Kwanini mwanaume unanunua na Kwanini mwanamke unauza

Kwanini mwanaume unanunua na Kwanini mwanamke unauza

temoin

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2025
Posts
311
Reaction score
708
Binafsi sioni sababu ya kuuza wala kununua k

Mapenzi ya sikuhizi yamekuwa biashara ukimuaproach mdada anaangalia kwanza unanini na atafaidikaje akikupa ûnachotaka bila kujali kuwa ile ni raha mnayoipata wote wawili.

Mwanaume haweziishi bila mwanamke kadhalika mwanamke haweziishi bila mwanaume, tunategemeana kwahyo haina haja ya kuuza kitu mlichopewa na Mungu kwa matumizi ya mwanaume
 
Nadhani ni kwasababu tunanunua.... Tungekua hatuna kiherehere cha kutoa hela tungepewa tu tena tungelindwa kama wanawali
 
  1. Scarcity of resources (Wanunuzi wamekosa option)
  2. No Government support (Wote)
  3. Lack of capital (muuzaji)
  4. Lack Education (wote)
  5. Moral decay (Wote)
 
Nyeto itaniua
IMG-20260917-WA0485.jpg
 
Hapa ndipo "Demand and Supply" theory inapokuwa relevant kwenye maisha yetu ya kawaida. 😊

Kitu kinauzwa sababu ni bidhaa/huduma na kina uhitaji. Kukiwa hamna uhitaji, hakuna anaenunua. Actually, kama hununui basi hakuna biashara, hata kama bidhaa/huduma ipo.
Tatizo lipo kwa anaenunua sio anaeuza. Anaeuza yeye ana bidhaa/huduma na halazimishi mtu kununua.
 
Back
Top Bottom