Bro unataka ligi na Mzee utaweza? Najadili kwa muktadha wa familia.
Hakuna mtu anapenda mahusiano mabovu ndani ya familia yake.
Mleta mada alikua mtoto enzi hizo sasa amekuwa, anajukumu la kurekebisha hiyo tofauti iliyopo hasa kwa kua yeye ni 1st born.
Mahusiano mazuri na wazazi wote wawili na ndugu zake kwa ujumla ni muhimu.
Baba mtu mzima,mtoto mtu mzima,whats your point?
Hii concept yako ya kudhani mtoto ni mtoto miaka yote yupo chini ya baba ndio chanzo cha hii catastrophe yote!
Thats not the case!
Hata mtoto ajitahidi vipi kwa hiyari yake na kwa nguvu zake zote,ile tabia mbovu ya hindrance na umangimeza iliyoleta tatizo tangu mwanzo huyo baba anayo,huyo mtoto atajichokea tu naturally no matter what.
Mtoto akishakua mtu mzima,anaheshimika kama mtu mzima na hayupo chini ya mtu yeyote!
Hizi fatherly authoritiea mna zi extend kwa watoto watu wazima ni ugomvi na migogoro mnatafuta!
Huyu mtoto hata ajitahidi vitu kujenga uhusiano na baba yake utafeli tu maana upo juu ya fake foundation!
Na aliejenga msingi mbovu ni huyo baba kosa lake!Unless atubu hilo kosa tena mbele ya wanae,yeye ajitahidi kuwatafuta na kufanya amendments!
Hawa watoto hata wajitahidi vipi kumjali watachoka tu naturally.
Watajitahidi mwaka wa kwanza,wa pili,wa tatu,then wanachoka regression law inachukua mkondo wake!
Maana muhusika ambae ni baba yupo kwenyw his stupid old ways Za umangimeza hawa watoto lazima wachoke!
Na kibaya zaidi huyu baba hajui makosa yake,yeye anaamini watoto ndio wana makosa,yeye hana,which makea it even harder!
Loser ni yeye binafsi huyo mzee!