hovyohovyo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 547
- 157
Na u-dc wa chupi, ukurugenzi wa chupi, u-rc wa chupi, uwazir wa chupi. Yaani ni kichupichupi tu. Haya mambo yapo!!
Wapo wengi wenye digree za chupi kama S. Simba, Ghasia nk
Kichwa cha habari utata, ulisoma shule ya kata nini?
wasiwasi wangu ni kuwa kwa vile yupo karibu sana na jikoni inawezekana anajua haya mambo yanavyofanyika na kamsubject huyo mwanasheria bila kuelewa kuwa degree yake ni genuine. Maana naye hapo alipo nani anajua alivyofika?Wateule wa Ridhiwani hao, yani wanafanya ofisi za umma kama vijiwe vya kahawa na kucheza bao. Huyu jamaa kafanya vijana tuonekane hatuna weledi na uwezo wa kuongoza. Ukweli ni kuwa haya ndio matunda ya kuwapa watu nafasi za uongozi ambao hawajakomaa kiakili na kiroho.
Tatizo la watanzania ni kupima umakini wa mtu kwa maneno anayoongea au porojo badala ya actions za mtu. Mtu aliye makini hawezi kufanya udhalilishaji wa kijinsia kama huoAtakua ameteleza tu, Mrisho ni mmoja wa vijana makini CCM hii ya mafisadi.
Mkuu wa wilaya ya korogwe bwana mrisho gambo amemnanga mwanasheria wa wilaya ya korogwe
kuwa ana degree ya chupi. Kauli hii ilitolewa kwenye mkutano ambapo mwanasheria huyo alitakiwa
kutoa maelezo ya kesi inavyoendelea kati ya wafanyabiashara wa maduka na halmashaur hiyo.
Tatizo la watanzania ni kupima umakini wa mtu kwa maneno anayoongea au porojo badala ya actions za mtu. Mtu aliye makini hawezi kufanya udhalilishaji wa kijinsia kama huo
Ila ma-DC wetu wana vituko sana, mara matusi mara wachape walimu.........!
Kusema ndio kwa EL ni kitu kingine na kuongoza ni kitu kingine. Kama kipimo cha uongozi Tanzania kusema ndio au hapana kwa Lowassa basi yule Laigwanan kaiweka nchi mfukoni.Mrisho angekua mbali kimaisha na kisiasa kama angesema ndiyo mzee kwa EL kama vijana wengi walivyofanya kwa sababu hizi ndiyo siasa tawala ndani ya chama na hiki ni kitendo siyo maneno na hapo nikamuona makini alikua tayari hata kufukuzwa UVCCM pale Arusha kwa msimamo huu huu. haya siyo matendo kaka?
Kusema ndio kwa EL ni kitu kingine na kuongoza ni kitu kingine. Kama kipimo cha uongozi Tanzania kusema ndio au hapana kwa Lowassa basi yule Laigwanan kaiweka nchi mfukoni.
Mrisho Gambo hana proven records za uongozi ktk nchi hii, ila ana proven records za kujipendekeza na kulitumikia kundi hasimu na Lowasa ndo akapewa fadhila la uDC. Lakini huo upuuzi wenu uishie huko huko CCM, Tanzania ya baada ya ccm kila mtu atapata nafasi za uwezo na sio kwa kupewa na Riz1