Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

vita nyingine ngumu kuna wanawake uchawi wanausafiria halafu mie ndo Niko mid 20's sijui chochote...
alivyoshindwa kwa mwanaume akapiga Bomu kwa mtoto kaponea kwenye maombi Hosp.hana ugonjwa!!

ndo nikajileftisha maana my child my life!!

wanangu maisha yangu,kama huwapendi wanangu aiseehh!!huna credit!;
Mmh I can feel you binaa, mtu kukugusia tena mwanao loooh. Endelea tu kumuomba Mungu binamu. Tukiwaambia watulie na wake zao aah, hawawezi mke mmoja anakinai mtcheew
 
Hakuna hiyo....ni haki yako. Mgawane kila mtu asepe kivyake. Hakuna kuacha haki yako acha ubwege
Mkorofi sana yule hana kitu gari zilikua tano,3 zilipata ajali within a month mbili zinajikongoja!

Nilimuambia Mungu'ondoa riziki yangu kwa huyu mwanaume maana anaitumia vibaya'na nlimuambia hv km mm ninashare na Mali zako riziki yangu itaondoka!!
Nyumba amebaki na moja tu!
Ndugu zake wanamlaumu kila sikuuu!!
 
Nenda mahakamani...... pata haki yako uitumie kwa watoto. Usirudi nyumbani kwenu hiyo era imepita, ukitoka hapo unaanza na kupanga nyumba maisha yanaendelea.
Never look back
 
Mkorofi sana yule hana kitu gari zilikua tano,3 zilipata ajali within a month mbili zinajikongoja!

Nilimuambia Mungu'ondoa riziki yangu kwa huyu mwanaume maana anaitumia vibaya'na nlimuambia hv km mm ninashare na Mali zako riziki yangu itaondoka!!
Nyumba amebaki na moja tu!
Ndugu zake wanamlaumu kila sikuuu!!
Jasho lako lazima lirudi aisee.....

Sasa atarudi mikono nyuma ukimpokea utajiju

Wanaume hawa...... (baadhi jamani msinishambulie)

Na hawajui mke ana kibali cha madhabahu akimlilia Mungu mbona ataisoma namba tu
 
Mmh I can feel you binaa, mtu kukugusia tena mwanao loooh. Endelea tu kumuomba Mungu binamu. Tukiwaambia watulie na wake zao aah, hawawezi mke mmoja anakinai mtcheew
yaani mwanangu alikua anatembea akapigwa pepo la ukiwetee!!sina hamu
sasa hv!nna amani sana!
Ukisema uangalie watu wanasema nini utakuja kufa bure.

Mwanaume kama kaamua hakutaki na hataki kuondoka mpishe wewe

Maana kama unahofia watoto mnapoishi pamoja nfipo mnapowaharibu watoto kwa ugomvi na mnawaathiri

Halafu ukiondoka mwanzo ndio huwa mgumu..... ila ukishasettle mbona utajinenepea tu

Wakati mwingine likuepukalo lina kheri nawe
off course mwanzo mgumu na utayumba ukipambana vzr unasimama tu!
 
Habari za Jumapili wanajamvi,

Naomba nishauri wanaume wenye tabia ya kuacha au kutelekeza wake zao nusunusu.

Takuta mwanaume anakufanyia visa vingi ndani hapo ndo kashaanza michepuko huko, mnakaa ndani miezi hakuna kukutana kimwili, nyumba ugomvi hauishi na inageuka uwanja wa mapambano kila siku.

Ukienda kumshtaki kwa watu wazima mana uvumilivu sasa umeshindikanika akiulizwa mkeo ana kosa gani'anajibu hajanifanya chochote simpendi tu sasa, mvumilivu, anawapenda ndugu zangu ananihudumia vizuri Ila mimi tu simpendi! s"ababu hana, kumbe hela zinampa kibri. Anakutimua kama mbwa kwake unakomaa huondoki mwisho analeta mwenzio ndani make wrote ndo unapojitoa hapo kurudi kwenu.

Unafika unayumbaaa kimaisha maana hana msaada na wewe wala watoto mpaka unasimama tena kimaisha. Michepuko ile sasa inamkimbia maana anaanza kuyumba, kila mwanamke anatimua kila siku nyumba inakua gesti bubu! Unakomaa we mama na wanao mpaka wanaanza shule tayari maisha yanaanza kukaa sawa na umeshamsahau kabisa katika ramani ya moyo wako sasa unaenjoy na watoto wako yeye sasa anajileta.

Anaanza kukusifia kila Sikh asubuhi meseji Mara whatsap, Mara texts na ujinga wotee, haitoshi anaanza kuomba msamaha urudi tena kwake' unajiuliza nirudi kwa kua ananipenda au kwa kua amefilisika niende kumueka kwenye BOOM ili akudhalilishe tena samahani sana, mwanamke sio mua kua una thamani pale unapouhitaji ukimaliza yale maganda unatupa haraka sana maana ni uchafu,
mwanamke pia sio condom unaitumia na kuitupa.

Tabia ya kuwafanya wake zenu au wenza wenu wa ukweli spea tairi muiache sio nzuri. Ana mapungufu mvumilie maana ndo ushamuoa huyo au ndo ushamzalisha tayari, wanaume jifunzeni kuwa na huruma na wake zenu.

Jumapili njema!
kwani lazima kuolewa aghhhhhhhh
 
GeniTE="gennakupendaost: 1ujue439, member: 224175"]safi chukua jumla awe bimdogo!![/QUOTE]
Geni bana, nakupenda sana ujue.Ila wewe mtata, but one love
 
Jasho lako lazima lirudi aisee.....

Sasa atarudi mikono nyuma ukimpokea utajiju

Wanaume hawa...... (baadhi jamani msinishambulie)

Na hawajui mke ana kibali cha madhabahu akimlilia Mungu mbona ataisoma namba tu
ndo ukweli ndio maana ameanza tena kujileta
haishi kunisifia whasap daily!ukiweka picha kwenye profile anaitoa anatuma 'ur so cutee'nacheka sana!!!
wewe tu mke wangu,cone back home!!nyumba yako inakusubiri...
Sasa mie nachekaga tuu!!
 
Back
Top Bottom