Mwanaume Akupendaye ATAFANYA HIVIIIIII

Mwanaume Akupendaye ATAFANYA HIVIIIIII

Mzungu hapo amefikaje tena.

demu wa tandale alifikaje hapo?? basi kwakuwa hadhi yake ni ndogo sana na mimi nimekupa mfano wa wale ambao wengi huona wa hadhi kubwa kuliko binadam wengine.

msidharau mtu eti kisa anakaa tandale, waweza kukuta yuko tandale lkn ni msafi kuliko binti wa oysterbay ama masaki ama hata hao watu wa mbele huko.
 
Laiti tungekuwa na njia ya kuprove kila kitu tunachoandika hapa...lol

Hivi hakuna ruhusa ya kufunga CCTV kwenye bedroom ya mtu ili hata wale akina Tomaso wahakikishe??

Babu DC!!

ukitaka kujua yanayotokea kwenye vyumba vya wanandoa nenda ofisi za ustawi wa jamii na ofisi za wanasheria utachoka kwa vituko. Kuna moja niliishuhudia baba na mama wameshindwana mama ikabidi aamie chumba cha watoto na baba akafunga ule mlango wa masters akatoboa mlango mwingine kwa nje so akija home anaingia one way masters kwake ila akitaka kwenda sehemu ingine ya nyumba anatumia ule wa mwanzo mama kuona hivyo nae kaita fundi kabomoa ule mlango wa masters kuingia ndani kaziba na matofali kapiga na rangi ili kumkomoa baba akitaka kuingia sebuleni au jikoni lazima atoke nje kabisa ndo aingie kwa mlango wa mbele ya nyumba au wa jikoni. Yanayotokea kwa wanandoa baada ya siku ya ndoa anayajua muumba peke yake ni viroja.
 
Lugha ya picha. Si lazima iwe tandale kama ilivyotajwa.
 
Nakubaliana na wewe.....

Nyumba hizi tunazozioana na kuzitamani kwa nje...ndani yake kuna mambo na mengine hata shetani mwenyewe hawezi kuyavumilia...lol!!

Huyo mama lazima atakuwa ni afande...!!

heheheheee wala sio afande ni mama wa nyumbani aliyechoshwa na visa na hakuwa akiogopa tena, alifikia mahali pa na lolote na liwe.
 
King'asti unaongelea uvinza??? to me naona ni rahisi sana kuambukizwa ma gonjwa hasa fangus uvinza kwa mtu kuingia chumvini kuliko uvinza kwenyewe kumuambukiza mtu. ni eneo ambalo liko sterile muda wote na halina fanguz unless huyo mtu ni mgonnjwa. wale micro flora wanaokaa pale ni normal flora kwaajili ya kukinga na magonjwa na nia non pathogen unless wawe disturbed na sisi wenyewe.

tofauti na sisi miguu ambayo inatembea kila mahali, na inarukiwa na uchafu ammmmm agrrrrrrrrrrrrr!

unavyotetea kwa nguvu!!!inaonyesha bwa' shemegi ''akishuka '' na kichwa chakandamizwa hapohapo mpaka ujichokee mwenyewe!!!
 
labda kwenye picha ndo wanataka kufurahisha. Ila yanayotendeka chumbani yako mangapi jamani? Mie ndo maana staki mtu asie mtu wangu kunibusu lips zangu. Hivi uvinza na miguu wapi kuna fungus? Mdomoni na miguu wapi kheri? Miguu kama misafi all the time haina shida banaa!
kin'gasti wanadamu ni wanafiki sana wengine wapo hapa wanakoroga na kukorogwa zege lakini watakwambia wana kinyaa sasa zege na vidole ipi ina kinyaa au baharini tuache unafiki jameni.jioni njema
 
Watafanya tena hivyo na siku ya honey moon tuu basi!!
 
Hahaha! woow, ts nice kwa wanaopendana, nashangaa wanaoxema wanaona kinyaa while yanayofanyika chumbani ni more dan dat!
 
wedding.jpg

Wanawake, kazi kweli kweli. Hapo kafurahi. Huwa tuna wainjoy tu. Na hasa tukiwa tunaitaji chakula cha ndoa
 
hahahahah! mapenzi ukichaa lol!
haogopi fagas wa miguuni?
Mama mguu umeoshwa huo, ma-pedicure, ma-mancure ya kufa mtu yamehusika hapo. Jichanganye kwa mademu wa uswazi uone kama huondoki na Candidiasis ya mdomo, ukipona hiyo utachanwa lips za midomo na magaga..
 
Back
Top Bottom