Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,437
Hivi leo sistahili staftahi?kizuri Shea na nduguyo dear!!
Hivi leo sistahili staftahi?kizuri Shea na nduguyo dear!!
Asilani mi siezi kukuacha. Kwanza nimejiandaa unizalie babygirl mwingineSisi huku mradi mmeoana na kuzaa kuachana hakuna au mkiachana basi we ndo unaoneka failure mkubwa kweli!
Maneno haya nayahifadhi moyoni mwangu. Hasa hiyo sentensi ya mwisho.ameen!!mpenzi ntakuzalia hata mapacha!!
love u sana!
Ni lazima nimuachie maumivuSi uombe talaka au uondoke tu na kumwacha? Kwani amekufunga kwa pingu?