Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

simakoku

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
587
Reaction score
675
Nina mtoto wa kiume ana maiaka 6 karibia 7 bado miezi kama mitatu. Naweza kusema tangu amezaliwa amekuwa tofauti sana na wenzake waliomtangulia. Niligundua kuwa ana uwezo zaidi kuwashinda wenzake kwani alipoanza shule tangu akiwa baby class alikuwa anajitahidi sana.

Alipofika grade 1 tayari alikuwa anajua kusoma kabisa tena kingereza bila matatizo(nahisi kwa mtoto Kiswahili ni rahisi kusoma kuliko kungereza) na sasa yupo grade 2 anajitahidi sana darasani.

Kwa upande mwingine sasa nilikuja gundua kuwa ni mtoto ni mdadisi kwani huwa anauliza sana maswali, hasa maswali yanayohusu mambo ya Mungu.

Mara nyingi amekuwa akiniuliza maswali kama "who is God? Who created us? Where is God? Will I go to heaven? How do people go to heaven? Are there toys in heaven? Can I go right now?(kwa kuwa ni mtoto wa English media huwa anapenda kuongea kingereza Zaidi ndio maana na mimi nimeweka maswali yake kama anavyoniulizaga) Nilipoona maswali yamezidi nikamnunulia Bible story book ya watoto.

Hapo sasa ndio kama nikawa nimechokoza nyuki maana baada ya kusoma maswali yalizidi badala ya kupungua. Akaanza kuniuliza kila kitu like if God created only two people where did we came from? Where is Adam and Eve now? How did they die? (maana nilimwambia walikufa), Why Adam and were created naked but why are we wearing clothes?(kile kitabu kinaonesha Adam na Eva hawajavaa nguo) na maswali mengine mengi tu ambayo huwa namjibu accordingly?

Tatizo huwa naona kama kuna kitu ambacho si cha kawaida kwake maana huwa anaongea mambo mengine ambayo kiukweli naona kabisa yanamzidi umri.

Nakumbuka kuna siku akaanza kunipa story ambayo mpaka leo sijaielewa, akaniambia- Mumy when I was in your stomach I was drinking blood. Tena alikuwa serious kabisa. Akaniambia I remember very well because I had no hands, no legs, but I was drinking blood.

Sasa juzi ndio aliniacha hoi kabisa mpaka nikapata wasiwasi isije kuwa mwanangu anakuwa haunted na spirits – Ilikuwa usiku umeme umekatika tukawasha mishumaa. Sasa wakati wanakula mezani akaanza ohh I can see two candles, wakati kulikuwa na mshumaa mmoja tu mezani. Mi nikajua ni story zake wala sikujali.

Baadae tumamaliza kula wenzake wakawa wameenda kulala nikabaki naye sebuleni na ule mshumaa mmoja. Si ndio akaanza tena, mumy I can see two candles na tena akawa anauangalia ule mshumaa kwa makini kweli, nikajaribu kumdadisi lakini akaendela kudai anaona mishumaa miwili, tena akasema Im the only one who can see these two candles, and not you.

Nikamwambia anioneshe huo mshumaa wa pili upo wapi akaenda kunionesha, mara akawa akiuangalia ule mshumaa anasema " now the candles are flying. Baadae akasema " even if you bring another candle and they become two, I will see 4 of them. Si nikaenda kuleta mshumaa mwingine, huu ulikuwa mwekundu, wa mwanzo ulikuwa mweupe. Akaanza ku concentrate kuiangalia ile mishumaa akasema.

Yes now I see four candles. Kwakweli ilikuwa ngumu kwangu kwani mtoto alikuwa hatanii kabisa japo sikuweza kuthibitisha kama kweli alikuwa naona au la, ila aliniambia kabisa kwamba Im not lying Im telling you the truth.

Mwishoni kabisa akaniacha hoi akaniambia I can also talk to my invisible friend, I have a friend his name is Jack, I always talk to him. Nilipomwuliza aniambie anafananaje akasema I cant tell because I don't know his face, I know he is a boy but I had never seen him but I only talk to him.

Ni mengi huwa anaongea yananitatiza lakini hapa tu tayari naona kimekuwa kitabu. Ila binafsi Im worried na namwombea sana kwa Mungu n ahata nina mpango wa kumpeleka kwenye maombi kabisa maana nahisi si sawa. Mimi ni mkristo na naamini katika nguvu za Mungu tu. Hii inaweza kuwa ni nini?
Sorry for such a very long text
 
angekuwa hajui kusoma ungeleta mada hapa kuwa mwanao tumsaidieje ,sasa umepata shehe sharifu nyumbani kwako pepo hilo every thing is double double,candle is double double
 
Huyo mtoto ana nguvu za asili na si evil spirits. Wewe pia unazo sema zimepoa na hujui namna ya kuzifanya active!
Endelea kumfundisha yaliyo makuu!
 
angekuwa hajui kusoma ungeleta mada hapa kuwa mwanao tumsaidieje ,sasa umepata shehe sharifu nyumbani kwako pepo hilo every thing is double double,candle is double double

Haaaah umenichekesha sikutarajia
 
Nina mtoto wa kiume ana maiaka 6 karibia 7 bado miezi kama mitatu. Naweza kusema tangu amezaliwa amekuwa tofauti sana na wenzake waliomtangulia. Niligundua kuwa ana uwezo zaidi kuwashinda wenzake kwani alipoanza shule tangu akiwa baby class alikuwa anajitahidi sana. Alipofika grade 1 tayari alikuwa anajua kusoma kabisa tena kingereza bila matatizo(nahisi kwa mtoto Kiswahili ni rahisi kusoma kuliko kungereza) na sasa yupo grade 2 anajitahidi sana darasani.

Kwa upande mwingine sasa nilikuja gundua kuwa ni mtoto ni mdadisi kwani huwa anauliza sana maswali, hasa maswali yanayohusu mambo ya Mungu. Mara nyingi amekuwa akiniuliza maswali kama “who is God? Who created us? Where is God? Will I go to heaven? How do people go to heaven? Are there toys in heaven? Can I go right now?(kwa kuwa ni mtoto wa English media huwa anapenda kuongea kingereza Zaidi ndio maana na mimi nimeweka maswali yake kama anavyoniulizaga) Nilipoona maswali yamezidi nikamnunulia Bible story book ya watoto. Hapo sasa ndio kama nikawa nimechokoza nyuki maana baada ya kusoma maswali yalizidi badala ya kupungua. Akaanza kuniuliza kila kitu like if God created only two people where did we came from? Where is Adam and Eve now? How did they die? (maana nilimwambia walikufa), Why Adam and were created naked but why are we wearing clothes?(kile kitabu kinaonesha Adam na Eva hawajavaa nguo) na maswali mengine mengi tu ambayo huwa namjibu accordingly?
Tatizo huwa naona kama kuna kitu ambacho si cha kawaida kwake maana huwa anaongea mambo mengine ambayo kiukweli naona kabisa yanamzidi umri. Nakumbuka kuna siku akaanza kunipa story ambayo mpaka leo sijaielewa, akaniambia- Mumy when I was in your stomach I was drinking blood. Tena alikuwa serious kabisa. Akaniambia I remember very well because I had no hands, no legs, but I was drinking blood.

Sasa juzi ndio aliniacha hoi kabisa mpaka nikapata wasiwasi isije kuwa mwanangu anakuwa haunted na spirits – Ilikuwa usiku umeme umekatika tukawasha mishumaa. Sasa wakati wanakula mezani akaanza ohh I can see two candles, wakati kulikuwa na mshumaa mmoja tu mezani. Mi nikajua ni story zake wala sikujali. Baadae tumamaliza kula wenzake wakawa wameenda kulala nikabaki naye sebuleni na ule mshumaa mmoja. Si ndio akaanza tena, mumy I can see two candles na tena akawa anauangalia ule mshumaa kwa makini kweli, nikajaribu kumdadisi lakini akaendela kudai anaona mishumaa miwili, tena akasema Im the only one who can see these two candles, and not you. Nikamwambia anioneshe huo mshumaa wa pili upo wapi akaenda kunionesha, mara akawa akiuangalia ule mshumaa anasema “ now the candles are flying. Baadae akasema “ even if you bring another candle and they become two, I will see 4 of them. Si nikaenda kuleta mshumaa mwingine, huu ulikuwa mwekundu, wa mwanzo ulikuwa mweupe. Akaanza ku concentrate kuiangalia ile mishumaa akasema. Yes now I see four candles. Kwakweli ilikuwa ngumu kwangu kwani mtoto alikuwa hatanii kabisa japo sikuweza kuthibitisha kama kweli alikuwa naona au la, ila aliniambia kabisa kwamba Im not lying Im telling you the truth.

Mwishoni kabisa akaniacha hoi akaniambia I can also talk to my invisible friend, I have a friend his name is Jack, I always talk to him. Nilipomwuliza aniambie anafananaje akasema I cant tell because I don’t know his face, I know he is a boy but I had never seen him but I only talk to him.

Ni mengi huwa anaongea yananitatiza lakini hapa tu tayari naona kimekuwa kitabu. Ila binafsi Im worried na namwombea sana kwa Mungu n ahata nina mpango wa kumpeleka kwenye maombi kabisa maana nahisi si sawa. Mimi ni mkristo na naamini katika nguvu za Mungu tu. Hii inaweza kuwa ni nini?
Sorry for such a very long text

Kama unaamini katka maombi embu simama mwenyewe umuulize Mungu juu ya hilo jambo am sure atakujibu ni kitu gan
 
Kama unaamini katka maombi embu simama mwenyewe umuulize Mungu juu ya hilo jambo am sure atakujibu ni kitu gan

Asante mkuu, ninaamini sana katika maombi na through mapmbi nimeona mambo mengi makubwa maishani mwangu.
 
Hahahaa kuna majibu humu yameniacha hoi...
Mtoto hana tatizo lolote kabisa hata wa kwangu yuko bright hivyo hivyo but ukiangalia vizuri watoto wote wana akili na uwezo wa ajabu ni malezi na makuzi tu ndio yanachochea uwezo wa asili wa binadamu.
Acha ku associate haya mambo na vitu vya giza. Kila kitu ni Mungu
 
Mwishoni kabisa akaniacha hoi akaniambia I can also talk to my invisible friend, I have a friend his name is Jack, I always talk to him. Nilipomwuliza aniambie anafananaje akasema I cant tell because I don't know his face, I know he is a boy but I had never seen him but I only talk to him.

Ni kawaida kabisa watoto kuwa na imaginary friends. Hata wa kwangu akiwa bado na umri huo alikuwa na imaginary friends kama wanne hivi.
 
Ni kawaida kabisa watoto kuwa na imaginary friends. Hata wa kwangu akiwa bado na umri huo alikuwa na imaginary friends kama wanne hivi.

Mhh afadhali hata unanitoa wasiwasi maana hilo liliniogopesha kwakweli
 
Hahahaa kuna majibu humu yameniacha hoi...
Mtoto hana tatizo lolote kabisa hata wa kwangu yuko bright hivyo hivyo but ukiangalia vizuri watoto wote wana akili na uwezo wa ajabu ni malezi na makuzi tu ndio yanachochea uwezo wa asili wa binadamu.
Acha ku associate haya mambo na vitu vya giza. Kila kitu ni Mungu

kila kitu ni Mungu?
 
Back
Top Bottom