KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Hii huonesha wazi unamkumbukaSijui mnawakumbukaje, mie naweza mfyatulia risasi za kalio kama sio kumtupa baharini
Hii huonesha wazi unamkumbukaSijui mnawakumbukaje, mie naweza mfyatulia risasi za kalio kama sio kumtupa baharini
Duuh!
!
aaaaaah hiyo ni nadharia tuuu bwana nishafanya sana matusi hadi mda huu lakini sikumbuki vizuri wa kwanza ni yupi
Twende zetu kbhBasi kbh.
Twende chemba kbh.
Bas ndo maana unajifanya humkumbuki aliekutoa.Niliyezaa naye yupo humu humu na mpaka Leo ni mume wangu tunapendana
Walaaa, mwenyewe yupo poa sana. Hata ningefunguka hana shida.Bas ndo maana unajifanya humkumbuki aliekutoa.
Unahofia ndoa kuvunjika
acha kukurupuka wewe soma uelewe ndo uchangie sio unabwabwaja tu,nawapotosha vipi labda?Hii story imenichefua sana ndio maana sikuizi kumuamini binadamu inakua ngumu sana,sasa mwanamke unabwana ako amekuoa na anakupenda bado unakuwa mtumwa wa tamaa za kimapenzi na x wako?Wewe ni mwanamke wa starehe tu sio wakufanya maisha na mmeo kwani inaonyesha umeendekeza ngono sana,kwa jinsi unavyoongea si Jamaa aliyekutoa hiyo bikra pekee ndio unaweza kumpa nina imani hata washirika wako waliowahi kukupitia kimapenzi kabla ya kuolewa, leo hii ukikutana nao lazima utavua chupi na pete kuitia kwenye mkoba ili ufanye vizuri upuuzi wako endapo mliachana kistaarabu au hata kama mlihitilafiana ikitokea amekuomba samahani,akakusifia kidogo au akakupa kamsaada fulani basi lazima utavua Chup* mwanamke usiye na aibu. Umenikera sana narudia umenikera hadi nahisi unawapotosha wenzako
Kwann?Mi simo
Huyo ana uchiziKuna mschana nilikuwa nae kimapenz kwankama mwaka hvi na mie ndo nilimtoa bikra. Kila nikimuona kwa mbali ananikimbia
Maybe sababu hii kitu bado haijanipata kunitokeaBikra kitu gani, ukitaka binti akutafute we mkojoze vyema hata kama we ni wa kumi cku mkikutana wala huna haja ya kuomba mzigo, anavua kyupi mwenyewe...
Pole rafiki utamu unakupitia pembeni... [emoji12]Maybe sababu hii kitu bado haijanipata kunitokea
.nilikuwA sifahamu kumbe hki kitu kinawezekana yaan yule wa kwanza hukawa humkumbuki kabisa.
Posts zako bana..lol...mara mwanaume anayekupenda kwa dhati, mara sperm donor, mara jinsi ya kuinua kinembe...mmmhh aya bana nimekupa likes 3[emoji35]Hello jf,watu wengi huwa wanadai kwamba ni ngumu sana kumuacha mwanaume au mwanamke wako wa kwanza aliyekubikiri na hata mkiachana au akikuacha bado utamkumbuka tu na itakua ngumu kumsahau kwa vile yeye ndo wa kwanza kukuingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi,
Pia wanasema hata mkiachana ni rahisi kukumbushia mapenzi yenu kwamba ukionana nae akiomba penzi utampa tu..kwangu mimi hii ni tofauti kabisa sababu my first boy sijawahi muweka akilini wala sikumpenda kivile na tangu niachane nae nikamsahau jumla nikaja mpenda boy mwingine ambaye mpaka leo huwa nammismis sana japo sipo nae,hivi kwenu hii kitu ipoje?
We ke au me? Bikra ya uume ndo nausikia leo..Aliyenibikiri nami nikambikiri ndiye ambaye tumefunga ndoa. Hayo mengine sijui maana bado sijamuacha!
Tukifarakana nitaleta experience kama hiyo kitu ni kweli.