Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
Nimeona sana, lakini suala la mapepo bado silielewi na kuliamini.
Wewe kwako Mungu ni nani? Hapa ndio huleta tabu. Ndo maana kila siku huwa nasema, kutumia kitabu kimoja, hakifanyi muamini kitu kimoja au muwe na concept ya kufanana katika imani.
Naweza nikakupa maelezo yangu ukashangaa probability imeingia. Haya mambo ni conceptulisation tu.

Last edited by a moderator: