Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

usishangae bado heshima ya ndoa na thamani yake iko pale pale!
wapo wanaosurvive pia!
Yeah I know binamu, and trust me kwa umri wangu nimeona makubwa mno. Ila namshukuru Mungu yote hayo hayajanikatisha tamaa, I still believe ndoa ni kitu chema sana. Sema tu I'm surprised, sikudhani kama umepitia yote hayo, na ulivyo wife material khaa
 
Hard to swallow.h
Kirahis tu hivyo!!!
Upo tayari kurudi Mkirekebisha tofauti zenu?
Noooo!!nooooo!!nooooo!!
Nikitaka hata sasa hv anarudi tayari ameanza kujirudi kila Siku asubuhi,mchana jioni msg!
Ila vidonda vipo vingi then I don't miss him!
 
Aepushie mbali.
ameen!!
Yeah I know binamu, and trust me kwa umri wangu nimeona makubwa mno. Ila namshukuru Mungu yote hayo hayajanikatisha tamaa, I still believe ndoa ni kitu chema sana. Sema tu I'm surprised, sikudhani kama umepitia yote hayo, na ulivyo wife material khaa
Sana ndoa bado Ina heshima yake kwa binti wa kiafrica Ila usikurupuke!
Muombe sana Mungu binamu!!
 
Binamu kuna dalili yoyote ya kuconsile hapo mbeleni?
I don't know neither today nor tomorrow!
Binamu mengine siwezi sema hapa!na hakuna anaeyajua zaidi ya sie na Mungu mana hata wazazi huwambii vyote!
ili kulindiana heshima zenu!!
 
Sana umpaye Mwenye hofu na Mungu na asietetereka na msimamo wake!
Aaah binamu ndo kila siku naomba Mungu anipe a man who honors him. Ndoa ni vita kubwa sana, bora tuambatane wawili + God, mambo yataenda kwa neema. But kila tatizo mke tu ndo uombe na kufunga, siku wewe ukiishiwa nguvu tu ndo Ndoa chaliii, mume yeye ana kazi gani? . Watu hawana hofu ya Mungu, tukiwakataza michepuko unaonekana unajifanya mtakatifu. Mwisho wa siku mtasuffer tu wote
 
Aaah binamu ndo kila siku naomba Mungu anipe a man who honors him. Ndoa ni vita kubwa sana, bora tuambatane wawili + God, mambo yataenda kwa neema. But kila tatizo mke tu ndo uombe na kufunga, siku wewe ukichoka tu ndo Ndoa chaliii, mume yeye ana kazi gani? . Watu hawana hofu ya Mungu, tukiwakataza michepuko unaonekana unajifanya mtakatifu. Mwisho wa siku mtasuffer tu wote
Umeona eeehh!
Kuomba muombe wote maana kiapo cha kuilinda ni cha wote wazazi wetu walivumilia mengi sana!my mom died wen I was too young so nimekua na step mom wako na baba 25yrs Ila hizo changamoto walizopitia mi sina hamu loohh!
 
I don't know neither today nor tomorrow!
Binamu mengine siwezi sema hapa!na hakuna anaeyajua zaidi ya sie na Mungu mana hata wazazi huwambii vyote!
ili kulindiana heshima zenu!!
Yeah sure, you just keep on praying + give yourself time to heal
 
Umeona eeehh!
Kuomba muombe wote maana kiapo cha kuilinda ni cha wote wazazi wetu walivumilia mengi sana!my mom died wen I was too young so nimekua na step mom wako na baba 25yrs Ila hizo changamoto walizopitia mi sina hamu loohh!
Yani siku hizi Ndoa imekuwa kama ya mwanamke tu, wanaume wao ni wa kuombewa tu, ndo maana Ndoa nyingi zinafail. Aisee me mwenyewe namuomba Mungu anipe mume atakayekuwa ananiombea mkewe
 
Yeah sure, you just keep on praying + give yourself time to heal
Off course I don't wanna get myself into hell again coz I don't how far evils have gone!
So namuangalia tu anavyojibebisha bebisha kwangu but nooo!!though his family are very good people to be honest they luv and support me kwa kila hatua!
tatizo ni yy tu!
 
Back
Top Bottom