Kaka maasai
Member
- Jul 26, 2026
- 84
- 193
Harusiwi kunijibu ama kunirudishia akidhubutu mbata na hakuna chenye atafanya sinimelipa mahari ya milioni 3 nimemnua
Domestic violation ni kosa kisheria huna haja kumpiga mwanamke hamlingani misuliHarusiwi kunijibu ama kunirudishia akidhubutu mbata na hakuna chenye atafanya sinimelipa mahari ya milioni 3 nimemnua
mborro ni nini?Tandika mkeo mborrro ya maana sana ,automatically atakuheshimu mno!
Watafika Golgotha wamevimba miguu yao yote.Mwanaume tembeza kibano usiwedhaifu
Mkuu; Ulioa mwaka gani? yan umeishi na huyo mke wako kwa muda gani?Harusiwi kunijibu ama kunirudishia akidhubutu mbata na hakuna chenye atafanya sinimelipa mahari ya milioni 3 nimemnua
Imani potofu kabisa hiyo - Haifai kabisa-inadhalilisha. Suluhisho sahihi la migogoro ndani ya ndoa sio kipigo bali ni kwa kuanza majadiliano baina yenu wanandoa ikishindikana mnaendelea ngazi ya juu zaidi na sio eti kutembeza kibano. Kwa kutembeza kibano unaweza kujikuta pabaya zaidi. Kwa mafnoi Huku Umasaini; wenyewe Wamaasai wanaita "Njiphyi-chiphyi" (wanatumia Fimbo ya mti wa mkole isiyovunjika) kumcharaza sana mwanamke (Mke asiye msikivu au mtiifu kwa mumewe) lakini mwisho wa siku mwanamke aliyechapwa (Kwa kweli huwa anakuwa amejeruhiwa sana) anakwenda kushitaki na "kidume" pamoja na "waliomsaidia" wanafungwa gerezani.Mwanaume tembeza kibano usiwedhaifu
MaendeleoKumekucha tayar huko
Wanawake wengi wanaopigwa kwenye ndoa zao ni wale wake wasio na hisia za tendo la ndoa au ni magoigoiWatu wanaongoza kwa kiwapiga wake zao wengi hawana nguvu za kiume.