Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,291
- 79,684
Unamaanisha nini kila kitu unachoandika? Id yako ndo kwanza naiona leo na ndo uzi wako wa kwanza nachangia.Uko negative kila kitu. Kila kitu nachosndika hua negative. Wee inakuuma nn mm kumuita dingii?
Ila pia hainiumi wewe kumuita dingi ila hapa namtetea baba mwenzangu. Na wewe ukipata mtoto utakua na urge kama hii.