hahahahah! mapenzi ukichaa lol!
haogopi fagas wa miguuni?
usije ukaniambia kakangu Kaizer haummung'unyi kidole kimoja kimoja cha mguu na kumlamba unyayo? Tutakosana kabisaaa! Cha kumkosesha raha za duniani mtoto wa mwanamke mwenzio?
hahahhahaha! umenichekesha mie asbh hii hapa kwa ofc khaa!
mm kufutia tu taulo langu la mwilin miguu siwez kufutia, miguu naifuta kwa kanga yake special sembuse kuinyonya?? kucha nitamkata, miguu namwosha kila week end tena naiscrub kisha ndo naiosha na kuipaka mafuta lkn kuimung'unya lolz naweza nikarudisha chenji bureeee mtt wa watu.
Hakuna ukweli hapo
see the difference now?? so better mie ambaye naweza kuiosha na kumkata kucha pasi kinyaaa. vitu vingine si vya kujaribu kama vinakushinda wallah tena. wala sinaga mzuka wa kjaribu yale yanayonishinda hasa kwenye mapenzi ....................akhuuu!!! roho yangu nyeupeee kutenda yale niyatakayo basi.maskini kakangu! Sasa unaona kinyaa gani na microfone test unafanya? Yaani unaonea miguu yako kinyaa? Kwani hauiswafi? Aaah, kweli unamuonea.
(shangaa maajabu ya mussa, mie kukata kucha mtu naona kinyaa ile mbaya. Na siwezi kumvumilia mtu anaekata kucha mbele za watu, naskia kutapika kabisaa! Tena kama ndo hazikusanyi kwenye tissue ama kitambaa, ndo kabisaa. Ila kulamba miguu ya Paw, najiskia kama nakula nyama ya kuku)
maskini kakangu! Sasa unaona kinyaa gani na microfone test unafanya? Yaani unaonea miguu yako kinyaa? Kwani hauiswafi? Aaah, kweli unamuonea.
(shangaa maajabu ya mussa, mie kukata kucha mtu naona kinyaa ile mbaya. Na siwezi kumvumilia mtu anaekata kucha mbele za watu, naskia kutapika kabisaa! Tena kama ndo hazikusanyi kwenye tissue ama kitambaa, ndo kabisaa. Ila kulamba miguu ya Paw, najiskia kama nakula nyama ya kuku)
hahahahah! mapenzi ukichaa lol!
haogopi fagas wa miguuni?
Usanii mtupu hapo, hakuna lolote, wanataka tu kuwa impress watu
kama wewe haufanyi usibishe. Wenzio wafanya yakhee, endelea kubofya tu.
labda kwenye picha ndo wanataka kufurahisha. Ila yanayotendeka chumbani yako mangapi jamani? Mie ndo maana staki mtu asie mtu wangu kunibusu lips zangu. Hivi uvinza na miguu wapi kuna fungus? Mdomoni na miguu wapi kheri? Miguu kama misafi all the time haina shida banaa!
Laiti tungekuwa na njia ya kuprove kila kitu tunachoandika hapa...lol
Hivi hakuna ruhusa ya kufunga CCTV kwenye bedroom ya mtu ili hata wale akina Tomaso wahakikishe??
Babu DC!!
King'asti unaongelea uvinza??? to me naona ni rahisi sana kuambukizwa ma gonjwa hasa fangus uvinza kwa mtu kuingia chumvini kuliko uvinza kwenyewe kumuambukiza mtu. ni eneo ambalo liko sterile muda wote na halina fanguz unless huyo mtu ni mgonnjwa. wale micro flora wanaokaa pale ni normal flora kwaajili ya kukinga na magonjwa na nia non pathogen unless wawe disturbed na sisi wenyewe.labda kwenye picha ndo wanataka kufurahisha. Ila yanayotendeka chumbani yako mangapi jamani? Mie ndo maana staki mtu asie mtu wangu kunibusu lips zangu. Hivi uvinza na miguu wapi kuna fungus? Mdomoni na miguu wapi kheri? Miguu kama misafi all the time haina shida banaa!
King'asti unaongelea uvinza??? to me naona ni rahisi sana kuambukizwa ma gonjwa hasa fangus uvinza kwa mtu kuingia chumvini kuliko uvinza kwenyewe kumuambukiza mtu. ni eneo ambalo liko sterile muda wote na halina fanguz unless huyo mtu ni mgonnjwa. wale micro flora wanaokaa pale ni normal flora kwaajili ya kukinga na magonjwa na nia non pathogen unless wawe disturbed na sisi wenyewe.
tofauti na sisi miguu ambayo inatembea kila mahali, na inarukiwa na uchafu ammmmm agrrrrrrrrrrrrr!