Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kuna watu wanaishi miaka hata 5 bila ndoa, wakifunga ndoa after a year ndoa chali, unabaki kushangaa. Kila siku kuna changamoto mpya na watu wanajifunza mapya Kila sikuNdiyo maana wengine wanaamua kuishi na mtu kanza kabla ya kuolewa.