Mwanaume aliyekutoa bikra/mwanamke aliyekutoa bikra

Hello jf,watu wengi huwa wanadai kwamba ni ngumu sana kumuacha mwanaume au mwanamke wako wa kwanza aliyekubikiri na hata mkiachana au akikuacha bado utamkumbuka tu na itakua ngumu kumsahau kwa vile yeye ndo wa kwanza kukuingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi,

Pia wanasema hata mkiachana ni rahisi kukumbushia mapenzi yenu kwamba ukionana nae akiomba penzi utampa tu..kwangu mimi hii ni tofauti kabisa sababu my first boy sijawahi muweka akilini wala sikumpenda kivile na tangu niachane nae nikamsahau jumla nikaja mpenda boy mwingine ambaye mpaka leo huwa nammismis sana japo sipo nae,hivi kwenu hii kitu ipoje?
Hiyo pia kwng haipo na nshavunja wengi ikitoka imetokaa
 
Kwa bahati mbaya alonibikiri wasnt my first love, my first love was my second boyfrien.

Kwahiyo nishamsahau kitaaambo hata kummiss ile ya kulazimishia hakuna.
.nilikuwA sifahamu kumbe hki kitu kinawezekana yaan yule wa kwanza hukawa humkumbuki kabisa.
 
Hello jf,watu wengi huwa wanadai kwamba ni ngumu sana kumuacha mwanaume au mwanamke wako wa kwanza aliyekubikiri na hata mkiachana au akikuacha bado utamkumbuka tu na itakua ngumu kumsahau kwa vile yeye ndo wa kwanza kukuingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi,

Pia wanasema hata mkiachana ni rahisi kukumbushia mapenzi yenu kwamba ukionana nae akiomba penzi utampa tu..kwangu mimi hii ni tofauti kabisa sababu my first boy sijawahi muweka akilini wala sikumpenda kivile na tangu niachane nae nikamsahau jumla nikaja mpenda boy mwingine ambaye mpaka leo huwa nammismis sana japo sipo nae,hivi kwenu hii kitu ipoje?
Mwanamke hata kama hujamtoa bikra ila kama ulikuwa unamfanyia mazuri hawezi kukunyima mdau. Ipo kwa ajili yako just ni kukiboresha zaidi. Old is gold
 
Back
Top Bottom