Mwanaume aliyekutoa bikra/mwanamke aliyekutoa bikra

Mwanaume aliyekutoa bikra/mwanamke aliyekutoa bikra

Mkono , sabuni na mafuta navyo vinaweza mtoa bikra mwanaume na ndizi pia inaweza mtoa bikra mwanamke na usiisahau ....ni swali nahitaji majibu?
 
Ni dhana tu maana haina ukweli.
Leo wewe ambae hujawahi mtoa demu bikira maana yake huna wa kumkumbuka au
 
Mwanamke hata kama hujamtoa bikra ila kama ulikuwa unamfanyia mazuri hawezi kukunyima mdau. Ipo kwa ajili yako just ni kukiboresha zaidi. Old is gold
Ni kweli hii inawezekana kabisa
 
Upande wangu naona wala hakuna ugumu wowote hapo kwa mfano mimi dem wangu wa kwanza sijawahi hata kumkumbuka na hata tukionana sina habari nae
Maybe hiki kitu kinategemeana baina ya mtu na mtu
 
Huo ni uzushi tu,mi mwanamke wangu wa kwanza kumfanya sitaki hata kumuona na wala simpendi
 
Mwanamke hata kama hujamtoa bikra ila kama ulikuwa unamfanyia mazuri hawezi kukunyima mdau. Ipo kwa ajili yako just ni kukiboresha zaidi. Old is gold

Uko sahihi... Kuna mwanaume natamani ifike siku niache kumpa ila nashindwa. Nahisi ana mashine bora kuliko nlizokutana nazo. Alienitoa bikra walaaa simkumbuki tena hata japo alinitoa utotoni.
 
Hii story imenichefua sana ndio maana sikuizi kumuamini binadamu inakua ngumu sana,sasa mwanamke unabwana ako amekuoa na anakupenda bado unakuwa mtumwa wa tamaa za kimapenzi na x wako?Wewe ni mwanamke wa starehe tu sio wakufanya maisha na mmeo kwani inaonyesha umeendekeza ngono sana,kwa jinsi unavyoongea si Jamaa aliyekutoa hiyo bikra pekee ndio unaweza kumpa nina imani hata washirika wako waliowahi kukupitia kimapenzi kabla ya kuolewa, leo hii ukikutana nao lazima utavua chupi na pete kuitia kwenye mkoba ili ufanye vizuri upuuzi wako endapo mliachana kistaarabu au hata kama mlihitilafiana ikitokea amekuomba samahani,akakusifia kidogo au akakupa kamsaada fulani basi lazima utavua Chup* mwanamke usiye na aibu. Umenikera sana narudia umenikera hadi nahisi unawapotosha wenzako

P.OVU.COM
 
Uko sahihi... Kuna mwanaume natamani ifike siku niache kumpa ila nashindwa. Nahisi ana mashine bora kuliko nlizokutana nazo. Alienitoa bikra walaaa simkumbuki tena hata japo alinitoa utotoni.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mie sijawahi kukutana na bikra bali demu wa kihindi alinitoa,nakumbuka tulikutana kwenye party shule moja upanga nikawa namkodolea mimacho,nikampigisha stori za hapa na pale akasema ananijua aliona matokeo yangu kwenye notice board Ka zali vile next week tukakuta library anakanichombeza maneno fulani before even I clock it tulikuwa kwenye Gheto la mshikaji nikafundishwa mavitus sasa hivi yupo canada na ameolewa na muhindi mwenzake,huwa tunachchat Mojamoja kukumbushana utoto.
Ahsante kwa storii nzuri
 
Back
Top Bottom