Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Kujiuzulu hakutishi, na wala kujiuzulu sio adhabu. Sheria ichukue nafasi yake, apandishwe mahakamani haraka sana.
 
Kwa Muhongo nakuunga mkono, ili amnyooshe yule mzee anayetaka kuwa dalali wa gesi, yule babu wa kuowa wajukuu zake
Hakika mkuu muhongo tunamhitaji sana kwenye wizara ile ili madalali wa vitaru vya gesi wanaotaka kupewa bure wagote manake muhongo ni kiboko yao.
 
mbona inadaiwa wanazuga jamaa imefika muda wake kustaafu!
 
Matusi ya nini? Hata wewe u astahili kumpongeza mh. AG kwa uamuzi wake na kumtakia kila la heri katika maisha yake.

Bado lazima ashitakiwe mahakamani kwa kosa hilohilo! mnaleta uso wa nyani kukwepa kipigo????
 
Huyu hafai kabisa. Ni bora kumweka Simbachawene. Nasikia naye ni mwanasheria.
 
Nampongeza kwa hatua hiyo ila wiki hii rais angemfuta kazi. Mshamba sana
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.

Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.

Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

Hili neno, "uaminifu na uadilifu"Lina sound vizuri"!?
 
Kesho UTASIKIA BIBI BOMBA ANAJIUZULUUU...

Kesho kutwa Hawa Ghasia ataondolewa na Rais ktk baraza jipya la mawaziri...!!!

Ijumaa ndio makubwa tutasikia....stay tuned, hii nchi hii....!!! Weziiiii watupu...!!
 
Then achukuliwe hatua kwa kutoa ushauri mbovu uliosababisha serikali kuingia hasara ya mabilioni ya pesa..

Huyu kituo cha kwanza kiwe Segerea na sio kule wapiw sijui wanakopelekanaga kwenye vitanda vya magodoro..!!! anatakiwa akalale kwenye Cement naw kutita kwenye ndoo kama walala hoi wa manzese. Na kwakuwa anakili kwamba alitoa ushauri mbovu, hapo hakuna kesi Moja kwa moja kifungo cha maisha na kufilisiwa... mnxyuuuuuuuu.......

BACK TANGANYIKA
 
Hana kesi ya kujibu lakini wapenda maendeleo hoja yetu ni muhongo ndiyo tunataka abaki kuendeleza wizara ya nishati na madini.
Mkuu mkabidhi familia yako akuletee maendeleo na siyo kujifanya msemaji wa watanzania
 
Wasitufanye sie wajinga…!!! Inamaana muda wote ikulu inashindwa kufanya maamuzi alafu wanaenda kubembelelezana ajiuzulu…!!!!??? Sijawah kuona viongozi wakijinga kama wa awamu ya 4
 
Hiyo koment ya raisi inqonyesha na yeye MULE MULE
 
Back
Top Bottom