Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
- Thread starter
- #21
NdiyoWanaume wanatolewa bikra.???[emoji87][emoji87][emoji85][emoji86]
NdiyoWanaume wanatolewa bikra.???[emoji87][emoji87][emoji85][emoji86]
Heh!Heh! Heh! unashangaa? Ardhi yenyewe inatolewa bikra sembuse Mwanaume?.......Kutoa bikra ni kufanya kitu kwa mara ya kwanza kwenye kitu ambacho hakijawahi kufanyiwa kitu lakini chenye uwezo wa kuhimili kufanyiwa hicho kitu🙁🙁🙁🙁🙁🙁Wanaume wanatolewa bikra.???[emoji87][emoji87][emoji85][emoji86]
Mpaka hapa atakua ameelewaHeh!Heh! Heh! unashangaa? Ardhi yenyewe inatolewa bikra sembuse Mwanaume?.......Kutoa bikra ni kufanya kitu kwa mara ya kwanza kwenye kitu ambacho hakijawahi kufanyiwa kitu lakini chenye uwezo wa kuhimili kufanyiwa hicho kitu🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Bila shaka.Mpaka hapa atakua ameelewa
Mimi nishamsahau hadi jina. Na simkumbuki hata kidogo
Si kwa wanawake tu inasemekana ni kwa woteinawezekana ipo kwa wanawake tu. Kwa wanaume si dhani, mfano mimi nimepusua(bikiri)wanawake kama kumi wapo tena Sina mda nao
Heh!Heh! Heh! unashangaa? Ardhi yenyewe inatolewa bikra sembuse Mwanaume?.......Kutoa bikra ni kufanya kitu kwa mara ya kwanza kwenye kitu ambacho hakijawahi kufanyiwa kitu lakini chenye uwezo wa kuhimili kufanyiwa hicho kitu🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Mpaka hapa atakua ameelewa
kumbe na wanaume mnabikiriwa embu tusimulie maumivu ya kutolewa bikraAliyenibikiri nami nikambikiri ndiye ambaye tumefunga ndoa. Hayo mengine sijui maana bado sijamuacha!
Tukifarakana nitaleta experience kama hiyo kitu ni kweli.
Huna uhakika kivipi?Sawa, ila Sina uhakika
Hii kitu ni complex hasa kwa vile imekamata kwenye uadilifu. Ushasikia mambo ya pwani harusi kusema? Je husema kwa lugha gani?Aliyenibikiri nami nikambikiri ndiye ambaye tumefunga ndoa. Hayo mengine sijui maana bado sijamuacha!
Tukifarakana nitaleta experience kama hiyo kitu ni kweli.
Ko wewe bado ni bikra?Duh Mimi ME na ni Bikra
Nikitoa nitaleta mrejesho
Huu mchanganuo sijauelewa!Hii kitu ni complex hasa kwa vile imekamata kwenye uadilifu. Ushasikia mambo ya pwani harusi kusema? Je husema kwa lugha gani?
Harusi husema hata kama watu washazaa!
Leo umejitokeza kuzungumza "aliyekubikiri ukambikiri"! Labda kidogo ungesema 'aliyenibikiri', kama inatoka rohoni mwako sawa kusema hivyo.
Lakini tasnia ya mapenzi imejaa ulaghai uliopitiliza sana. Aliyekuambia ulimbikiri naye akakubikiri yawezekana yeye alikubikiri wewe ilacwewe ukawa haujambikiri. Ama wote nyie "kapo" mkawa mnadanganya nafsi zenu na kuidanganya pia dunia.

Hahahahaaa...... Day! Sawa Mkuu.... Usahihi wako nni kwa vile mwanaume hawekewi alama ya ubikra..... Hivyo huwezi kumtambua Kama ni bikra.Tatizo ni kuwa toka nipo mdogo, nasikia tu"bikira mariamu" mara "msichana yule ni bikra" mara "jamaa yule kamtoa bikra yule dada"
Sijawahi kusikia " BIKIRA YUSUF WALA BIKIRA JUMA" [emoji28][emoji28]