Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

MTALAKA HATONGOZWI?
AKIPATA HELA TENA HUTARUDI?
nilimuacha na pesa zakee!!tena yuko kwenye peak pesa sio furaha ya moyo!
kama kula good time nimeshakula sana tu!
na wadada wengi pesa zinatuua mwanaume akijua hvyo basi atakunyanyasa maana huwezi kubali kuacha luxuries wakati anakunyanyapaa mi hapana kwa kweli

Baba yangu alinifunza kuheshimu utu kabla ya kitu kwanza!
 
yes!good person alikua anantia jeuri sana ya kipesa kipindi naanza kazi!alikua anajua kuhandle my anger before hajaanza michepuko nimekula good time sana tuu!
Familia yake inanipenda sana tena sana!!
Ana wivu balaa mpk kivuli changu anakionea wivu!

I don't regret to have kids with him,or having rltn with him kwa kweli!
Binadamu hakuna mkamilifu kila mtu ana mabaya yake!
Sijutii kuolewa,sijutii kuachana pia!
Na sitamsema vibaya kwa watoto Ila kurudi kwake hapana!!!!
That's maturity swts

Watu wanadhani mahusiano ni "pesa" tu; no wonder wanakuwa watumwa wa pesa na wenye pesa zao
 
siwezi msema vibaya kwa wanangu maana ni baba yao!
Ugomvi wetu hauhusu ndugu wala watoto Mimi sitaki maswali kwa wanangu baadae yasiyo na majibu that's why nimemuachia kila kitu!!

Ukipenda sana pesa lazima ufe na tai shingoni tuu!yani anaona bora ngumi kwenye Prado kuliko upendo kwenye nyumba ya udongo!mi hapana kwa kweli!!
 
yes!good person alikua anantia jeuri sana ya kipesa kipindi naanza kazi!alikua anajua kuhandle my anger before hajaanza michepuko nimekula good time sana tuu!
Familia yake inanipenda sana tena sana!!
Ana wivu balaa mpk kivuli changu anakionea wivu!

I don't regret to have kids with him,or having rltn with him kwa kweli!
Binadamu hakuna mkamilifu kila mtu ana mabaya yake!
Sijutii kuolewa,sijutii kuachana pia!
Na sitamsema vibaya kwa watoto Ila kurudi kwake hapana!!!!

Ok. Katika wakati mgumu umempa mgongo!!
Mbona naambiwa anakupenda sana. Utafurahi sana akifirisika kabisa
 
siwezi msema vibaya kwa wanangu maana ni baba yao!
Ugomvi wetu hauhusu ndugu wala watoto Mimi sitaki maswali kwa wanangu baadae yasiyo na majibu that's why nimemuachia kila kitu!!

Ukipenda sana pesa lazima ufe na tai shingoni tuu!yani anaona bora ngumi kwenye Prado kuliko upendo kwenye nyumba ya udongo!mi hapana kwa kweli!!
Yeah una hekima sana binamu. No need ya kumgombanisha na wanae,. Unless aje azingue mwenyewe kwa wanawe, na uzuri watoto si wanaona

Teh binaaa mwingine hilo prado anafanya kuliona tu limepack, au afanye kuvizia, alishike Kwa nje apige selfie, haruhusiwi kulipanda Teh. Hakuna kitu kizuri kama amani ya moyo
 
Mwanaume akiwa anaeleweka sawa ila Mwanaume asieeleweka ukimuweka mbele sana utakufa siku si zako..mda mwingine achana nae fanya yako..inatucost wanawake mda mwingine huna mbele wala nyuma kazi yako mapenzi tu...tujitahidi kazi,biashara, elimu nk sio kwa lengo la kudharau mume ila ikusaidie incase akiwa msumbufu una pakushika hupauki mjini mtt wa kike,..na asipokaa sawa get ur self a new man too..
 
Yeah una hekima sana binamu. No need ya kumgombanisha na wanae,. Unless aje azingue mwenyewe kwa wanawe, na uzuri watoto si wanaona

Teh binaaa mwingine hilo prado anafanya kuliona tu limepack, au afanye kuvizia, alishike Kwa nje apige selfie, haruhusiwi kulipanda Teh. Hakuna kitu kizuri kama amani ya moyo
Mungu asimame kati yetu siwezi kumchonganisha hata kidogo!!
Hahaaaa Prado waligusa tu na selfie wenzio na kulana wanalana humo michepuko
Kuna Dada mmoja siku moja anaenda kazini anamuambia mmewe ampe lift kamuambia hupandi humu nna haraka bidada akaondoka anafika mataa vingunguti analiona gari la mumewe na mbele kakaa mwanamke mwenzie!!
 
Hahaha hizi ndoa mweee
 
Ok. Katika wakati mgumu umempa mgongo!!
Mbona naambiwa anakupenda sana. Utafurahi sana akifirisika kabisa
Sijampa mgongo Ila yy ndie alianza kubadilika Sana,nilipambana kimya kimya mnakaa four months hamukutani kimwili akirudi nikashirikisha wazee akiulizwa sababu za mabadiliko 'anajibu"basi tu nimemchoka nataka nitafute mwingine"hajanikosea wala nini!!

Mambo yalikua magumu na mie mwanangu akaanza kuumwa ghafla sasa nkaja DAR kumtibia ndo nilijiroga hapo"siku narudi niko nakuta bimdogo ndani kajaa tele kama pishi la Mchele"

Nikalala kwa jirani asubuhi nkarudi kwetuuu kwenye nyumba ya urithi wa mama angu mzazi!
 
Mmmh jamani. ..
 
Mmmh jamani. ..
yes!!binamu if you were in my place!vaa viatu vyangu!
ungefanyaje?!!
muongeaji mzuri sana mm Ila ugomvi siwezi haswa kugombea dyudyu hata kama ni halali kwangu
Halafu ndo maana tulisoma ili tutofautiane!!siwezi kugombana mie jamani!!
 
geniveros said:

Hard to swallow.h
Kirahis tu hivyo!!!
Upo tayari kurudi Mkirekebisha tofauti zenu?
 
yes!!binamu if you were in my place!vaa viatu vyangu!
ungefanyaje?!!
muongeaji mzuri sana mm Ila ugomvi siwezi haswa kugombea dyudyu hata kama ni halali kwangu
Halafu ndo maana tulisoma ili tutofautiane!!siwezi kugombana mie jamani!!
Binamu viatu vingine ni vikubwa sana kuvivaa. Mungu akusimamie na kukutetea
 
Hahaaa!vikubwa utajaza sponji
Hv vinabana na sikusema home km nimekuta mtu but wifi yangu ndo alisema kwao na kwetu!
Nilikua sitaki familia zijue!
 
Aisee soooo sad!! Shetani amezikamata sana familia maana anajua ndio msingi wa kila kitu.
 
Back
Top Bottom