Mwanaume Akupendaye ATAFANYA HIVIIIIII

Mwanaume Akupendaye ATAFANYA HIVIIIIII

Ndio kaanza hivyo kwenye kidole cha mguu, sasa akifika kwenye..... hatari jamani. Jamaa ni mtaalamu!
 
Ni kweli kabisa teacher...hata mdomoni kwenyewe kuna wadudu kibao...

Ila kwenye miguu...mhhhhhhhhhhhhhh......

Na imagine ukikumbuka ile perfume inayotoka baada ya kuvua sokis....!!

Babu DC!!
babu miguu kwangu ni BIG NO.
hata taulo langu ninalofutia kwa bibi siwez kufutia miguu ni mwiko. miguu nafutia kanga tu tena iko special kwaajili ya miguu. hata uso tu siwez kufutia kanga hiyo ingawa inafuliwa almost kila baada ya siku moja.
 
Hata mimi nabisha kabisa....

Ama ni pozi la kupgia picha, au wanatengeneza movie...

Alternatively, wanadanganyana ili waingie kwenye maisha halisi ya ndoa....

I don't buy it either!!
hivi babu, unaweza kulala kwenye kochi wakati unaangalia tv na bibi akaja akakaa na kuipakata miguu yako? Na kisha wakati mnaongea akaibusu miguu yako? Nilikuambia mi sikubali kuzeeka, wewe umeshazeeka aisee.
Uzuri Paw anakaguliwa na dawa nakaa nazo home kama mhujumu uchumi, kikionekana kimchubuko tu anapakwa dawa fasta. Cctv achana nayo, utapata presha bureee.
 
King'asti unaongelea uvinza??? to me naona ni rahisi sana kuambukizwa ma gonjwa hasa fangus uvinza kwa mtu kuingia chumvini kuliko uvinza kwenyewe kumuambukiza mtu. ni eneo ambalo liko sterile muda wote na halina fanguz unless huyo mtu ni mgonnjwa. wale micro flora wanaokaa pale ni normal flora kwaajili ya kukinga na magonjwa na nia non pathogen unless wawe disturbed na sisi wenyewe.

tofauti na sisi miguu ambayo inatembea kila mahali, na inarukiwa na uchafu ammmmm agrrrrrrrrrrrrr!
ngoja kwanza mwalimu. Kwani uvinza ni wapi na chimvini ni wapi. Mwongozo wa spika tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
hivi babu, unaweza kulala kwenye kochi wakati unaangalia tv na bibi akaja akakaa na kuipakata miguu yako? Na kisha wakati mnaongea akaibusu miguu yako? Nilikuambia mi sikubali kuzeeka, wewe umeshazeeka aisee.
Uzuri Paw anakaguliwa na dawa nakaa nazo home kama mhujumu uchumi, kikionekana kimchubuko tu anapakwa dawa fasta. Cctv achana nayo, utapata presha bureee.


Kweli tumezeeka sie...Ngoja tuendelee na migegedo ya kizee......lol!!

Ngoja teacher gfsonwin aje ashuhudie, kwani ndiyo ukweli kwama zama zetu si sawa na zanu....

Na kusema kweli tumejitahidi sana kufyatuka...kuna mambo tusingekuwa tunayajua au kuyafanya..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ngoja kwanza mwalimu. Kwani uvinza ni wapi na chimvini ni wapi. Mwongozo wa spika tafadhali.

uvinza ni kunakochimbwa chumvi so nisemapo uvinza namaanisha eneo n semapo chumvini naamnisha kitendo kitendo cha kuchimba chumvi
 
hivi babu, unaweza kulala kwenye kochi wakati unaangalia tv na bibi akaja akakaa na kuipakata miguu yako? Na kisha wakati mnaongea akaibusu miguu yako? Nilikuambia mi sikubali kuzeeka, wewe umeshazeeka aisee.
Uzuri paw anakaguliwa na dawa nakaa nazo home kama mhujumu uchumi, kikionekana kimchubuko tu anapakwa dawa fasta. Cctv achana nayo, utapata presha bureee.

aisee mimi nikipakata miguu ya huzzy jua ninamkata kucha basi nikimaliza hapo niioshe na kuipaka mafuta. Zaid ya hapo ni big no kwangu. Kubusu mguu??

Acha tu king'asti niwe mzee, so far sitaish kama chuma baana aaaah!
 
uvinza ni kunakochimbwa chumvi so nisemapo uvinza namaanisha eneo n semapo chumvini naamnisha kitendo kitendo cha kuchimba chumvi

hahaha. Nimestuka nikajua napotoka atii. Siku hizi terminology can be suicidal.
 
Kweli tumezeeka sie...Ngoja tuendelee na migegedo ya kizee......lol!!

Ngoja teacher gfsonwin aje ashuhudie, kwani ndiyo ukweli kwama zama zetu si sawa na zanu....

Na kusema kweli tumejitahidi sana kufyatuka...kuna mambo tusingekuwa tunayajua au kuyafanya..lol!!

Babu DC!!

babu unakumbuka niliwah kukwambia nimezeeka??
 
Siyo demu wa Tandale huyo.
acha dharau wewe inamaana madem wa tandale ndo wenye fangas?? hizo ni dharau nyie ndo ambao mkiona wazungu mnawaona wasafiii kumbe ni wachafu kuliko jalala. kama huamini tembelea majumbani mwao.
 
acha dharau wewe inamaana madem wa tandale ndo wenye fangas?? hizo ni dharau nyie ndo ambao mkiona wazungu mnawaona wasafiii kumbe ni wachafu kuliko jalala. kama huamini tembelea majumbani mwao.
Mzungu hapo amefikaje tena.
 
Nakumbuka sana....ingawa FP aligoma kabisa kuitwa mzee....

Yeye na snowhite wanataka kuitwa watu wazima......lol!!


Babu DC!!
mie niiten tu kizee babu manake hata nipake ambi niweke na clear tone uso unakataa mana uzee umekuja.
sasa hvi aibu babu wapo akina Ciello, lara 1 na hawa akina King'asti sasa nitasema nalingana nao babu??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom