tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,323
Bongo flavour.Wacha maneno weka mxiki
Bongo flavour.Wacha maneno weka mxiki
Mkuu naungana na wewe,leo nilijaribu kugoogle ili kupata ABC za Korea zote yaani ile ya Kusini na Kaskazini.Unafanya kosa kubwa kumlinganisha Gadafi, Sadamu Huseini &Co. na Mkorea, hao akina Sadamu ni Waarabu kama sisi Waafrika ingawaje wametuzidi kidogo ambao wana low intelligence, Wakorea ni kundi moja na Wachina, Wajapani, &Co. ni mbegu nyingine kabisa na Mzungu analijua hilo, Wakorea wanaongoza kwa high IQ Duniani hivyo kuwa mwangalifu kidogo hapo kwenye ulinganisho, kumbuka Sadamu Huseini alikutwa na chocolate za mars pmj na hollywood movies made in USA kwenye handaki lake, hata Gadafi pia alikua kutwa nzima yuko na Wazungu mpka walivyo mchenjia, lkn Mkorea (Kaskazini) mpaka operating system ya computer ni ya kwao yaani hatumii microsoft windows au sijui linux bali wana ya kwao wao wenyewe wameunda na siyo ya Mzungu hiyo ni tofauti kubwa sana!
Vifaa vyote vya akina Sadamu Huseini, Gadafi &Co. vilikuwa vinatoka kwa Mzungu hata Ikulu ya Gadafi Mzungu alijenga lkn Korea hakuna kitu kama hicho, Korea is the most secretive country in the world unaambiwa yaani hakuna anayejua kinachoendelea Korea, na isitoshe fikiria tu hakuna nchi inayoruhusiwa kufanya Biashara na Korea lkn angalia mambo wanayoyafanya, linganisha na Zimbabwe, hivyo usisahau hilo na ninakuhakikishia kamwe Mzungu hawezi kuipiga Bomu Korea hilo halitatokea, kwa maana Mkorea ana high IQ!
Aisee. Ila Marekani wapuuzi wacha washikishwe adabu na panki.USA hajawahi kupigana na taifa lenye mshikamano na akashinda .. Yeye huwa akitaka kupigana analigawa kwanza hilo taifa kwa kupandikiza vikundi vya wanamgambo ili kupata urahisi. Kitu ambacho kwa n.Korea hakijafanikiwa...
USA akihichanganya basi huo ndio mwisho wake kuongoza dunia...
Halafu s.Korea na unafiki wake Wa kujipendekeza kwa USA ajiandae kuwa jivu
Hili la Korea Kaskazini kuwa mabingwa wa kuingilia mifumo ya Komputa za US nililisikia sana hata BBC walitangaza.Halafu mtu anaandika kufanya comparison eti Korea na Iraq au Libya!Tukiwa bado tunaendelea na uchambuzi wa kitisho au kinachoendelea eneo la Asia Pacific kwa US kuivamia kijeshi Korea kaskazini tulisha zungumzia kitisho cha kiuchumi ambapo eneo la Pacific kwa mwaka kuna GDP ya$ 17.1566 Tillion na purchasing power ya 16 ambapo ndio number one ktk wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka Ulaya na America na kuwa eneo muhimu kibiashara na Uchumi dunia
Leo tutakijita kwenye maswala ya kijeshi baada ya kuona kiuchumi katika uwanja wa mapambano kuna vitengo vitatu ambayo ndio engine ya kushinda vita au kushindwa vitu hvyo ni
1 Intelligence ( ujasusi wa kupata taarifa za kijeshi na Usalama wa adui wako
2Comminication (Mawasilino ndani ya uwanja wa mapambano)
3 Supplying ( Usambazaji wa vifaa,silaha au huduma ndani ya uwanja wa mapambano)
Hivyo ndivyo vitengo vitatu muhimu ndani ya uwanja wa mapambano lakini leo tutakijita kwenye kitengo cha mawasilino duniani kuna aina 5 za mawasilino
1. Optical Communication System
ambayo inabeba mitandao ya kijamii kama JF ,whats app,Facebook,snapchat
2. Radio Communication System
ambayo inabeba mawasiliano ya radio (simu za upepo) na simu za Satellite Phones
3. Duplex communications system
ambayo inabeba mawasiliano ya Telephone,
Mobile, Telegraph ,Fax mfumo huu unakuwa na kitu kinachoitwa Defense Communications System (DCS)
4. Half Duplex Communication System
mfumo huu unadeal na data , na video communication mara nying unatumiwa na watumiaji wa simu za mikononi
5. Tactical Communication System
mfumo huu mara nying unatumiwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwani unakitu kinachoitwa Voice Communication Control System (VCCS) ambayo unafanya mawasiliano yanakuwa guided
Sasa leo tujikite kwenye Tactical communication systems ambayo vyombo vya Ulinzi na kijeshi wanatumia kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software au OS (Operating system)
na Duniani kuna OS 3 ambazo ndizo zinarun mfumo mzima wa mawasilino ya computer japo si 100% mifumo hyo ni
1Microsoft windows 83.3%
2MacOS 11.2%
3Linux 1.55%
So ukimpiga jumla unakuta ni 96.05% ndio maana ni kasema si 100%
Uwanja wa mapambano unategemea sana mawasiliano ktk Ops za kushambulia target na vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software yani kitengo cha mawasilino kipo busy kuliko vitengo vingine vyote threat pekee ni hackers kwa taarifa zilizopo jeshi la korea kaskazini wana kikosi cha kijeshi ambacho ni cyber special force ambacho kazi yao ni kuhack system mbalimbali za kijeshi na mawasiliano ya kijeshi na Usalama pia duniani korea kaskazini ndio nchi pekee yenye Operating system yake yenyewe kule hakuna Microsoft Windows ,MacOS au Linux so kwenye upende wa wao kuwa hacked ni ngumu sana
USA kuna tatizo sana kwenye upande wa NSA ambao kazi yao ni kuhakikisha na kudeal na Cyber threat kwani kumekuwa na matukio ya mashambulizi ya system zaa au mifumo yao na mahackers kutoka Russia , China na Korea kaskazini mifano ni
1 Mwaka 2015 Russian hackers walivamia State Department email system kwa kile kilichojulikana kama “worst ever” cyberattack against a federal agency.
2 Mwaka 2015 Ofisi ya menejimenti ya utumishi wa umma walireport kwa NSA kupotea kwa Americans’ fingerprints milion 5.6 za watumishi wa umma katika kile kilichojulikana kama ilikuwa ni cyberattack.
3 Government Accountability Office (GAO) wamereport kwa NSA kuwa kuanzia mwaka 2015 namba ya mashambulizi ya kimtandao yalipanda kwa 64% kutoka mashambulizi kutoka 5,500 mpaka zaidi ya 77,000 kwa mwaka ni 24 federal agences zilivamiwa
4 Machi mwaka jana hackers wa kutoka China waliendelea kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya serikali ya Marekani na mitandao binafsi, kwa mujibu wa U.S.mkuu wa Cyber Command Mike Rogers. China imekuwa ina husishwa na mashirika ya upelelezi ya U.S. kwa kufanya mashambulizi kwa lengo la kuiba taarifa na kuchora ramani katika mitandao muhimu ya kompyuta kwa ajili ya mashambulizi ya baadaye katika mgogoro au vita.
Yapo mengi ya kujadili lakini naomba niishie hapo lakini hii ni moja ya changamoto ktk vita hii ambayo Trump anataka kuanzisha je US wamejiandaa kupigana na jeshi hili la ofisini na silaha zao ni computer tu lakini silaha hizo zenye uwezo wa kulipua mabomu na mifumo yenu palepale Washington DC commands zikitoka Pyongyang kumbuka US anazo silaha za nuclear ambazo nying zinaongozwa kwa mifumo ya computer pia umeme na nishati ya kuendesha mitambo ni computerised je jeshi hili ambalo ni hatari kwa kuhack system mbalimbali za kijeshi na Usalama awawezi kugeuza DC na US kuwa gizani nishati hakuna na je Trump anao watu wa kufanya na kujilinda yakitokea mashambulizi hayo ya mifumo ya kiulinzi na mitambo maana naona National Security Agency (NSA) kama bado kuna tatizo kwani kama uchaguzi tu wahuni wamehack je itakuwa mitandao power systems zinazorun system za nuclear?
Tukipata muda tutakuja kuangalia kitengo cha intelligence kitengo number moja ktk uwanja wa mapambano
Huo usupa utawaisha tu.Kim hajiulizi kwa nini America inaitwa super power nation
Uislamu tena unahusikaje kwenye hii mada jamani!Hivi unashindwa kusema tu kuwa Mim ni Muislam simpendi Mu-US kuliko kutuandikia uongo... Arabs nations US kamaliza choka mbaya Afghan, Parks, Somalia, Libya, Syria au unajitoa fyuzi Kama Ccm![]()

Anamshauri vizuuuuuri!Mkuu unamshauri au unamtisha?
Hahaa ...Kwani israel ameishawahi fanikisha kuingia bongo na kufanya chochote??hii ina maana kwamba bongo tuko vyema sana sio???
Watu hawaingii kuchunguza ya huko, vip tunajua sasa kwamba kamuua mjomba wako, kaka yake na anatumia kompyuta zake???
Vitu kama hivi ndio kaka yangu BAK hataki kuvisikia.Tukiwa bado tunaendelea na uchambuzi wa kitisho au kinachoendelea eneo la Asia Pacific kwa US kuivamia kijeshi Korea kaskazini tulisha zungumzia kitisho cha kiuchumi ambapo eneo la Pacific kwa mwaka kuna GDP ya$ 17.1566 Tillion na purchasing power ya 16 ambapo ndio number one ktk wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka Ulaya na America na kuwa eneo muhimu kibiashara na Uchumi dunia
Leo tutakijita kwenye maswala ya kijeshi baada ya kuona kiuchumi katika uwanja wa mapambano kuna vitengo vitatu ambayo ndio engine ya kushinda vita au kushindwa vitu hvyo ni
1 Intelligence ( ujasusi wa kupata taarifa za kijeshi na Usalama wa adui wako
2Comminication (Mawasilino ndani ya uwanja wa mapambano)
3 Supplying ( Usambazaji wa vifaa,silaha au huduma ndani ya uwanja wa mapambano)
Hivyo ndivyo vitengo vitatu muhimu ndani ya uwanja wa mapambano lakini leo tutakijita kwenye kitengo cha mawasilino duniani kuna aina 5 za mawasilino
1. Optical Communication System
ambayo inabeba mitandao ya kijamii kama JF ,whats app,Facebook,snapchat
2. Radio Communication System
ambayo inabeba mawasiliano ya radio (simu za upepo) na simu za Satellite Phones
3. Duplex communications system
ambayo inabeba mawasiliano ya Telephone,
Mobile, Telegraph ,Fax mfumo huu unakuwa na kitu kinachoitwa Defense Communications System (DCS)
4. Half Duplex Communication System
mfumo huu unadeal na data , na video communication mara nying unatumiwa na watumiaji wa simu za mikononi
5. Tactical Communication System
mfumo huu mara nying unatumiwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwani unakitu kinachoitwa Voice Communication Control System (VCCS) ambayo unafanya mawasiliano yanakuwa guided
Sasa leo tujikite kwenye Tactical communication systems ambayo vyombo vya Ulinzi na kijeshi wanatumia kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software au OS (Operating system)
na Duniani kuna OS 3 ambazo ndizo zinarun mfumo mzima wa mawasilino ya computer japo si 100% mifumo hyo ni
1Microsoft windows 83.3%
2MacOS 11.2%
3Linux 1.55%
So ukimpiga jumla unakuta ni 96.05% ndio maana ni kasema si 100%
Uwanja wa mapambano unategemea sana mawasiliano ktk Ops za kushambulia target na vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software yani kitengo cha mawasilino kipo busy kuliko vitengo vingine vyote threat pekee ni hackers kwa taarifa zilizopo jeshi la korea kaskazini wana kikosi cha kijeshi ambacho ni cyber special force ambacho kazi yao ni kuhack system mbalimbali za kijeshi na mawasiliano ya kijeshi na Usalama pia duniani korea kaskazini ndio nchi pekee yenye Operating system yake yenyewe kule hakuna Microsoft Windows ,MacOS au Linux so kwenye upende wa wao kuwa hacked ni ngumu sana
USA kuna tatizo sana kwenye upande wa NSA ambao kazi yao ni kuhakikisha na kudeal na Cyber threat kwani kumekuwa na matukio ya mashambulizi ya system zaa au mifumo yao na mahackers kutoka Russia , China na Korea kaskazini mifano ni
1 Mwaka 2015 Russian hackers walivamia State Department email system kwa kile kilichojulikana kama “worst ever” cyberattack against a federal agency.
2 Mwaka 2015 Ofisi ya menejimenti ya utumishi wa umma walireport kwa NSA kupotea kwa Americans’ fingerprints milion 5.6 za watumishi wa umma katika kile kilichojulikana kama ilikuwa ni cyberattack.
3 Government Accountability Office (GAO) wamereport kwa NSA kuwa kuanzia mwaka 2015 namba ya mashambulizi ya kimtandao yalipanda kwa 64% kutoka mashambulizi kutoka 5,500 mpaka zaidi ya 77,000 kwa mwaka ni 24 federal agences zilivamiwa
4 Machi mwaka jana hackers wa kutoka China waliendelea kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya serikali ya Marekani na mitandao binafsi, kwa mujibu wa U.S.mkuu wa Cyber Command Mike Rogers. China imekuwa ina husishwa na mashirika ya upelelezi ya U.S. kwa kufanya mashambulizi kwa lengo la kuiba taarifa na kuchora ramani katika mitandao muhimu ya kompyuta kwa ajili ya mashambulizi ya baadaye katika mgogoro au vita.
Yapo mengi ya kujadili lakini naomba niishie hapo lakini hii ni moja ya changamoto ktk vita hii ambayo Trump anataka kuanzisha je US wamejiandaa kupigana na jeshi hili la ofisini na silaha zao ni computer tu lakini silaha hizo zenye uwezo wa kulipua mabomu na mifumo yenu palepale Washington DC commands zikitoka Pyongyang kumbuka US anazo silaha za nuclear ambazo nying zinaongozwa kwa mifumo ya computer pia umeme na nishati ya kuendesha mitambo ni computerised je jeshi hili ambalo ni hatari kwa kuhack system mbalimbali za kijeshi na Usalama awawezi kugeuza DC na US kuwa gizani nishati hakuna na je Trump anao watu wa kufanya na kujilinda yakitokea mashambulizi hayo ya mifumo ya kiulinzi na mitambo maana naona National Security Agency (NSA) kama bado kuna tatizo kwani kama uchaguzi tu wahuni wamehack je itakuwa mitandao power systems zinazorun system za nuclear?
Tukipata muda tutakuja kuangalia kitengo cha intelligence kitengo number moja ktk uwanja wa mapambano
Habari za humu ni za kuvutia njaa wakati mama anapika jikoni.Wachambuzi wanafiki wa jamii forum muache uongo jamani,hakuna anayeijua USA zaidi ya trump.sasa yeye kashasema kwamba yeye peke ake anaweza kuishuha hiyo Korea,sasa ninyi na uchambuzi wenu butu mnaanza kumbishia???hebu kuweni serious jamani,waacheni wenyewe mahasimu msiwasemee
Na hv leo ni pilau day basi tutapelekwa mabwe pande kabisaHabari za humu ni za kuvutia njaa wakati mama anapika jikoni.
hajamtisha Bali kampa tahadhari then akamtia moyoMkuu unamshauri au unamtisha?