke anajileta usikimbilie kutamka neno bali wewe tengeneza mazingira ya yeye kuingia nyavu, mpe uhuru zaidi asikuogope, awe huru kwenda na ww sehemu yoyote na wakat wowote huku akijua ww huwezi mfanya lolote..Utakuta umemla bila hata kupiga sound baadae kila mtu anakuja kujikuta anashangaa amevuliwaje nguo.

Meneno mengi ni michosho tu.
 
Sio kila mwanamke akikupenda usifikirie amekupenda kimapenzi..

Tatzo ss wanaume tunafikiria mbali sana halafu tunafiria wrong,
unaweza kupendwa tu kwa ucheshi, upole,ukarimu, maneno yako ya faraja kwakke na mengne mengi lakn wakat huo hana hisia yoyote kimapenz,

Umesema kitu aisee, sio kila urafiki lazima uishie kuvuana nguo, wabongo watu wa ajabu sana, hata neno nakupenda wanaona kama dhahabu fulani, ukimwambia mtu nakupenda lazima aone nyota kichwani, wakati mtu anasababu nyingi za kumpenda mtu kikawaida kabisa na wakawa marafiki wazuri lakini sio wapenzi.
 
Mgirik

Ndio tongoza ya kiutu uzima hio hadi unakula mzigo hujawahi kuomba,unatengeneza mazingira tu kama unavyoongoza kuku na vifaranga vyake waingie kwenye kimlango chao ila hayo yote manne yashawahinitokea sana tu!
 
Last edited by a moderator:
Umesema kitu aisee, sio kila urafiki lazima uishie kuvuana nguo, wabongo watu wa ajabu sana, hata neno nakupenda wanaona kama dhahabu fulani, ukimwambia mtu nakupenda lazima aone nyota kichwani, wakati mtu anasababu nyingi za kumpenda mtu kikawaida kabisa na wakawa marafiki wazuri lakini sio wapenzi.

Sisi wa analogue urafiki wa mwanamke na mwanaume unaishia sehemu moja tu!
 
Wewe ni mchambuzi mzuru sana wa love stori kituo chako kiko wap hapa mjini?
 
Inakeraa! Kuna msichana tulizoeana saan, tulikua as friends tunachat paka sa nanee nyt, tunatumiana mashair ya mapenz, tunasoma pamoja niteee paka latee night, na mambo mengineee meng outing nyingiii so day the day nlipo mtamkia! It was ending of our friendship.. akaanza zarauuu! Lol paka leo hatusemeshani
Tukiingia lecture room kila mtu kivyakeeee

I regret

Ukifikia hatua hiyo hutamki tena wewe umeharibu huyo alikua tayar sio kila mnyama lazima achinjwe ili awe halali wengine bunduki humaliza kilakitu ungendanae mpaka angezoea na mwaliko wa kulala
 
Teh Teh Zinduna umenifanya nicheke sana na hii thread yako na umenikumbusha mbali sana..na umenikumbusha hasira nilizo zipata baada yakukumbana na hiyo hasa namba nne!

Muda mwingine sisi wanaume huwa tuna kosea sana tena sana maana huwa tunaamini mwanamke hawezi kukukubali au kukupenda bila kuwepo na hisi za mapenzi ndani yake kumbe sivyo!Na yanayo tudanganya zaidi ni matendo na hisia wanazo onesha muda mwingine zinazo tupelekea tuzichanganye na hisia za mapenzi!

Na kumbuka ilikuwa 2008 kuna binti alitokea kunizoea sana na ilikuwa haiwezi kupita siku bila kunitafuta au kuonana tukapiga story na muda mwingine alikuwa hadi aniletea zawadi na ikifika muda wa chakula cha mchana ananishitua tukale..na uwezi amini mimi mwanzo nilimchukulia kama rafiki wa kawaida kabisa..lakini baadhi ya watu walifikiri nina uhusiano nae.

Huyu binti ilikuwa hawezi kulala kabla hatujaongea au kuchati na kutakiana usiku mwema na alikuwa anaonekana mwenye furaha sana hadi marafiki zake wakawa wanasema huyu lazima umuoe kabisa hapo hata sitamtongoza hata sikuwa na fikiri kufanya hivyo maana nilimuona kama rafiki tuu!

Baadae nilianza kupata hisia za kutaka kumtongoza na nilipata msukumo zaidi kutoka kwa marafiki zangu wakiniambia hatuamini kama huna uhusiano na fulani...na anavyo onekana anakupenda ...acha uongo wewe..haiwezekani..daaa

Baadae nilifikiria nikasema lazima nifunguke sasa na haitakuwa shida maana ni wazi ana nipenda kabisa kwanza ataanzie wapi kukataa? niliangalia mazingira yote nikaona hayampi nafasi kukataa kabisa na haiwezekani!

Sasa kwakuwa ulikuwa ndio mwezi wa Valentine nilisema nitaitumia siku hiyo kumsprise na kumfungukia...nilikwenda dukani nikanunua card,mau na zawadi ya pochi..nikavianda vizuri hii ilikuwa siku tano kabla ya Valentine(nilifanya maandalizi mapema sikujua yatakayo nikuta)
Ilipo baki siku moja kabla ya tukio nikamtumia sms kuwa leo jioni nataka tuka kae sehemu tupige story..akasema "poa tena nitakuwa wa kwanza kufika utanikuta" daa nilifurahi sana na nikajisemea moyoni daa tayari nimepewa ushindi wa mezani.
Ulipo fika muda nilia andaa zawadi zangu nilijongea eneo la tukio na kuanza kunywa soda.. baada ya dakika ishirini alifika na kukaa ..cha kwanza akaniambia "Siamini hujaniletea zawadi nika mwambia usiwe na wasi wasi... nikashika kifurushi nika mkabidhi akachunguliaa akacheka akasema nimezipenda lakini nitaziangalia baadae asante...daaa..nikasema nisichelewe nikaanza kufunguka..duuu nikamweleza kila kitu...

Niliishiwa nguvu alipo niambia ruttashobolwa samahani kakaangu mimi "nilikuwa na kuheshimu na nitakuheshimu na upendo nilio nao kwako ni wadada na kaka tuu na sikutegemea kama tutafika huku na siwezi kabisa maana kweli wewe ni muhimu kwangu lakini si jinsi ulivyo fikiri...na zawadi zako siwezi kuzichukua maana haitakuwa fair..samahani naomba niende" nilijaribu kubembeleza wapi ndio kwanza alibadilika na kuchukia na sikuwai kuona amechukia kiasi kile..aliondoka na kuniachia zawadi zangu duuu..niliishiwa nguvu kabisa na kumbuka pale bar nilikuja kuondoka saa 5 na huwezi amini urafiki ulikufa na akabadili namba kabisa....sikuamini kilicho nitokea na ilikuwa funzo kwangu....

Hakuna kazi iliyo ngumu kama kujua mwanamke anataka nini...kwakweli nilipatwa hasira sana na aibu juu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Zinduna number 1&2 ndo nna uzoefu nazo. Mara nyingi huwa wanapima upepo,kimsingi wanakuwa na penzi la kweli. Lkn kutokana na ukaribu wenu na kutokana na sababu za kimaumbile za mwanamke kuwa na aibu,huwa wanajihami kwa kukataa ili wasionekane maharage ya mbeya. Pia kukataa kwake anakupima km kweli unampenda au unataka kupiga na kusepa! Hapo ndo mwanaume unatakiwa kuonyesha uanaume wako. Ongeza speed na usisahau huu msemo,palipo na udhia penyeza rupia. Mara nyingi ukimpata huwa wanakuja kuwa ving'ang'anizi maana kwao ww ndo chaguo lao.
 
Last edited by a moderator:
Unakutana na mwanamke, unamtongoza anakubali, unamuomba mtoko anakubali, mnaenda kuvunuja amri ya sita na wote mnafurahia na masifa kibao mnamwagiana kwa ufundi mliouonesha pamoja. anafurahia kila kitu chako. Ukimuambia nataka nikuoe anakuambia hapana wewe siyo chaguo langu.
 
Inakeraa! Kuna msichana tulizoeana saan, tulikua as friends tunachat paka sa nanee nyt, tunatumiana mashair ya mapenz, tunasoma pamoja niteee paka latee night, na mambo mengineee meng outing nyingiii so day the day nlipo mtamkia! It was ending of our friendship.. akaanza zarauuu! Lol paka leo hatusemeshani
Tukiingia lecture room kila mtu kivyakeeee

I regret

"You will never know with women".
 
ndio tongoza ya kiutu uzima hio....hadi unakula mzigo hujawahi kuomba,unatengeneza mazingira tu kama unavyoongoza kuku na vifaranga vyake waingie kwenye kimlango chao.....ila hayo yote manne yashawahinitokea sana tu!!!

Sio utani niliwahiinia kichwakichwa kwa dada mmoja yaan sikuamini siku nachomolewa.Nikajua anazuga tu ile namfuata kwa mara nyingne aisee niliambiwa maneno makali na tangu hapo huyo dada akawa hana time na mm tena.
 
Kwa wazoefu wa kupigwa chaga, ukiona mwanamke anajileta usikimbilie kutamka neno bali ww tengeneza mazingira ya yeye kuingia nyavu, mpe uhuru zaidi asikuogope, awe huru kwenda na ww sehemu yoyote na wakat wowote huku akijua ww huwezi mfanya lolote..

Utakuta umemla bila hata kupiga sound baadae kila mtu anakuja kujikuta anashangaa amevuliwaje nguo...

Meneno mengi ni michosho tu

Nimewagegeda rafiki zangu wa kike kama wanne hivi kwa mbinu hii,unampa uhuru akuzowee had anakuja geto mwenyewe
kinachofata inakuwa ni "tap in" katika football.
 
Back
Top Bottom