And here the story goes!!!Being extra picky is not good either.
Not good because you may end up running the risk of being hit by analysis paralysis of decision making especially when time and tide wait for no [wo]man.
Mwanaume akiwa anaeleweka sawa ila Mwanaume asieeleweka ukimuweka mbele sana utakufa siku si zako..mda mwingine achana nae fanya yako..inatucost wanawake mda mwingine huna mbele wala nyuma kazi yako mapenzi tu...tujitahidi kazi,biashara, elimu nk sio kwa lengo la kudharau mume ila ikusaidie incase akiwa msumbufu una pakushika hupauki mjini mtt wa kike,..na asipokaa sawa get ur self a new man too..
OoohDah umenikumbusha story ya kusikitisha sana,baba mmoja alipata pesa nyingi as alikuwa mfanyabiashara wa mitumba.Hela ikamzuzua akamkimbia mkewe wa ndoa,akaenda kuoa mke mwingine.Pamoja na kuoa mke mwingine ,yule baba hakuacha kuwa na michepuko.Mwisho wa siku akafilisika na akarudi kwa mkewe ,mkewe akampokea kama mmewe wa ndoa.Kumbe yule baba karudi na ngonjwa hatari la Ukimwi ,na enzi zile hakukuwa na ARV miaka ya tisini mwishoni.Mme alikufa na mke nae baadae akafa.
Habari za Jumapili wanajamvi,
Naomba nishauri wanaume wenye tabia ya kuacha au kutelekeza wake zao nusunusu.
Takuta mwanaume anakufanyia visa vingi ndani hapo ndo kashaanza michepuko huko, mnakaa ndani miezi hakuna kukutana kimwili, nyumba ugomvi hauishi na inageuka uwanja wa mapambano kila siku.
Ukienda kumshtaki kwa watu wazima mana uvumilivu sasa umeshindikanika akiulizwa mkeo ana kosa gani'anajibu hajanifanya chochote simpendi tu sasa, mvumilivu, anawapenda ndugu zangu ananihudumia vizuri Ila mimi tu simpendi! s"ababu hana, kumbe hela zinampa kibri. Anakutimua kama mbwa kwake unakomaa huondoki mwisho analeta mwenzio ndani make wrote ndo unapojitoa hapo kurudi kwenu.
Unafika unayumbaaa kimaisha maana hana msaada na wewe wala watoto mpaka unasimama tena kimaisha. Michepuko ile sasa inamkimbia maana anaanza kuyumba, kila mwanamke anatimua kila siku nyumba inakua gesti bubu! Unakomaa we mama na wanao mpaka wanaanza shule tayari maisha yanaanza kukaa sawa na umeshamsahau kabisa katika ramani ya moyo wako sasa unaenjoy na watoto wako yeye sasa anajileta.
Anaanza kukusifia kila Sikh asubuhi meseji Mara whatsap, Mara texts na ujinga wotee, haitoshi anaanza kuomba msamaha urudi tena kwake' unajiuliza nirudi kwa kua ananipenda au kwa kua amefilisika niende kumueka kwenye BOOM ili akudhalilishe tena samahani sana, mwanamke sio mua kua una thamani pale unapouhitaji ukimaliza yale maganda unatupa haraka sana maana ni uchafu,
mwanamke pia sio condom unaitumia na kuitupa.
Tabia ya kuwafanya wake zenu au wenza wenu wa ukweli spea tairi muiache sio nzuri. Ana mapungufu mvumilie maana ndo ushamuoa huyo au ndo ushamzalisha tayari, wanaume jifunzeni kuwa na huruma na wake zenu.
Jumapili njema!
Chochote kinawezekana kwa individual. I am talking about the chances of that happening on the average when precautions are taken as opposed to when they are not.
Sasa hivi nimetoka kuongea na bidada kwenye simu hapa. Mume wa dada yake ame file for divorce this week, dada (mke) kataka kujiua, kameza sleping pills kibao na Vodka.Bidada anatoka hospitali kumtazama dada yake.
Tatizo wali rush in into marriage. Head over heels. All fantasy.Very high expectations. Little reason.Dating nafikiri ni miezi kama sita hivi.
Mume mwanajeshi, kaja kutokea habari za kuwa romantic hawezi. Mke ana high expectations anataka wakitembea washikane mikono.
Jamaa kaona isiwe tabu ka file for divorce just like that. Mke analalamika kitandani hospitalini hajapewa hata chance.
Taizo kubwa ni kwamba, watu wanapochumbiana wanakuwa si wawazi sana kuhusu personalities zao. Na hapo hapo wanakuwa infatuated. Ndiyo mana Waswahili wakasema "Apendaye chongo huita kengeza".
Sasa mkija kuoana huko, infatuation zimeisha, unaona chongo unaanza kutambua sasa. Alaah, kumbe hiili naliita kengeza siku zote kumbe chongo?
Pay more attention to little things in the beginning. Even if you cannot eradicate all risk, you will eliminate a lot.
Mume kukutunza muhimuu..kakuoa wa nini..bt mwanamke kujiweza ni kama insurance, usimtegemee 100% have ur own japo kidogo..mtu hela ndogondogo zisikupige chenga kisa umebwetekaHaya ndo maneno... Zama za kumtegemea mwanamume ili akutunze zimepitwa na wakati. Get ur own flow na akizingua unajikusanya u move on and live ur life.
Wanaume ni wabinafsi sana! Hakuna cha limbwata wala nini ila ni ubinafsi na uchoyo ndo umewajaa, wanaume wengi wenye michepuko ni wale wanaoishi kwa kula na kunywa nje ya nyumba zao, mtu home kaacha elfu 5,nje anakwenda kula peke yake elfu 20-40 kwa siku atakula kuku,chips, bia na bado atawanunulia wanaomzunguka lakini mkewe kamuachia elfu 5 toka asubuhi hadi jioni na wana watoto!! Binafsi baba yangu na utu uzima alionao asipoliona jengo La Bar basi ujue anaumwa,nakumbuka mama alikua ananiambia nikiondoka wanangu hamtasoma-alivumilia sisi tusome mpaka leo nna maisha yangu namwangalia mama kwa jicho la pekee sana maana kwa nguvu na upendo wake nimefika hapa nilipo leo japo hakua na kazi ila asimamia mateso aliyopitia ili leo sisi tuwe hapa tulipoHayo ndio mapungufu ya wanaume tuliowengi hii hutokea kwa limbwata yaani uchawi au hali ya kawaida ila mara chache.
Fikiria Kwa kina ni Baba yupi anatamani kuitelekeza familia yake yaani Mke aliyemsotea kumuomba amuoe na watoto aliozaa na huyo mke.
Tatizo ndoa nyingine haziko Kwa upendo bali shinikizo alimtia mimba basi wanaishi, alimuwekea madawa limbwata basi wanaishi akija kaenda Kwa mkali zaidi mganga basi jamaa anahama.
Wewe utafikiri ni hela imemkimbiza kumbe mchepuko umemtengeneza baada ya kuona hela.
Vipi siku mzee machache akifulia miss atakimbia? Nawaza kwa sauti tu hahahahahahBinamu wengi wanarudi kwa wake zao baada ya mambo kuwachachia huko nje na sio kwamba amegundua makosa yake. Kama hajafulia basi ana maradhi, na michepuko mingi haijui neno "shida", shida kwa mkeo. Mbona hawagundui makosa yao wakiwa na hela bado na afya njema? Akipatwa na mabalaa huko ndo anajirudisha, kajichokea hana hata ongezeko la thamani, yani apeche alolo. Arudi huko huko alikokuwa ameinvest raha zake shaaaa
Aaah machache kufulia sio leo na kufulia kwake hakutakuwa kama kufulia kwetu mwee, miss anaweza kubaki eti lol,Vipi siku mzee machache akifulia miss atakimbia? Nawaza kwa sauti tu hahahahahah
Hahahaaa! Babu bwana eti huyo mjinga wake.[/QUOTE]Pole sana mpenzi kwa maswahibu yaliyokupata.
lakini si wanaume wote tuko kama huyo mjinga wako.
Mimi bado nakupenda[/QUOTE]Hahahaaa! Babu bwana eti huyo mjinga wake.
Hata mimi nakupenda pia.[/QUOTE]Mimi bado nakupenda
kwa nini hakumsimamia mpaka wapime dah..huruma zingine sio hata kanisan unaambiwa isiwe too muchDah umenikumbusha story ya kusikitisha sana,baba mmoja alipata pesa nyingi as alikuwa mfanyabiashara wa mitumba.Hela ikamzuzua akamkimbia mkewe wa ndoa,akaenda kuoa mke mwingine.Pamoja na kuoa mke mwingine ,yule baba hakuacha kuwa na michepuko.Mwisho wa siku akafilisika na akarudi kwa mkewe ,mkewe akampokea kama mmewe wa ndoa.Kumbe yule baba karudi na ngonjwa hatari la Ukimwi ,na enzi zile hakukuwa na ARV miaka ya tisini mwishoni.Mme alikufa na mke nae baadae akafa.