Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Binamu mi nishafuatwa na mtu nkaambiwa kua kuna mwanamke alimfata ampeleke kwa mganga mzurii ili ahakikishe mi naachika maana kila akiroga harogeki!!na mwanaume alikua nae wameachana ghafla!
So anataka kumkomesha afilisikee,mi niachike!
Yule Dada alinifata akaniambia yote nilichoka Mimi jamani!
Mmh pole binaa. Mungu na apigane vita yako
 
Habari za Jumapili wanajamvi,

Naomba nishauri wanaume wenye tabia ya kuacha au kutelekeza wake zao nusunusu.

Takuta mwanaume anakufanyia visa vingi ndani hapo ndo kashaanza michepuko huko, mnakaa ndani miezi hakuna kukutana kimwili, nyumba ugomvi hauishi na inageuka uwanja wa mapambano kila siku.

Ukienda kumshtaki kwa watu wazima mana uvumilivu sasa umeshindikanika akiulizwa mkeo ana kosa gani'anajibu hajanifanya chochote simpendi tu sasa, mvumilivu, anawapenda ndugu zangu ananihudumia vizuri Ila mimi tu simpendi! s"ababu hana, kumbe hela zinampa kibri. Anakutimua kama mbwa kwake unakomaa huondoki mwisho analeta mwenzio ndani make wrote ndo unapojitoa hapo kurudi kwenu.

Unafika unayumbaaa kimaisha maana hana msaada na wewe wala watoto mpaka unasimama tena kimaisha. Michepuko ile sasa inamkimbia maana anaanza kuyumba, kila mwanamke anatimua kila siku nyumba inakua gesti bubu! Unakomaa we mama na wanao mpaka wanaanza shule tayari maisha yanaanza kukaa sawa na umeshamsahau kabisa katika ramani ya moyo wako sasa unaenjoy na watoto wako yeye sasa anajileta.

Anaanza kukusifia kila Sikh asubuhi meseji Mara whatsap, Mara texts na ujinga wotee, haitoshi anaanza kuomba msamaha urudi tena kwake' unajiuliza nirudi kwa kua ananipenda au kwa kua amefilisika niende kumueka kwenye BOOM ili akudhalilishe tena samahani sana, mwanamke sio mua kua una thamani pale unapouhitaji ukimaliza yale maganda unatupa haraka sana maana ni uchafu,
mwanamke pia sio condom unaitumia na kuitupa.

Tabia ya kuwafanya wake zenu au wenza wenu wa ukweli spea tairi muiache sio nzuri. Ana mapungufu mvumilie maana ndo ushamuoa huyo au ndo ushamzalisha tayari, wanaume jifunzeni kuwa na huruma na wake zenu.

Jumapili njema!
Pole sana mleta mada inaonyesha umeandika kwa majonzi makubwa pole sana kwa yaliyokukuta
 
Ila kuna Wanawake wakorofi ila wakijitetea unaweza kuonekana shetani
mbele ya Malaika.

geniveros nani kakuchokoza mamii
 
Kwanini mwanamke ukiachana na mumeo urudi kwenu??
Nenda mahakamani, dai chako. Simama na maisha....
Temana nae mazima
 
mwingine ana kazi na kila kitu sema anakufa na tai shingoni!!
wanafia watoto!

wanawake hupitia kipindi kigumu sana pindi mume anapobadilika mpk unafikia unaondoka kwenye nyumba!!basi hakuna wa kukulaumu maana yote hayo anayoyafanya mwanaum bado ukiondoka mwanamke unalaumiwa!!
Yani ntawapenda wanangu ila sitoifia nafsi yangu kwa ajili ya wanangu. It's only Jesus who died for us, me hapana aisee. Kama tutaishi kwa amani kwa ajili ya watoto sawa, ila sitoruhusu any mistreatment from him. Sitaki binti zangu waje wakue wakidhani "it's okay to be mistreated", wala watoto Wangu wa kiume waone kuwa ni sawa kuwatesa wake zao. Yani ndoa zetu nyingi, zinawatraumatize watoto, unategemea watoto hawa watakuja kuwa wake/waume wa aina gani? Binti aliyeshuhudia mama kapigwa, sijui kadondoka kafa, sijui miscarriage, sijui michepuko inaletwa ndani, mara mama katukanwa,.. utakuja umwambie aolewe akuelewe? Mie jamii inicheke inibrand to "divorcee", kuliko kuwa branded as " a woman who died because she couldn't leave", (I ain't a victim of any society so far). Kesho na Kesho kutwa unawaacha wanao wateseke mikononi mwa michepuko tena khaaa. Watoto wakikua wataielewa tu situation, watanisamehe.
 
Yani ntawapenda wanangu ila sitoifia nafsi yangu kwa ajili ya wanangu. It's only Jesus who died for us, me hapana aisee. Kama tutaishi kwa amani kwa ajili ya watoto sawa, ila sitoruhusu any mistreatment from him. Sitaki binti zangu waje wakue wakidhani "it's okay to be mistreated", wala watoto Wangu wa kiume waone kuwa ni sawa kuwatesa wake zao. Yani ndoa zetu nyingi, zinawatraumatize watoto, unategemea watoto hawa watakuja wake/waume wa aina gani? Binti aliyeshuhudia mama kapigwa, sijui kadondoka kafa, utakuja unwambie aolewe akuelewe? Mie jamii inicheke inibrand to "divorcee", kuliko kuwa branded as " a woman who died because she couldn't leave". Kesho na Kesho kutwa unawaacha wanao wateseke mikononi mwa michepuko khaaa. Watoto wakikua wataielewa tu situation, watanisamehe.

Ulishawahi kuingia chama cha walala uchi?
 
nimetoa nyongo Leo after so Much hardship!!

Kumbee si ndo maana nliadimika jf!!
mine Leo nimejiskia kushirikisha jamii!
napumzika kwanza!!
Duuh pole sana bina, Mungu ni mwema lakini, litapita tu
 
Ila kuna Wanawake wakorofi ila wakijitetea unaweza kuonekana shetani
mbele ya Malaika.

geniveros nani kakuchokoza mamii
sijachokozwa but nashare uzoefu...
kuna mtu naona anasumbua akili yangu tena
Kwanini mwanamke ukiachana na mumeo urudi kwenu??
Nenda mahakamani, dai chako. Simama na maisha....
Temana nae mazima
nadai talaka Mali nakuachia
 
sijachokozwa but nashare uzoefu...
kuna mtu naona anasumbua akili yangu tena

nadai talaka Mali nakuachia
Hakuna hiyo....ni haki yako. Mgawane kila mtu asepe kivyake. Hakuna kuacha haki yako acha ubwege
 
Duuh pole sana bina, Mungu ni mwema lakini, litapita tu
vita nyingine ngumu kuna wanawake uchawi wanausafiria halafu mie ndo Niko mid 20's sijui chochote...
alivyoshindwa kwa mwanaume akapiga Bomu kwa mtoto kaponea kwenye maombi Hosp.hana ugonjwa!!

ndo nikajileftisha maana my child my life!!
Yani ntawapenda wanangu ila sitoifia nafsi yangu kwa ajili ya wanangu. It's only Jesus who died for us, me hapana aisee. Kama tutaishi kwa amani kwa ajili ya watoto sawa, ila sitoruhusu any mistreatment from him. Sitaki binti zangu waje wakue wakidhani "it's okay to be mistreated", wala watoto Wangu wa kiume waone kuwa ni sawa kuwatesa wake zao. Yani ndoa zetu nyingi, zinawatraumatize watoto, unategemea watoto hawa watakuja wake/waume wa aina gani? Binti aliyeshuhudia mama kapigwa, sijui kadondoka kafa, utakuja unwambie aolewe akuelewe? Mie jamii inicheke inibrand to "divorcee", kuliko kuwa branded as " a woman who died because she couldn't leave". Kesho na Kesho kutwa unawaacha wanao wateseke mikononi mwa michepuko khaaa. Watoto wakikua wataielewa tu situation, watanisamehe.
wanangu maisha yangu,kama huwapendi wanangu aiseehh!!huna credit!;
 
[QUOTE="geniveros, post: 17386231,unamuua:mbu4175"nyundohokozwa but nashare uzoefu...
kuna mtu naona anasumbua akili yangu tena

nadai talaka Mali nakuachia[/QUOTE]
Pole my little princess.
Kwa nini unamuua mbu kwa nyundo.
 
mwingine ana kazi na kila kitu sema anakufa na tai shingoni!!
wanafia watoto!

wanawake hupitia kipindi kigumu sana pindi mume anapobadilika mpk unafikia unaondoka kwenye nyumba!!basi hakuna wa kukulaumu maana yote hayo anayoyafanya mwanaum bado ukiondoka mwanamke unalaumiwa!!
Ukisema uangalie watu wanasema nini utakuja kufa bure.

Mwanaume kama kaamua hakutaki na hataki kuondoka mpishe wewe

Maana kama unahofia watoto mnapoishi pamoja ndipo mnapowaharibu watoto kwa ugomvi na mnawaathiri

Halafu ukiondoka mwanzo ndio huwa mgumu..... ila ukishasettle mbona utajinenepea tu

Wakati mwingine likuepukalo lina kheri nawe
 
Back
Top Bottom