Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Pole sana mpenzi kwa maswahibu yaliyokupata.

lakini si wanaume wote tuko kama huyo mjinga wako.[/QUOTE]
thanx! najua wapo wema pia but nimejifunza kutokana na makosa!
 
Pole sana mpenzi kwa maswahibu yaliyokupata.

lakini si wanaume wote tuko kama huyo mjinga wako.

Hahahhaha Babuu unataka kutumia fursa[/QUOTE]
baby!!we si upo!!unanipetipetii!
 
Mume kukutunza muhimuu..kakuoa wa nini..bt mwanamke kujiweza ni kama insurance, usimtegemee 100% have ur own japo kidogo..mtu hela ndogondogo zisikupige chenga kisa umebweteka
yaah!ukiwa na ajira inasaidia sana au ukiwa mfanyabiashara
 
Hakika utakuwa ushawawi kufanyiwa hivo.

Nimependa ushauri wako.
 
[/QUOTE]
thanx! najua wapo wema pia but nimejifunza kutokana na makosa![/QUOTE]

Kama vipi, nadhani unapajua pa kunipata.

Sitakuangusha.
 
Wanaume ni wabinafsi sana! Hakuna cha limbwata wala nini ila ni ubinafsi na uchoyo ndo umewajaa, wanaume wengi wenye michepuko ni wale wanaoishi kwa kula na kunywa nje ya nyumba zao, mtu home kaacha elfu 5,nje anakwenda kula peke yake elfu 20-40 kwa siku atakula kuku,chips, bia na bado atawanunulia wanaomzunguka lakini mkewe kamuachia elfu 5 toka asubuhi hadi jioni na wana watoto!! Binafsi baba yangu na utu uzima alionao asipoliona jengo La Bar basi ujue anaumwa,nakumbuka mama alikua ananiambia nikiondoka wanangu hamtasoma-alivumilia sisi tusome mpaka leo nna maisha yangu namwangalia mama kwa jicho la pekee sana maana kwa nguvu na upendo wake nimefika hapa nilipo leo japo hakua na kazi ila asimamia mateso aliyopitia ili leo sisi tuwe hapa tulipo
wanawake wengi tunafia watoto!
hata Mimi nilirudi Ila nkakuta chepuko ndani!nkarudi DAR!
Ndo ikawa mwisho wetu!
Hakuna mwanamke anaependa kulea peke yake hata kama mime hamuhudumii atapambana kwa ajili ya wanawe!
 
Dah umenikumbusha story ya kusikitisha sana,baba mmoja alipata pesa nyingi as alikuwa mfanyabiashara wa mitumba.Hela ikamzuzua akamkimbia mkewe wa ndoa,akaenda kuoa mke mwingine.Pamoja na kuoa mke mwingine ,yule baba hakuacha kuwa na michepuko.Mwisho wa siku akafilisika na akarudi kwa mkewe ,mkewe akampokea kama mmewe wa ndoa.Kumbe yule baba karudi na ngonjwa hatari la Ukimwi ,na enzi zile hakukuwa na ARV miaka ya tisini mwishoni.Mme alikufa na mke nae baadae akafa.
Mwanawake tunaongozwa na hisia ndio udhaifu wetu, ukifikiria watoto unaamua kurudisha majeshi...
 
thanx! najua wapo wema pia but nimejifunza kutokana na makosa![/QUOTE]

Kama vipi, nadhani unapajua pa kunipata.

Sitakuangusha.[/QUOTE]
hhhhhaaaahhhaaaa!!!!
asanteee!!!
 
hahahahabaaaaa!!ngoja nije basi!!!

Ila ngosha atakutafuta akufanyie mbaya!

Ole wako unichomeshe mahindi. Afu ili tusicheleweshe mambo, uje without kabisa.

Alshaabab siwaogopi ndo niogope hao ndugu zake prezidaa?? Mbona unaweka ukuta tena? (Ukuta huu hauhusiani na ukuta pinzani na polisi, mimi sio mchochezi)
 
sikuchomeshi babuu!!
We yule busta yake akiifunga huo mziki watu wote ndukii!
Kama unamueza tutaona
 
sikuchomeshi babuu!!
We yule busta yake akiifunga huo mziki watu wote ndukii!
Kama unamueza tutaona
Usiwe na mashaka..... nimejiandaa kuwa mlinzi wako.

Umefika wapi??

Silaha yangu nlishaihakiki kwa Makonda. Iko salama.
 
Usiwe na mashaka..... nimejiandaa kuwa mlinzi wako.

Umefika wapi??

Silaha yangu nlishaihakiki kwa Makonda. Iko salama.
hhhhaaaahhhaaa!!!nakusubiri njoo!!
Ila jipange tu maana mapambano si madogo
 
hhhhaaaahhhaaa!!!nakusubiri njoo!!
Ila jipange tu maana mapambano si madogo
Unaona sasa ulivo mkorofi?? Tushakubaliana wewe ndo unakuja??

Raha uanze wewe mimi nimalize.... Nikianza mimi we ukishindwa kumaliza huoni itakuwa karaha??

Hebu njoo bhana, utanifanya nibadili mawazo. Itakula kwako.

Niko without tayari
 
Usiwe na mashaka..... nimejiandaa kuwa mlinzi wako.

Umefika wapi??

Silaha yangu nlishaihakiki kwa Makonda. Iko salama.
natakiwa nipate wazee km nyie!!
Maana vijana siwawezii
 
Unaona sasa ulivo mkorofi?? Tushakubaliana wewe ndo unakuja??

Raha uanze wewe mimi nimalize.... Nikianza mimi we ukishindwa kumaliza huoni itakuwa karaha??

Hebu njoo bhana, utanifanya nibadili mawazo. Itakula kwako.

Niko without tayari
anza wewee!mwanamke lazima abembelezweee!!!
 
Back
Top Bottom