Mwanaume aliyekutoa bikra/mwanamke aliyekutoa bikra

Hello jf,watu wengi huwa wanadai kwamba ni ngumu sana kumuacha mwanaume au mwanamke wako wa kwanza aliyekubikiri na hata mkiachana au akikuacha bado utamkumbuka tu na itakua ngumu kumsahau kwa vile yeye ndo wa kwanza kukuingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi,

Pia wanasema hata mkiachana ni rahisi kukumbushia mapenzi yenu kwamba ukionana nae akiomba penzi utampa tu..kwangu mimi hii ni tofauti kabisa sababu my first boy sijawahi muweka akilini wala sikumpenda kivile na tangu niachane nae nikamsahau jumla nikaja mpenda boy mwingine ambaye mpaka leo huwa nammismis sana japo sipo nae,hivi kwenu hii kitu ipoje?

dada umekwisha jifungua??

mtoto aitwaje??
 
Ni uongo tu! Nilibikiri watano wawili nikazaa nao na nilikuja kuoa mwingine kbs na sijawahi rudia hata mmoja nupasha kiporo
 
Hayo ni maneno ya wachepukaji! unakuta alikutoa na wala hukumpendaga kihivyo unaona kawaida tu na unashangaa unayemkumbuka ni mwingine!
 
Kila aliyetoa au kutolewa bikr hasemi amlitoa /alitolewa akiwa na umri gani
Hii ingesaidia watafiti wa kuzisaka kujua kitu
 
Hello jf,watu wengi huwa wanadai kwamba ni ngumu sana kumuacha mwanaume au mwanamke wako wa kwanza aliyekubikiri na hata mkiachana au akikuacha bado utamkumbuka tu na itakua ngumu kumsahau kwa vile yeye ndo wa kwanza kukuingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi,

Pia wanasema hata mkiachana ni rahisi kukumbushia mapenzi yenu kwamba ukionana nae akiomba penzi utampa tu..kwangu mimi hii ni tofauti kabisa sababu my first boy sijawahi muweka akilini wala sikumpenda kivile na tangu niachane nae nikamsahau jumla nikaja mpenda boy mwingine ambaye mpaka leo huwa nammismis sana japo sipo nae,hivi kwenu hii kitu ipoje?
Kww hiyo hata simba leo hawatasahau eee?
 
Uzi huu ndio umenikumbusha huyo mtu,.maana cjui yuko mtaa gani na ckumbuki tuu last time nilimmis lini...uiiii nampenda wa Sasa!!!!!
 
Back
Top Bottom