Kumbe ndo maana hatujaolewa hadi Leo lol, (but I ain't too choosy, I simply know what I Need). Red flags sio kitu cha kukiignore hata kidogo, wala kujipa matumaini " ooh atabadilika tu mbeleni" + kuna ile naweza kukutana na mtu, hata sijamfahamu ila roho ikamkataaa kabisa, aisee najikata tu. Above all tunafanya choices kwa akili zetu za kibinadamu, huwezi kujua ya sirini ya mtu, ila Mungu atakufunulia. Ndoa naipenda mno ila sijakurupuka badoMie wanaishiaga kuniambia eti 'unachagua sana' maana red flags sizipi kisogo, am too sensitive so sitaki kukurupuka, no one is perfect ila ninaloweza kuliepuka acha linipite mbali tu.
Tatizo lenu nyie kila kitu mnawasingizia hawa mapacha ambao hawapo. Mungu na Shetani.Mungu ameweka kusudi kubwa sana kwenye Ndoa. Ndo maana shetani anapigana sana na ndoa
Mie wanaishiaga kuniambia eti 'unachagua sana' maana red flags sizipi kisogo, am too sensitive so sitaki kukurupuka, no one is perfect ila ninaloweza kuliepuka acha linipite mbali tu.
Kumbe ndo maana hatujaolewa hadi Leo, red flags sio kitu cha kukiignore hata kidogo, wala kujipa matumaini " ooh atabadilika tu mbeleni" + kuna ile naweza kukutana na mtu, hata sijamfahamu ila roho ikamkataaa kabisa, aisee najikata tu. Above all tunafanya choices kwa akili zetu za kibinadamu, huwezi kujua ya sirini ya mtu, ila Mungu atakufunulia. Ndoa naipenda mno ila sijakurupuka bado
Hayo ya Mungu na shetani naomba tusiyadiscuss, maana hatutafika muafakaTatizo lenu nyie kila kitu mnawasingizia hawa mapacha ambao hawapo. Mungu na Shetani.
Hakuna cha Mungu wala Shetani.
Nikirudi kwenye methali za Wasahili, Waswahili walisema Ibilisi wa mtu ni mtu.
Sisi wenyewe watu tunalikoroga halafu tukishindwa kulinywa tunawasingizia Mungu na Shetani.
Mimi siamini katika habari za Mungu wala Shetani. Ni habari za ushirikina kama uchawi tu.
Matatizo ya watu yatatatuliwa na watu.
Ukiamini sana habari za Mungu utamuachie mwanamme aku abuse, badala ya kutafuta solution utaenda kumuomba mungu ambaye hayupo.
Anaye ku abuse anaendelea kukuabuse.
Hadithi za kale hizo. Zama hizi tunatafuta solutions za watu Zaidi kuliko habari za mungu.
Mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo asingeumba ulimwengu wenye kuwezekana kuwa na matatizo ya ndoa kama huu.
Ka usawa huu naanza kuona baadhi ya kinadada kuanza kuomba sperm donors na kina kaka kuomba contracts kwamba baada ya ku donate sperm hawatasumbuliwa.Being extra picky is not good either.
Not good because you may end up running the risk of being hit by analysis paralysis of decision making especially when time and tide wait for no [wo]man.
Mara nyingi huwa inakuwa hivyo. Muda unavyozidi kwenda ndo tatizo linavyozidi kukua. Jipime kama unaweza kuubeba huo udhaifu wa mwenzi wako, basi ubebe. Ila mambo ya kusema ntavumilia tu au atabadilika, yanawagharimu wengiKali ya "atabadilika mebele" ni ya kujifariji.
Ni kweli atabadilika. Atbadilikwa kuwa even worse.
Unapoingia katika ndoa ukubali kwamba mwenzi wako anaweza kubadilika for the worse kutoka hapo alipo.
Sio uanze kujifariji kwamba ataget any better. Inawezekana, lakini you are not prudent if you think like that.
Ni kama vile unapanga bajeti kwa kufikiria utashinda bahati nasibu badala ya kupiga bajeti kutokana na mshahara wako na uwezekano wa kufilisika.
Wishful thinking.
Kuna ka desperation fulani na kufikiri "Sijui kama nitapata mwingine kama huyu tena" vina play part katika ku settle hivyo.Mara nyingi huwa inakuwa hivyo. Muda unavyozidi kwenda ndo tatizo linavyozidi kukua. Jipime kama unaweza kuubeba huo udhaifu wa mwenzi wako, basi ubebe. Ila mambo ya kusema ntavumilia tu au atabadilika, yanawagharimu wengi
Ka usawa huu naanza kuona baadhi ya kinadada kuanza kuomba sperm donors na kina kaka kuomba contracts kwamba baada ya ku donate sperm hawatasumbuliwa.
Mimi kuna bidada alishaniomba. Nikaona mmmmhhhh!
Umenikumbusha ishu ya Ronnie Coleman...former Mr. Olympia [smart guy who graduated cum laude, good genetics, very successful, etc.].
Jamaa kachangia mbegu kwa mdada, licha ya makubaliano kuwa hawatadaiana, baada ya kuzaa mdada kaja kumchenjia jamaa mbele ya safari.
Appeals court rules Arlington sperm donor doesn't owe child support
Kuna ka desperation fulani na kufikiri "Sijui kama nitapata mwingine kama huyu tena" vina play part katika ku settle hivyo.
Hasa dada zetu wakianza kufikisha umri fulani na kuanza kuona wenzao wanaolewa olewa inakuwa kama mashindano fulani hivi nani kaolewa na nani hajaolewa.
Matokeo yake hata walio kwenye ndoa wako kwenye ndoa ya minajili ya kle Waswahili wanachosema "Zimwi likujualo, halikuli likakwisha".
Rais Mkapa kasheherekea miaka 50 ya ndoa yake wiki hii. Ndoa ilikua na misukosuko sana ile, alhamdullilah imefika miaka 50.
Mwaka 1994 Mama Anna alikuwa bado kidogo aondoke na kuchukua talaka yake. Mpaka Nyerere akaingilia kati kuwasuluhisha 1995 kuwaambia warudiane, partly kwa sababu ingekuwa haiyumkiniki rais anayenadiwa kuwa mtu safi agombee urais huku kakorofishana na mkewe mpaka talaka.
Kwa hiyo labda mara nyingine usuluhishi nao una sehemu yake. Ndoa nyingi hii zilizokaa muda mrefu nazo zimepitia misukosuko mingi sana, tusione Jubilei tu tukafikiri miaka yote imepita kwa heri.
Mimi kuna maswali kama "Unaoa/ olewa lini?" ""Utazaa lini?" na "Unafanya kazi gani?" nakuwa mgumu sana kuuliza, hususan kwa watu ambao siwajui vizuri.Yani umemaliza yoteee. "Desperation ndo inatumaliza, na pressure za jamii yetu, maana daily unaulizwa unaolewa lini. Mwishowe mtu unakurupuka tu, afu ndoa ikikushinda, Jamii hiyo hiyo inaanza kuku-judge vibaya tena.
Mtu unaona kabisa hii tabia fulani siwezi kuishi nayo, ila unahisi labda hatotokea mwingine anitangazie ndoa na ka-umri kamesonga, unajitosa tu. Aisee bora tu nichelewe kuingia, but nije niingie na mtu nitakaye-complement naye. Changamoto zipo kama ambavyo maisha ya kawaida yalivyo na Changamoto, but zisiwe za kujitakia mwenyewe yani naona shimo lile afu naingia.
Kweli mtu atasimama aseme "ndoa yangu ina miaka 30", sio miaka 30 ya kurelax, kuna muda wamelia, wamenuniana, wametengana vyumba n.k. Ndoa inahitaji continous efforts (it's a work in progress). All in all, Marriage is such a beautiful thing ukimpata wa kuchukuliana naye
Ila wasukuma kwa michepuko nao wamo......usikurupuke kweli kabisa
bora uonekane selective mie nlidata maana nlikua napenda wasukuma jamani weeehh,!.
So alivyokuja loohh!!fastaa
Mimi kuna maswali kama "Unaoa/ olewa lini?" ""Utazaa lini?" na "Unafanya kazi gani?" nakuwa mgumu sana kuuliza, hususan kwa watu ambao siwajui vizuri.
Ni maswali fulani yamekaa ki pressure pressure sana hivi.
Unajuaje mtu anataka kuoa/kuolewa? Na kama anataka, unavyouliza hivyo utamtafutia mme/mke anayemtaka akikwambia hajampata?.
Kuzaa ndiyo kabisaaaa, swali la kile Waswahili wanachokiita "uchuro". Unajuaje anaweza kuzaa? Asipozaa je?
Kazi, unajuaje ana kazi? Kama hana kazi huoni unamuingilia faragha yake na kumfanya ama aanze kudanganya ana kazi au atoe maneno ya aibu kwamba hana kazi?
Kwa usawa huu ni kujikita kwenye kusoma na career tu. Kuna New York Times article moja waliandika kuhusu ndoa ya Barack na Michelle Obama, some of it is prone to be hagiography, lakini the main point walisema kwamba Michelle alikuwa hana mpango wa kutaka kuolewa, alikuwa na mpango wa career advancement, ikatokea tu kazini humo humo akakutana na Barack Obama wakaliendeleza libeneke kwa ku date muda mrefu, wakafahamiana, wakafunga ndoa.
We mtu mnakutana club iki hii, mwezi ujao ndoa, utategemea nini hapo?
Take your time aisee........Kumbe ndo maana hatujaolewa hadi Leo, (but I ain't too choosy, I simply know what I Need). Red flags sio kitu cha kukiignore hata kidogo, wala kujipa matumaini " ooh atabadilika tu mbeleni" + kuna ile naweza kukutana na mtu, hata sijamfahamu ila roho ikamkataaa kabisa, aisee najikata tu. Above all tunafanya choices kwa akili zetu za kibinadamu, huwezi kujua ya sirini ya mtu, ila Mungu atakufunulia. Ndoa naipenda mno ila sijakurupuka bado
Thanks swts. Ni Mungu tu ndo anaweza kukibadilisha kiumbe chake,Take your time aisee........
Hakuna binadamu anayeweza mbadilisha binadamu mwenzie....ila binadamu anabadilika pale anapoamua abadilike
Wasukuma hata wakichepuka lazima nyumbani pawe fresh wewe.Ila wasukuma kwa michepuko nao wamo......
(Watani zangu hawa wasinirushie mawe)...
Im so sorry. But mid 20's, kids,divorced. Ndoa za siku hizi ngumu sana.vita nyingine ngumu kuna wanawake uchawi wanausafiria halafu mie ndo Niko mid 20's sijui chochote...
alivyoshindwa kwa mwanaume akapiga Bomu kwa mtoto kaponea kwenye maombi Hosp.hana ugonjwa!!
ndo nikajileftisha maana my child my life!!
wanangu maisha yangu,kama huwapendi wanangu aiseehh!!huna credit!;