Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Nenda mahakamani...... pata haki yako uitumie kwa watoto. Usirudi nyumbani kwenu hiyo era imepita, ukitoka hapo unaanza na kupanga nyumba maisha yanaendelea.
Never look back
namuachia mm natafuta zangu
na hata mzazi wangu alinambia muachie pambana Lea wanao!
nikidai Mali atakua chizi yulee kashafulia hana kitu!gari kila siku gereji !
 
namuachia mm natafuta zangu
na hata mzazi wangu alinambia muachie pambana Lea wanao!
nikidai Mali atakua chizi yulee kashafulia hana kitu!gari kila siku gereji !
Hapana....labda tu unamuonea huruma kama ambavyo utamuonea huruma akishafulia akarudi kwako mikono nyuma kichwa chini.
All in all the decision is your, all the best
 
Goes both ways, doesn't it?

Hata mwanamke akiona hapendwi anaweza kumwacha mwanamme pia.

Siyo mpaka yeye aachwe tu.
utaambiwa umekimbia nyumba wabongo si unajua mambo yao!!
kuna mtu aliniambia we nae unaacha Mali zote hzoo!!looh!komaa wew!!
 
utaambiwa umekimbia nyumba wabongo si unajua mambo yao!!
kuna mtu aliniambia we nae unaacha Mali zote hzoo!!looh!komaa wew!!

Huko sasa kutakuwa ni kuishi kwa matakwa ya wengine.

Mimi naamini katika kuishi maisha yangu.

Wengine na maoni yao can kiss my ass.
 
Hapana....labda tu unamuonea huruma kama ambavyo utamuonea huruma akishafulia akarudi kwako mikono nyuma kichwa chini.
All in all the decision is your, all the best
hhaahaaaaa!kurudi hapana aiseeehh...!!.ningemkosea sawa Ila uzuri anakiri mpk kwa ndugu zake kua sikumkosea Ila aliamua tu!!
Hvyo vya hapo ni vidogo sana yaani naweza tunga kitabu!
 
Jamani!!!
Ila sijawahi kugombana hata siku Moja na mwanaume mie muoga wa ngumi na vibao balaaa!
Ntaongea na wewe kistaarabu kabisa maana mwanaume sio MTU wa kubishana nae atakuumiza!
 
Unaweza kuelezea mazuri ya Mume wako?
?? geniveros
yes!good person alikua anantia jeuri sana ya kipesa kipindi naanza kazi!alikua anajua kuhandle my anger before hajaanza michepuko nimekula good time sana tuu!
Familia yake inanipenda sana tena sana!!
Ana wivu balaa mpk kivuli changu anakionea wivu!

I don't regret to have kids with him,or having rltn with him kwa kweli!
Binadamu hakuna mkamilifu kila mtu ana mabaya yake!
Sijutii kuolewa,sijutii kuachana pia!
Na sitamsema vibaya kwa watoto Ila kurudi kwake hapana!!!!
 
MTALAKA HATONGOZWI?
AKIPATA HELA TENA HUTARUDI?
 
Back
Top Bottom