Pamoja na yote yatakayosemwa lakini bado anastahili pongezi kwa uamuzi wakeAlikuwa anaenda kufukuzwa kazi na rais
Kumbe huyu BIBI BOmba NDIO MBUGE WA MULEBA KUSINI
Sisi wapenda maendeleo tunamhitaji muhongo abaki siyo vinginevyo tunataka maendeleo.
Hana kesi ya kujibu lakini wapenda maendeleo hoja yetu ni muhongo ndiyo tunataka abaki kuendeleza wizara ya nishati na madini.Kisiasa amewajibika, tukienda kisheria sijui kama atakuwa na hatia
Matusi ya nini? Hata wewe u astahili kumpongeza mh. AG kwa uamuzi wake na kumtakia kila la heri katika maisha yake...... CC: Lizaboni, Msalani, Faiza, Ritz, Simiyu Yetu Na Wengine. Njooni Mumtetee Bwana Wenu.
AG werema amejiuzuru Leo16/12/2014 na Mh. Rais amekubali kujiuzuru kwake kwa sababu "ushauri wake kwenye suala la Escrow haukueleweka, na amechafua hali ya hewa"
Source: ITV
Huyo ndiye anayefaa tu basi wengine ni mburura tuWampe Tundu lissu kama hawatojali
Werema alisema makosa ya Maswi atayabeba yeye mbona kamwachia mwenzake mzigo.
Hahahahaha mkuu Tanzania ni zaidi ya ukionacho posta au kariakoo....kuna mengi sana nyuma ya pazia chief
Na rais amekubali na amesema. Werema amechafua hali ya hewa.........