Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,494
Kama hawasahaulikiHuna uhakika kivipi?
Kama hawasahaulikiHuna uhakika kivipi?
Teh teh teh na wewe una ramboFirst boyfriend niliachana nae nawala simkumbuki maana nilikuja kujua anakibamia hatari
Katoe basi uje uthibitisheKama hawasahauliki
Kweli kbh..Acha uongo
mmmh! kwhyo unaweza ukapishana naye usimkumbuke?Mimi nishamsahau hadi jina. Na simkumbuki hata kidogo
FactSio kila theory inafanya kazi kwa kila mazingira. Kumbuka kuna outliers
Hata punyeto sijuiKo wewe bado ni bikra?
Nasubiri jibu hapammmh! kwhyo unaweza ukapishana naye usimkumbuke?
Duuh!Sijui mnawakumbukaje, mie naweza mfyatulia risasi za kalio kama sio kumtupa baharini
Sina rambo Nina muwaTeh teh teh nawewe una rambo
Ha hammmh! kwhyo unaweza ukapishana naye usimkumbuke?
[emoji3] [emoji3] [emoji125]beki tatu alinitoa zamani sana saivi yupo kijijini ni mama wamakamo anawatoto watano inakuaje hapa ???ntamrudia
[emoji3] [emoji3] [emoji106]First boyfriend niliachana nae nawala simkumbuki maana nilikuja kujua anakibamia hatari