Unaliwa mwenyewe, tena ni vibaya unaliwa kavukavu
Kwa hakika huyu AG mpya ni pigo kubwa kwa watanzania.Kwa kweli amepwaya kupita kiasi!
Tangu aingie ofisini kwa mwezi sasa huwezi kuamini kama ni mwamasheria aliyeiva kiasi cha kupewa cheo kikubwa namna hiyo!
Akiitisha vikao vya kiofisi hadi unamuonea huruma! Kujieleza hajui! Kichwani anaonekana kama haijui sheria kwa kiasi kikubwa mno! Mikataba haijui vizuri kama mtu mwenye cheo cha juu serikalini!
Ikiwa hayo hayajatulia leo akaongea bungeni kwa mara ya kwanza kwenye hoja nzito! Kujieleza kukamshinda tena! Hajui kutofautisha kati ya waziri wa mambo ya nje na waziri wa mambo ya ndani! Hivi kweli Mathias Chikawe ni waziri wa mambo ya nje? Ameishia kutoa maelezo ya juu juu tu eti jambo liko mahakamani lisijadiliwe! Kwa kiwango kipi lisijadiliwe? Kweli ameshindwa kuweka vigezo vya kipi kijadiliwe na ni kipi kisijadiliwe? Mbona spika ambaye ni bush lawyer ameweza?
Miongoni mwa sifa za anayepewa cheo kikubwa kama hicho ni kujiamini na kuhakikisha makosa ya hovyo wakati wa kujieleza hayatokei! Vingine basi huo utakuwa ni udhaifu mkubwa!
Huyu AG kwa kweli ukifanya naye kikao hadi unamuonea huruma! Ni mweupe na asiyejiamini!
Huyu cheo alichopewa ni mzigo mzito kwake na watanzania hatuna siku mbili mtajionea haya ninayowaambieni leo!
jamaa analilia kiti kiamue tuu.Ila anavyohop ktk issue bila kuonyesha muunganiko wa dots ni wazi bunge lingekuwa na mtu wa kukata hawa wapuuzi wasipewe platform ya kupoteza muda na kuvuruga watu km hawa.Kwa hakika huyu AG mpya ni pigo kubwa kwa watanzania.Kwa kweli amepwaya kupita kiasi! Tangu aingie ofisini kwa mwezi sasa huwezi kuamini kama ni mwamasheria aliyeiva kiasi cha kupewa cheo kikubwa namna hiyo! Akiitisha vikao vya kiofisi hadi unamuonea huruma! Kujieleza hajui! Kichwani anaonekana kama haijui sheria kwa kiasi kikubwa mno! Mikataba haijui vizuri kama mtu mwenye cheo cha juu serikalini! Ikiwa hayo hayajatulia leo akaongea bungeni kwa mara ya kwanza kwenye hoja nzito! Kujieleza kukamshinda tena! Hajui kutofautisha kati ya waziri wa mambo ya nje na waziri wa mambo ya ndani! Hivi kweli Mathias Chikawe ni waziri wa mambo ya nje? Ameishia kutoa maelezo ya juu juu tu eti jambo liko mahakamani lisijadiliwe! Kwa kiwango kipi lisijadiliwe? Kweli ameshindwa kuweka vigezo vya kipi kijadiliwe na ni kipi kisijadiliwe? Mbona spika ambaye ni bush lawyer ameweza? Miongoni mwa sifa za anayepewa cheo kikubwa kama hicho ni kujiamini na kuhakikisha makosa ya hovyo wakati wa kujieleza hayatokei! Vingine basi huo utakuwa ni udhaifu mkubwa! Huyu AG kwa kweli ukifanya naye kikao hadi unamuonea huruma! Ni mweupe na asiyejiamini! Huyu cheo alichopewa ni mzigo mzito kwake na watanzania hatuna siku mbili mtajionea haya ninayowaambieni leo!
Huyu nj janga la Taifa. Kwa kweli ni AIBU AIBU kubwa kuwa na AG wa namna hii. Nashauri uteuzi wake utenguliwe mara moja. Nani amewahi kumwona AG wa Kenya Prof. Muigai akijenga hoja zake za waendesha Mashtaka wa ICC juu ya kesi ya Mhe. Uhuru Kenyatta. Utaona alivyoiva kisheria lakini huyu wa Tanzania ni mweupe kama uniform ya watoto wa shule za msingi. Hoja za Mhe. Lissu zinamshinda na kusema kuwa tusigeuze Bunge kama jukwaa la wasomi. Nimemshangaa kama kweli ni AG. Je ni hawa waliosoma dot com?. Mhe. Rais nakushauri utengue uteuzi wa huyu jamaa. hajui lolote.
Mara nyingi pia wenye akili nyingi huponzwa na uwajibikaji wa pamoja. kuchukua msimamo wa pamoja kinyume na akili zako zinavyokuelekeza ni kujiumbua kwa upande mmoja na kutetea mkate wako kwa ipande wa. piliMara nyingi watu wenye akili nyingi si waongeaji kivileeee
Kweli wajinga ndiyo wali wao nani Kopo kati yako na mleta mada.
wacha wamgaragaze, wameharibu sana hiyo ofisi akiwa na wereme huyo. kwanza hakustahili kupata hiyo nafasi kwasababu ya competence, na alikuwa lake moja na werema, kama werema aliishauri ofisi vibaya yeye alikuwa mshauri wa werema that emans hata werema anaweza kuwa aliwajibika kwa makosa ya subordinate wake ambaye ni yeye. ni mbovu wa kiingereza huyo kama ulishawahi kuhudhuria naye vikao na semina utamwonea huruma.Namuonea huruma akikutana na Lissu mjengoni!!!!
yeye alikwua chini ya werema, utasemaje tumpe muda? kazi nyingi za werema yeye ndio alikuwa anafanya. umesahau kuwa alikuwa msaidizi wa werema? au wewe haupo tz mzee.Nina wasiwasi na mleta mada. huyu siyo yule aliyekuwa akitarajia sana badala yake kapewa Madaju? mpeni muda atajifunza zaidi. kufa kufaana, walipomtoa werema wengi walimezea kile kiti, ndo maana sasa wanatoa jungu humu. wewe unayembeza masaju ungeweza kama siyo kamasi tu.........