Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Weeeeh!! Mwingine unaishi nae hata 10 years, siku akiamua kukukurupukia kama utabiri wa hali ya hewa wa tz ndio utaiona nyeupe imekuwa nyeusi ghafla!!
hahaaaaa!!!punguza maneno!!
 
[Unaaminiendoaros, post: 17388704, member: 224175"]mmmhh!alikataa na si unajua familia zetu hizi bila ndoa na side wadada ndoa tena tunatamanii ushamaliza chuo unataka kuolewa hapo tena uonekane we mwanamke!!

Sana tu amenisapoti vitu vingi,Ila amebadilika mnoo!!

Unaamini ndoa bado ipo?[/QUOTE]
kati yetu?!!
 
Sawa, lakini unapunguza risk.

Wengine tunasema binadamu anabadilika, hili ni kweli.

Lakini pia kuna matatizo ya ku rush into relationships na ndoa bila kujuana vizuri.

Unamkumbuka yule BTK serial killer?

Jamaa alikuwa na mke na watoto lakini hiyo familia yake haikujua kama alikuwa ni serial killer.

Juu ya kuwa family man, jamaa pia alikuwa mmoja wa wazee wa kanisa akiwa na cheo cha rais wa baraza la kanisa.

Dennis Rader - Wikipedia, the free encyclopedia
 
presha za kuolewa zinatuponzaga
 
Unamkumbuka yule BTK serial killer?

Jamaa alikuwa na mke na watoto lakini hiyo familia yake haikujua kama alikuwa ni serial killer.

Juu ya kuwa family man, jamaa pia alikuwa mmoja wa wazee wa kanisa akiwa na cheo cha rais wa baraza la kanisa.

Dennis Rader - Wikipedia, the free encyclopedia
Hiyo inaonesha kwamba binadamu anaweza kujificha tabia yake usimjue vizuri.

Haioneshi kwamba ukiwa muangalifu kuchuja nani wa kuwa naye kama mwenzi wa maisha huwezi kuwachuja washenzi washenzi wengi.
 
Je, haiwezekani mtu kuficha tabia yake na akapita kwenye chujio?
Chochote kinawezekana kwa individual. I am talking about the chances of that happening on the average when precautions are taken as opposed to when they are not.

Sasa hivi nimetoka kuongea na bidada kwenye simu hapa. Mume wa dada yake ame file for divorce this week, dada (mke) kataka kujiua, kameza sleping pills kibao na Vodka.Bidada anatoka hospitali kumtazama dada yake.

Tatizo wali rush in into marriage. Head over heels. All fantasy.Very high expectations. Little reason.Dating nafikiri ni miezi kama sita hivi.

Mume mwanajeshi, kaja kutokea habari za kuwa romantic hawezi. Mke ana high expectations anataka wakitembea washikane mikono.

Jamaa kaona isiwe tabu ka file for divorce just like that. Mke analalamika kitandani hospitalini hajapewa hata chance.

Taizo kubwa ni kwamba, watu wanapochumbiana wanakuwa si wawazi sana kuhusu personalities zao. Na hapo hapo wanakuwa infatuated. Ndiyo mana Waswahili wakasema "Apendaye chongo huita kengeza".

Sasa mkija kuoana huko, infatuation zimeisha, unaona chongo unaanza kutambua sasa. Alaah, kumbe hiili naliita kengeza siku zote kumbe chongo?

Pay more attention to little things in the beginning. Even if you cannot eradicate all risk, you will eliminate a lot.
 
Duh

Kuna tofauti kati ya kuwa na mchepuko....

Na kuuleta mchepuko ndani kwako

Dharau ya hali ya juu aisee

Halafu anapata guts za kukiambia urudi kwako?

Wapi?

Alipokuwa analala na mchepuko au???
Mine km kuna Siku alinambia

Najutia siku uliyorudi ukakuta mwanamke ndani!!.
Ndo Siku ambayo sikurudi tenaaa,ni mwaka sasa umeisha!!

Nilikukosea sana najua!mi nampotezea tu sasa hv!!
Daaah!!we ndo mke wangu!mie nacheka tu!!
Maana nilishamdharau siku nyingi!!
Ni muda wako kurepent!!
 
Chochote kinawezekana kwa individual. I am talking about the chances of that happening on the average when precautions are taken as opposed to when they are not.

Sasa hivi nimetoka kuongea na bidada kwenye simu hapa. Mume wa dada yake ame file for divorce this week, dada kataka kujiua, bidada anatoka hospitali kumtazama dada yake.

Tatizo wali rush in into marriage. Head over heels. All fantasy.Very high expectations. Little reason.Dating nafikiri ni miezi kama sita hivi.

Mume mwanajeshi, kaja kutokea habari za kuwa romantic hawezi. Mke ana high expectations anataka wakitembea washikane mikono.

Jamaa kaona isiwe tabu ka file for divorce just like that. Mke analalamika kitandani hospitalini hajapewa hata chance.

Ttaizo kubwa ni kwamba, watu wanapochumbiana wanakuwa si wawazi sana kuhusu personalities zao. Na hapo hapo wanakuwa infatuated. Ndiyo mana Waswahili wakasema "Apendaye chongo huita kengeza".

Sasa mkija kuoana huko, infatuation zimeisha, unaona chongo unaanza kutambua sasa. Alaah, kumbe hiili naliita kengeza siku zote kumbe chongo?

Pay more attention to little things in the beginning. Even if you cannot eradicate all risk, you will eliminate a lot.
Heaven Sent@atoto njooni msome hapa!
 
[Unaaminiendoaros, post: 17388704, member: 224175"]mmmhh!alikataa na si unajua familia zetu hizi bila ndoa na side wadada ndoa tena tunatamanii ushamaliza chuo unataka kuolewa hapo tena uonekane we mwanamke!!

Sana tu amenisapoti vitu vingi,Ila amebadilika mnoo!!

Unaamini ndoa bado ipo?[/QUOTE]

kati yetu?!!!
 
Mie wanaishiaga kuniambia eti 'unachagua sana' maana red flags sizipi kisogo, am too sensitive so sitaki kukurupuka, no one is perfect ila ninaloweza kuliepuka acha linipite mbali tu.
usikurupuke kweli kabisa
bora uonekane selective mie nlidata maana nlikua napenda wasukuma jamani weeehh,!.
So alivyokuja loohh!!fastaa
 
Chochote kinawezekana kwa individual. I am talking about the chances of that happening on the average when precautions are taken as opposed to when they are not.

Sasa hivi nimetoka kuongea na bidada kwenye simu hapa. Mume wa dada yake ame file for divorce this week, dada (mke) kataka kujiua, kameza sleping pills kibao na Vodka.Bidada anatoka hospitali kumtazama dada yake.

Tatizo wali rush in into marriage. Head over heels. All fantasy.Very high expectations. Little reason.Dating nafikiri ni miezi kama sita hivi.

Mume mwanajeshi, kaja kutokea habari za kuwa romantic hawezi. Mke ana high expectations anataka wakitembea washikane mikono.

Jamaa kaona isiwe tabu ka file for divorce just like that. Mke analalamika kitandani hospitalini hajapewa hata chance.

Taizo kubwa ni kwamba, watu wanapochumbiana wanakuwa si wawazi sana kuhusu personalities zao. Na hapo hapo wanakuwa infatuated. Ndiyo mana Waswahili wakasema "Apendaye chongo huita kengeza".

Sasa mkija kuoana huko, infatuation zimeisha, unaona chongo unaanza kutambua sasa. Alaah, kumbe hiili naliita kengeza siku zote kumbe chongo?

Pay more attention to little things in the beginning. Even if you cannot eradicate all risk, you will eliminate a lot.

Okay, got you.

Exercising due diligence in every facet of life is advisable.

Some things may fall through the cracks but that's okay. It's life.

But you are definitely better off when you exercise it [due diligence] than when you don't.
 
Back
Top Bottom