Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

Ndio maana kuna baadhi ya mambo zamani yalihesabiwa na kanisa katoliki kama mapepo, baada ya uelewa mpya wameyafuta.

Hawajayafuta Kongosho. Ni baadhi ya scholars tu ndio wamekuja na hiyo theory. I just asked my brother priest.
Na by the way hata wakiyafuta ndio mapepo wanakuwa hawapo? Kesho wakisema shetani hayupo basi utaamini kisa a learned clergy amesema hivyo? After few years wakisema Mungu hayupo? Just search your 'logic' and choose the side which you feel more comfortable.
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini usiwaze alichofanya Yesu ni therapy ya kiakili? Kunwaminisha mtu kuwa amepona na akapona?

Dunia ni flat? Nguzo/miisho yake iko wapi? Biblia inasema kuhusu hayo. Na mbinguni ni wapi? Jehanamu ni wapi?

Ooh, kumbe unajua mitizamo ya scholars wa kikatoliki, then i rest my case.
bila kumdefine Mungu, biblia both aganos na actually agano jipya limezungumzia kuwa Yesu alitoa mapepo. Marco ana sura moja ameelezea vizuri juu ya yule mtu aliyetolewa mapepo yakaenda kwa kundi la nguruwe. Kikiranga huyo mtu alikuwa na mental disorder hadi akawa anaishi makaburini.
To you mapepo hayo aliyotoa Yesu ni nini?
Najua kuna scholars wengi wa kikatoliki wanajaribu kureason as scientific, kuwa Yesu akichokuwa anatoa sio mapepo bali ni hizo mnazoziita mental disorder. Whatever name you call it, bado itabaki kuwa ni kitu kinachoweza kuwa cast out by the name bigger than all names.

Na honestly, ukijifunza kuwa source ya all evil ni shetani mwenyewe, maisha yanakuwa rahisi sana.
 
Reasoning ndio imefanya wazungu wengi these days wasiende church...

ili uwe na imani inabidi umeze kila kitu kama kilivyo...

The moment you begin asking why...hutakaa uamini kuna Mungu..

Ndiyo maana nikasema hapa, for one to be a Pope, one must be a closet atheist or someone who totally suspended reason.

There is no way someone can gain the necessary theological training to become a Pope and believe in god without totally suspending reason.

Ukimsikiliza Pope Francis utamsikia polepole anaanza kuwafagilia atheists, anajitayarisha ili miaka ijayo atheism itakapokuwa mainstream watu waseme "Papa alishaanza kukubali atheism tangu 2014".
 
na kitabu kile kile kinasema dunia ni flat, niendelee kuamini?

Lazima kubadilika na uelewa wa dunia ya sasa, imani hizi pia zinabadilika. Wakati biblia inaandikwa uelewa wa mambo ulikuwa tofauti sana na sasa, sasa ukiamua kubeba biblia literally ni kujipasua kichwa.

Ndio maana kuna baadhi ya mambo zamani yalihesabiwa na kanisa katoliki kama mapepo, baada ya uelewa mpya wameyafuta.

Ndio maana kanisani tunasisitizwa kusoma biblia, na tafakari iongozwe na roho mtakatifu, huyo roho common sense ndani ya mtu inayomfanya kutengeneza mantiki ya aliyokisoma.

Kitabu cha mungu hakiwezi kusema dunia ni flat kama si flat, kwanini mungu aachie kitabu chake ki mislead watu?

Conclusion, kama kitabu kinasema dunia ni flat, wakati dunia si flat, na kitabu hiki kinajinadi kuwa ni cha mungu wa ukweli, at the very least si cha mungu ni cha binadamu.

At the most, idea nzima ya mungu huyu imejengwa na binadamu tu, haina uhalisi.
 
Reasoning ndio imefanya wazungu wengi these days wasiende church...

ili uwe na imani inabidi umeze kila kitu kama kilivyo...

The moment you begin asking why...hutakaa uamini kuna Mungu..

Sasa utakutana na watu wengine wanakwambia imani ni reasoning.

Wakati actually imani ni the suspension of reason.
 
Kwa nini usiwaze alichofanya Yesu ni therapy ya kiakili? Kunwaminisha mtu kuwa amepona na akapona?

Dunia ni flat? Nguzo/miisho yake iko wapi? Biblia inasema kuhusu hayo. Na mbinguni ni wapi? Jehanamu ni wapi?

Ooh, kumbe unajua mitizamo ya scholars wa kikatoliki, then i rest my case.

So therapy ya akili sounds better scientifically than kupunga mapepo.

I am Catholic to the core, na nimesoma history of the church pamoja na mavolume ya kutosha aliyokuwa anatumia marehemu baba yangu seminary, l have a brother who is a priest and l have loads of friends mapriest. Navisit catholic forums mara kwa mara, so najua sthrength na weakness za kanisa.
 
Kitabu cha mungu hakiwezi kusema dunia ni flat kama si flat, kwanini mungu aachie kitabu chake ki mislead watu?

Conclusion, kama kitabu kinasema dunia ni flat, wakati dunia si flat, na kitabu hiki kinajinadi kuwa ni cha mungu wa ukweli, at the very least si cha mungu ni cha binadamu.

At the most, idea nzima ya mungu huyu imejengwa na binadamu tu, haina uhalisi.

Nimekuja kuona kumbe wasomi wetu wa kibongo wakisema 'hawaamini uchawi' ni sawa na wasomi wa nje hasa West huko wanaposema hawaamini Mungu....kuna kitu kama 'aibu' hivi wana feel wakisema 'wanaamini...
 
Mungu na dini, hata Ulaya kwenye wasomi waliosoma theolojia na kukataa kuwepo kwa mungu, amekuwa ni sehemu ya utamaduni tu.

Kuna kanisa la ma atheist Uholanzi huko, wao wanasema hawaamini kuwapo kwa mungu, lakini wanapenda utamaduni wa kukutana kanisani, wanapenda sanaa ya zile mosaic za kanisani, sanaa ya kuimba kwaya, sense of community etc.

Lakini hawaamini kuwepo kwa mungu, na wakisoma biblia wanasoma kama mtu anavyosoma stories za Shakespeare tu.

Ndiko tunakoelekea huko.

Mwanasiasa anataka ubunge, anajua network inasukwa misikitini na makanisani.

Hawezi kusema haamini mungu, kusema hivyo kutamkosesha kura.

Meneja anajua kanisani kuna bonge la professional network kuzidi LinkedIn. Hata akikwiba kesho, anaweza kukutana na jaji wanasali naye, au anaweza kuwekewa bail na mzee wa kanisa mwenzake hata kama ndugu zake hawana uwezo.

Hawezi kusema haamini mungu.
 
Imani ni kama vyama, ukiwa kwenye kundi fulani maana yake hayo wanayoyafundisha yana make sense kwako, ukitofautiana nao kimsimamo unatakiwa kuhama. Kifupi unakubaliana na katiba au misingi ya imani husika, then unakuwa mwanachama.

Huwa zinaanza kama theory, mara watu wakielewa, utasikia mtaguso umeitishwa na mambo kuwa reviewed, kumbuka kanisa katoliki linakubali mapokeo.

Mie ni mkatoliki hadi watakapo introduce vitu ambavyo havi kame sense kwangu.

Kwani hizi imani zimetoka wapi? Si tumejifunza thru watu, na wao wakibadili mtizamo mie nina option ya kuchagua.

Hawajayafuta Kongosho. Ni baadhi ya scholars tu ndio wamekuja na hiyo theory. I just asked my brother priest.
Na by the way hata wakiyafuta ndio mapepo wanakuwa hawapo? Kesho wakisema shetani hayupo basi utaamini kisa a learned clergy amesema hivyo? After few years wakisema Mungu hayupo? Just search your 'logic' and choose the side which you feel more comfortable.
 
Last edited by a moderator:
So therapy ya akili sounds better scientifically than kupunga mapepo.

I am Catholic to the core, na nimesoma history of the church pamoja na mavolume ya kutosha aliyokuwa anatumia marehemu baba yangu seminary, l have a brother who is a priest and l have loads of friends mapriest. Navisit catholic forums mara kwa mara, so najua sthrength na weakness za kanisa.

therapy ya akili ni 'kisomi zaidi' kupunga mapepo iko kienyeji sana....ha haaaaaaa inatia aibu msomi kusema 'ana punga mapepo'.......
 
Imani kingereza si ndo belief...kuamini hakuna uhusiano na ukweli au uongo...ni imani tu....ni feelings...ingawa kukiwa na evidence (objective truth) imani inaota mizizi...kama Thomaso...

Nimekuja kuona kumbe wasomi wetu wa kibongo wakisema 'hawaamini uchawi' ni sawa na wasomi wa nje hasa West huko wanaposema hawaamini Mungu....kuna kitu kama 'aibu' hivi wana feel wakisema 'wanaamini...
 
bila kumdefine Mungu, biblia both aganos na actually agano jipya limezungumzia kuwa Yesu alitoa mapepo. Marco ana sura moja ameelezea vizuri juu ya yule mtu aliyetolewa mapepo yakaenda kwa kundi la nguruwe. Kikiranga huyo mtu alikuwa na mental disorder hadi akawa anaishi makaburini.
To you mapepo hayo aliyotoa Yesu ni nini?
Najua kuna scholars wengi wa kikatoliki wanajaribu kureason as scientific, kuwa Yesu akichokuwa anatoa sio mapepo bali ni hizo mnazoziita mental disorder. Whatever name you call it, bado itabaki kuwa ni kitu kinachoweza kuwa cast out by the name bigger than all names.

Na honestly, ukijifunza kuwa source ya all evil ni shetani mwenyewe, maisha yanakuwa rahisi sana.

Shetani ni nani? Yukoje?
 
Interesting. I read somewhere kwamba watoto wadogo up to 7 years na vichaa wana sixth sense ya kutambua vitu on extra dimensions ambazo wengine hawana.

The fact is our thought and mind (not brain) are energies and follow the laws of energy in quantum physics.

Kids brains has so much theta and delta brainwaves which has a direct connection to universal cosmic consciousness.

For those interested u may be aware that in the last 10 years science has been coming with lot of experiments and answers on questions regarding: extra dimensions, consciousness, thoughts, emotions, mind etc etc
 
Nimekuja kuona kumbe wasomi wetu wa kibongo wakisema 'hawaamini uchawi' ni sawa na wasomi wa nje hasa West huko wanaposema hawaamini Mungu....kuna kitu kama 'aibu' hivi wana feel wakisema 'wanaamini...

Mi mshua wangu mpaka siku yake ya mwisho alikuwa anasema uchawi, au purported nguvu za uchawi hazipo.

Kwenye dini, licha ya kusomea Seminari huko Sayu Sayu na kupata mafunzo ya Kikatoliki, alikuwa ni agnostic.

Mara nyingi sana alikuwa aki-debate na ndugu walio walokole na alikuwa anashinda mara zote.

Kuna siku moja akamwuliza ankal wangu mmoja, 'mbingu' iko wapi? Ankal akakosa jibu!

Ndo tunatudi kulekule.....heaven is just an imaginary place.

So you can see who shaped my thinking.....
 
Pamoja na weakness zake.nyingi tu, to me bado wana make sense.

So therapy ya akili sounds better scientifically than kupunga mapepo.

I am Catholic to the core, na nimesoma history of the church pamoja na mavolume ya kutosha aliyokuwa anatumia marehemu baba yangu seminary, l have a brother who is a priest and l have loads of friends mapriest. Navisit catholic forums mara kwa mara, so najua sthrength na weakness za kanisa.
 
Ha ha ha kama CNN 'wanavyotupakazia' kuwa tunaongoza kwa 'imani potofu' za kichawi....eehheee wakati tunaendeleza culture zile wenzetu wamezitupa...

And they have succeeded to make us feel ashamed of ourselves...

Back
Top Bottom