Mwanangu hataki kuongea nami, nafanyaje?

Mwanangu hataki kuongea nami, nafanyaje?

"Mimi nikiwa home nashinda zangu jikoni na mama stori tu mwanzo mwisho maana ndio kiumbe nilitemzoea zaidi duniani.
Ila kwa yule wa kike yeye tunaongea vizuri sana afu yeye hana asili ya ukimya! Hata baba ake anaingea nae mno kuliko sie."

Duh... We na huyo was Tanga mna wachumba??? Labda mzee Kuna vitu anahisi kwenu...
hata mimi hapa ndipo nilipochoka kabisa......naona kuna ka harufu ka ushoga kabisa kwa huyu dogo
 
Daaahhh, acha kabisa, siwezi kaa sebulen na mzee dk 10.

Ila mama ni story sana nae
Huwa nashangaa sana....mimi siwezi kabisa kupiga stori ndefu na mama labda salamu na mambo ya familia yangu .....lakini nikiwa na mshua stori kibao
 
Huwa nashangaa sana....mimi siwezi kabisa kupiga stori ndefu na mama labda salamu na mambo ya familia yangu .....lakini nikiwa na mshua stori kibao
Sasa weee inakuuma nn mtu kua na stori na mama yake.? Kwanini mnapenda kila mtu awaze na kutenda kama ninyi mnavyofanya?
 
Baba mtu mzima,mtoto mtu mzima,whats your point?

Hii concept yako ya kudhani mtoto ni mtoto miaka yote yupo chini ya baba ndio chanzo cha hii catastrophe yote!

Thats not the case!



Loser ni yeye binafsi huyo mzee!
Sina hakika kama unanielewa.
 
mimi nakumbuka wakati naishi home ata nikitaka penseli namuambia mama then mama anapeleka ujumbe kwa mshua,mzee alikua ni mkali kinoma no story
Upo kama mm kiongozi. Mama atakushaur mwanangu soma kwa bidii ila baba anasema mm nasomesha msome msisome juu yenu ila usinilaumu kua sijakusomesha. So maneno ya mama ndio yananipa nguvu
 
Ushauri wenu wadau
Madingi makauzu sana ndo huwa wanapata tabu baada watoto kukua ma Bi mdash wako fair sana na watoto na pia ukaribu na watoto wao hasa wa kiume cha kukushauri ukirudi home ujaribu hata kutoka out kidogo na mshua boy
 
Baba zetu wa ki Africa wengi huzaa watoto na kukimbia majukumu unakuta mzazi amekupeleka shule anakuacha kama gerezani, unasoma kwa majuto na kusononeka simu mara moja kwa mwaka anakujengea hostile ukipata kaposition hata ka INTERN anaanza oooh hupigi simu, lakini mama zetu wapo na sisi mwanzo mwisho.
Dah mi wanangu naishi nao kama washkaji....hata aliye boarding huwa wakati mwingine nampelekea hata misosi ya kishua ambayo inakatazwa shuleni kiwizi wizi....manake nina mfeel kama mshkaji
 
Hahaaaaaaaa siwezi acha kukaa na mama..popote alipo nikiona nataka kuongea nae namfuata tuongee..kwanza napenda wakati anapika mm namsaidia kusogeza vitu.!
Jitahidi mkuu mdumishe mahusiano.. ngoja nimpigie leo tuongee kidogo
Mpigie na Mshua wako umsalimie
 
Back
Top Bottom