Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Haya ngoja nikubembeleze le mbebz wangu wa ukweli....

GENIE, HEBU KUJA PANDE HII NIKURENGE.
hhhhaaaahhhhaaaa!!!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] naja my new babyyy
 
natakiwa nipate wazee km nyie!!
Maana vijana siwawezii
Ewaaaaa.... sasa unaanza kupata hekima kama Madame Ritta.

Hebu tuimbe haka kawimbo.... "Vijana wnapanda baiskeli, wazee wanavaa raizoni"

Hako ka wimbo ntakuwa nakuimbia siku ya birthday yako.
 
Ewaaaaa.... sasa unaanza kupata hekima kama Madame Ritta.

Hebu tuimbe haka kawimbo.... "Vijana wnapanda baiskeli, wazee wanavaa raizoni"

Hako ka wimbo ntakuwa nakuimbia siku ya birthday yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] asante le mbebeezzz!!!!
 
hhhhaaaahhhhaaaa!!!.
naja my new babyyy

Hakika utafurahia maisha yako, nami ntakupa vya kwangu,
Ntairidhisha nafsi yako, upate raha za ulimwengu,
Uendako na urudiko, utakuwa na ulinzi wangu
Utasahau utokako, na kumshukuru Mungu.......

Njoo kwangu bebi wangu, uuhifadhi moyo wako

Dedikesheni to my new bebi geniveros
Mwaa kwa lips zake laini kama sufi ya Handeni
 
hahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si kwa mashairi hayo jamani kama Shaba Robert!!Me luv u too!
 
hahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si kwa mashairi hayo jamani kama Shaba Robert!!Me luv u too!
Mi nimeona hiyo red tu....

Na nimeihifadhi hapa kwa moyo wangu. Mapigo ya moyo yameongezeka.

Niambie kabisa, nikuletee limbwata uniwekee??? Nataka nikupende peke yako
 
Mi nimeona hiyo red tu....

Na nimeihifadhi hapa kwa moyo wangu. Mapigo ya moyo yameongezeka.

Niambie kabisa, nikuletee limbwata uniwekee??? Nataka nikupende peke yako
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!
Asanteee!!!
Limbwata silitaki mie njoo wewee tu!
tupeana vya bara na pwanii!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!
Asanteee!!!
Limbwata silitaki mie njoo wewee tu!
tupeana vya bara na pwanii!
Thats my girl...

Yani chapchap sana kwa raha zetu.

Wenye wivu wasukume ukuta
 
wanawake wengi tunafia watoto!
hata Mimi nilirudi Ila nkakuta chepuko ndani!nkarudi DAR!
Ndo ikawa mwisho wetu!
Hakuna mwanamke anaependa kulea peke yake hata kama mime hamuhudumii atapambana kwa ajili ya wanawe!
Mungu atubariki wanawake wote wavumilivu, atupe ujasiri wa kuamua yaliyomema kwa ajili ya vizazi vyetu, atuondolee magumu na mabalaa yoote
 
Back
Top Bottom