Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

Tunarudi kule kule nilikokusema hapo juu.

Watu waliopata formal theological training ama wanakuwa atheists/ agnostics, ama kuamini kuwapo kwa mungu wana suspend reason totally on the nitty gritty of the question of the existence of god na kuangalia mambo practical tu.

Na wengi wao ambao nawafahamu mimi wanajua fika tofauti baina ya 'kujua' na 'kuamini'.
 
Mungu na shetani, in the commonly accepted format bongo (Judeo Cristian/ Islam) are logically inconsistent.

Therefore cannot exist in the framework of logic/reason.
Unaelezeaje mtu kuamini juu ya Mungu, na kutoamini juu ya shetani. Ni uoga, mkumbo au?
 
Unataka niamini dunia na vilivyomo viliumbwa kwa siku 6? Like real real 6 days bila kujali uelewa uliopo sasa hivi? You must be kidding, siku 6 kwangu ni kiwakilishi tu cha process nzima.

Sitaki uamini chochote.

Nataka ujue kila kitu.

Na ili kujua, cha kwanza kufanya ni kuangalia mambo nje ya miwani ya dini.

Kwa sababu dini imejengwa kwenye imani. Haisisitizi kujua.
 
Kama mungu ana uwezo wote, ana upendo wote, anawapenda viumbe wake sana, ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao una mazuri tu, mabaya hayawezekani.

Kwa nini kauumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana na kututia mateso?

Si umeona mambo ya ISIS huko Iraq....? Wapi mungu?
 
Unataka niamini dunia na vilivyomo viliumbwa kwa siku 6? Like real real 6 days bila kujali uelewa uliopo sasa hivi? You must be kidding, siku 6 kwangu ni kiwakilishi tu cha process nzima.
Siku ya masaa 24? Sema nusu siku sita bhana..... Manake alikuwa akisema kitu kiwe, kinafanyika!!! inakuwa mchana inakuwa usiku.... Siku inakata. Au we unafikiri Mungu halali usiku?
 
Unaelezeaje mtu kuamini juu ya Mungu, na kutoamini juu ya shetani. Ni uoga, mkumbo au?

lengo ni kutaka ku belong.....kuonekana ni one of 'the learned na scientist' ambae haamini imani potofu...
 
Unaelezeaje mtu kuamini juu ya Mungu, na kutoamini juu ya shetani. Ni uoga, mkumbo au?

Kwa "kuamini juu ya" unamaanisha nini?

Kuamini uwepo wa mungu lakini kutoamini uwepo wa shetani?

Au kukubali kuishi kwa "mafundisho ya mungu" na kukataa "mambo ya shetani" hata kama anaamini kuwapo kwa mungu na shetani?
 
angekuwa hajui kusoma ungeleta mada hapa kuwa mwanao tumsaidieje ,sasa umepata shehe sharifu nyumbani kwako pepo hilo every thing is double double,candle is double double

yani umenichekesha kwakweli
 
Baada ya kusoma hayo, tafakari yako baada ya kuongozwa.na roho je?

Mungu hawezi kuwa matter, maana hatakwa kila mahali.

Umeniona nabishana na mtu asiyeamini uwepo wa Mungu? Au kubishana na muislamu, muhindu au mbudha? Sibishani nao kwa sababu hatuamini sawa.

Nabishana na mkristu na hasa mkatoliki coz licha ya kuchangia kitabu lkn hata kanuni yetu ya imani ni moja.

Sasa ukiniuliza mbingu uwepo wa mbingu au mapepo ni sawa na kuchallenge imani yako mwenyewe.

Mungu tunaambiwa ktk katekismu kuwa YUPO MAHALI POTE, wewe unapinga kuwa space ni empty. Na unatumia 5 senses kuprove emptiness ya space. Sasa si bora uwe kama Kiranga.
Kumbuka na katekisimu hiyo hiyo inasema MUNGU NI ROHO, sasa unataka Mungu awe matter ili awe na weight na aoccupy space.
 
Last edited by a moderator:
Siku ya masaa 24? Sema nusu siku sita bhana..... Manake alikuwa akisema kitu kiwe, kinafanyika!!! inakuwa mchana inakuwa usiku.... Siku inakata. Au we unafikiri Mungu halali usiku?

waislam wanaita 'qun fayaaa qun'...akisema kuwa inakuwa...sekunde hiyo hiyo...
 
"Extra dimension" in this context ni jitihada ya kufanya "mapepo" ya sound scientific zaidi.

Afadhali hata useme "the unknown".

Mkuu, katika miaka 10 iliyopota sayansi imejikita ktk invisibles. Na kuna all evidences kwamba invisible Ina create visibles. Kwa maneno mengine matters are created from invisibles. Invisibles is nothing than a pool of waves with various frequencies and vibrations.

Some scientists wanaamini mbali na ulimwengu wetu wa three dimension kuna 11 dimensions jumla. Na pia kuna evidences kunaweza kuwa na universes zaidi ya huu tulionao au parallel universes.

Ukweli ni kuwa our thoughts creates the reality. Chochote tusichokiona lakini kiliwa manifested, ie our thoughts can create our reality.

Building blocks for human body they are atoms ambazo more than 99% are just empty spaces and made up of vibrating waves or particles. I wonder if humans are also mainly spaces.

Kuna wana sayansi wanaamini our universe is like a hologram na we are not real just like your dreams are not real. Somewhere out there there is Real.
 
waislam wanaita 'qun fayaaa qun'...akisema kuwa inakuwa...sekunde hiyo hiyo...
Hahahahaha.... Huyu Mungu ni Jiniaz sana asee. Sijui ana makatibu muhtasi wangapi. Watu bilioni kadhaa wanasali kwa wakati mmoja na wooooote anawasikiliza!!
 
ha.ha ha, umeona eeh, kweli leo niamini hivyo?.Kisa nisionekane si conform na.majority.

Imani inaleta maana baada ya tafakuri kuleta maana, hapo ndo biblia imetupa nafasi ya roho mtakatifu, kila mmoja inamwongoza kivyake.

Siku ya masaa 24? Sema nusu siku sita bhana..... Manake alikuwa akisema kitu kiwe, kinafanyika!!! inakuwa mchana inakuwa usiku.... Siku inakata. Au we unafikiri Mungu halali usiku?
 
Si umeona mambo ya ISIS huko Iraq....? Wapi mungu?

Na hao ISIS wanaweza kukuambia wanampigania mungu, kwa kuua watu, waislamu wenzao no less.

Huku Quran inasisitiza upendo, tena inasisitiza zaidi upendo wa kibaguzi wa waislam kwa waislam juu ya wengine.

It's all politics.

The difference ni wale walio establish political systems zamani, wakawa successful, wamezipa hizo politics utakatifu wa dini.

Tell me why should Muslims pray while facing Mecca?

Isn't god omnipresence?

Hawaoni kwamba hii ni mental slavery kuwasujudu Waarabu?

Ni kama leo watu waanze kuandika stories za Mandela, alikuwa mtu wa ajabu, miaka mia baadaye waseme alikuwa mtume, miaka mia baadaye waandike alifanya maajabu mpaka timu ya Rugby ikashinda kombe, baada ya miaka elfu mbili watu wawe wanasali kwa kuelekea South Africa.

Same thing, tofauti tu Mandela kaishi katika muda ambao sayansi imeendelea kwa hiyo ni vigumu kufanikisha hilo.

Hao mitume walikuwa kama kina Mandela tu.
 
Nina mtoto wa kiume ana maiaka 6 karibia 7 bado miezi kama mitatu. Naweza kusema tangu amezaliwa amekuwa tofauti sana na wenzake waliomtangulia. Niligundua kuwa ana uwezo zaidi kuwashinda wenzake kwani alipoanza shule tangu akiwa baby class alikuwa anajitahidi sana. Alipofika grade 1 tayari alikuwa anajua kusoma kabisa tena kingereza bila matatizo(nahisi kwa mtoto Kiswahili ni rahisi kusoma kuliko kungereza) na sasa yupo grade 2 anajitahidi sana darasani.

Kwa upande mwingine sasa nilikuja gundua kuwa ni mtoto ni mdadisi kwani huwa anauliza sana maswali, hasa maswali yanayohusu mambo ya Mungu. Mara nyingi amekuwa akiniuliza maswali kama “who is God? Who created us? Where is God? Will I go to heaven? How do people go to heaven? Are there toys in heaven? Can I go right now?(kwa kuwa ni mtoto wa English media huwa anapenda kuongea kingereza Zaidi ndio maana na mimi nimeweka maswali yake kama anavyoniulizaga) Nilipoona maswali yamezidi nikamnunulia Bible story book ya watoto. Hapo sasa ndio kama nikawa nimechokoza nyuki maana baada ya kusoma maswali yalizidi badala ya kupungua. Akaanza kuniuliza kila kitu like if God created only two people where did we came from? Where is Adam and Eve now? How did they die? (maana nilimwambia walikufa), Why Adam and were created naked but why are we wearing clothes?(kile kitabu kinaonesha Adam na Eva hawajavaa nguo) na maswali mengine mengi tu ambayo huwa namjibu accordingly?
Tatizo huwa naona kama kuna kitu ambacho si cha kawaida kwake maana huwa anaongea mambo mengine ambayo kiukweli naona kabisa yanamzidi umri. Nakumbuka kuna siku akaanza kunipa story ambayo mpaka leo sijaielewa, akaniambia- Mumy when I was in your stomach I was drinking blood. Tena alikuwa serious kabisa. Akaniambia I remember very well because I had no hands, no legs, but I was drinking blood.

Sasa juzi ndio aliniacha hoi kabisa mpaka nikapata wasiwasi isije kuwa mwanangu anakuwa haunted na spirits – Ilikuwa usiku umeme umekatika tukawasha mishumaa. Sasa wakati wanakula mezani akaanza ohh I can see two candles, wakati kulikuwa na mshumaa mmoja tu mezani. Mi nikajua ni story zake wala sikujali. Baadae tumamaliza kula wenzake wakawa wameenda kulala nikabaki naye sebuleni na ule mshumaa mmoja. Si ndio akaanza tena, mumy I can see two candles na tena akawa anauangalia ule mshumaa kwa makini kweli, nikajaribu kumdadisi lakini akaendela kudai anaona mishumaa miwili, tena akasema Im the only one who can see these two candles, and not you. Nikamwambia anioneshe huo mshumaa wa pili upo wapi akaenda kunionesha, mara akawa akiuangalia ule mshumaa anasema “ now the candles are flying. Baadae akasema “ even if you bring another candle and they become two, I will see 4 of them. Si nikaenda kuleta mshumaa mwingine, huu ulikuwa mwekundu, wa mwanzo ulikuwa mweupe. Akaanza ku concentrate kuiangalia ile mishumaa akasema. Yes now I see four candles. Kwakweli ilikuwa ngumu kwangu kwani mtoto alikuwa hatanii kabisa japo sikuweza kuthibitisha kama kweli alikuwa naona au la, ila aliniambia kabisa kwamba Im not lying Im telling you the truth.

Mwishoni kabisa akaniacha hoi akaniambia I can also talk to my invisible friend, I have a friend his name is Jack, I always talk to him. Nilipomwuliza aniambie anafananaje akasema I cant tell because I don’t know his face, I know he is a boy but I had never seen him but I only talk to him.

Ni mengi huwa anaongea yananitatiza lakini hapa tu tayari naona kimekuwa kitabu. Ila binafsi Im worried na namwombea sana kwa Mungu n ahata nina mpango wa kumpeleka kwenye maombi kabisa maana nahisi si sawa. Mimi ni mkristo na naamini katika nguvu za Mungu tu. Hii inaweza kuwa ni nini?
Sorry for such a very long text

Kisa kizuri, simakoku ,

Ahsante kwa kushiriki kisa chako. Tafadhali usiogope lolote... Mtoto wako yuko kawaida tu labda tu sema kawaida yake kwako ni si kawaida.

Tafadhali akikuuliza jambo mjibu unachokijua; na usichokijua usimdanganye--sema hujui kwa hakika. Na hasa hasa akikuuliza maswali ya dini, akikuuliza kuhusu mungu mueleze ukweli--kama humjui haujawahi kumuona mjibu ukweli, na mwambie ukweli kuwa 'unaamini' tu kama mungu yuko ila haujawahi kumuona ili kwamba 'ukijakumuona' utamuonesha...

Mtoto wako kazaliwa yuko na fahamu zaidi kuliko kawaida ni hili jambo si geni siku hizi kutokea. Ninategemea simulizi kama hizi nyingi zaidi hata katika jamii yetu na hivyo nimefurahi aghalau baadhi ya wazazi mnaanza kuuliza.

Mtoto wako ana(ta)kuwa na bidii ya kuchunguza bila uwoga, na ninaomba sana kwa niaba yake kwako, mruhusu ajitahidi kadri ya uwezo wake. Ukipendeza na lolote kuhusu hata dini yeyote tafadhali usimzuie. Wewe unasema ni Mkristo lakini mwanao akipenda chochote toka hata nje ya dini yako tafadhali mwache... Anaweza kuvutiwa na kitu hata kwenye uislam--mwache. Huyo anatafuta ukweli fulani ambao tayari kwake unafahamika kwa namna fulani.

Tafadhali anza kutafuta ukweli juu ya watoto wa kundi la namna ya mwanao, hebu tafuta mtandaoni habari, dokumentari za mambo kuhusiana na 'children with prenatal memories', 'children who remember their past lives'...

Unaweza kuniambia mengine kuhusiana na mtoto kwa PM.

Baraka
 
Last edited by a moderator:
Kwa "kuamini juu ya" unamaanisha nini?

Kuamini uwepo wa mungu lakini kutoamini uwepo wa shetani?

Au kukubali kuishi kwa "mafundisho ya mungu" na kukataa "mambo ya shetani" hata kama anaamini kuwapo kwa mungu na shetani?
Ninamaanisha kuamini juu ya uwepo wa Mungu, malaika zake na kazi zake, lakini kukataa kuamini juu ya uwepo wa shetani, agents wake na kazi zake.
 
Hivi mambo ya shetani ni mapepo na uchawi tu?

Kwa "kuamini juu ya" unamaanisha nini?

Kuamini uwepo wa mungu lakini kutoamini uwepo wa shetani?

Au kukubali kuishi kwa "mafundisho ya mungu" na kukataa "mambo ya shetani" hata kama anaamini kuwapo kwa mungu na shetani?
 
Nina mtoto wa kiume ana maiaka 6 karibia 7 bado miezi kama mitatu. Naweza kusema tangu amezaliwa amekuwa tofauti sana na wenzake waliomtangulia. Niligundua kuwa ana uwezo zaidi kuwashinda wenzake kwani alipoanza shule tangu akiwa baby class alikuwa anajitahidi sana. Alipofika grade 1 tayari alikuwa anajua kusoma kabisa tena kingereza bila matatizo(nahisi kwa mtoto Kiswahili ni rahisi kusoma kuliko kungereza) na sasa yupo grade 2 anajitahidi sana darasani.

Kwa upande mwingine sasa nilikuja gundua kuwa ni mtoto ni mdadisi kwani huwa anauliza sana maswali, hasa maswali yanayohusu mambo ya Mungu. Mara nyingi amekuwa akiniuliza maswali kama “who is God? Who created us? Where is God? Will I go to heaven? How do people go to heaven? Are there toys in heaven? Can I go right now?(kwa kuwa ni mtoto wa English media huwa anapenda kuongea kingereza Zaidi ndio maana na mimi nimeweka maswali yake kama anavyoniulizaga) Nilipoona maswali yamezidi nikamnunulia Bible story book ya watoto. Hapo sasa ndio kama nikawa nimechokoza nyuki maana baada ya kusoma maswali yalizidi badala ya kupungua. Akaanza kuniuliza kila kitu like if God created only two people where did we came from? Where is Adam and Eve now? How did they die? (maana nilimwambia walikufa), Why Adam and were created naked but why are we wearing clothes?(kile kitabu kinaonesha Adam na Eva hawajavaa nguo) na maswali mengine mengi tu ambayo huwa namjibu accordingly?
Tatizo huwa naona kama kuna kitu ambacho si cha kawaida kwake maana huwa anaongea mambo mengine ambayo kiukweli naona kabisa yanamzidi umri. Nakumbuka kuna siku akaanza kunipa story ambayo mpaka leo sijaielewa, akaniambia- Mumy when I was in your stomach I was drinking blood. Tena alikuwa serious kabisa. Akaniambia I remember very well because I had no hands, no legs, but I was drinking blood.

Sasa juzi ndio aliniacha hoi kabisa mpaka nikapata wasiwasi isije kuwa mwanangu anakuwa haunted na spirits – Ilikuwa usiku umeme umekatika tukawasha mishumaa. Sasa wakati wanakula mezani akaanza ohh I can see two candles, wakati kulikuwa na mshumaa mmoja tu mezani. Mi nikajua ni story zake wala sikujali. Baadae tumamaliza kula wenzake wakawa wameenda kulala nikabaki naye sebuleni na ule mshumaa mmoja. Si ndio akaanza tena, mumy I can see two candles na tena akawa anauangalia ule mshumaa kwa makini kweli, nikajaribu kumdadisi lakini akaendela kudai anaona mishumaa miwili, tena akasema Im the only one who can see these two candles, and not you. Nikamwambia anioneshe huo mshumaa wa pili upo wapi akaenda kunionesha, mara akawa akiuangalia ule mshumaa anasema “ now the candles are flying. Baadae akasema “ even if you bring another candle and they become two, I will see 4 of them. Si nikaenda kuleta mshumaa mwingine, huu ulikuwa mwekundu, wa mwanzo ulikuwa mweupe. Akaanza ku concentrate kuiangalia ile mishumaa akasema. Yes now I see four candles. Kwakweli ilikuwa ngumu kwangu kwani mtoto alikuwa hatanii kabisa japo sikuweza kuthibitisha kama kweli alikuwa naona au la, ila aliniambia kabisa kwamba Im not lying Im telling you the truth.

Mwishoni kabisa akaniacha hoi akaniambia I can also talk to my invisible friend, I have a friend his name is Jack, I always talk to him. Nilipomwuliza aniambie anafananaje akasema I cant tell because I don’t know his face, I know he is a boy but I had never seen him but I only talk to him.

Ni mengi huwa anaongea yananitatiza lakini hapa tu tayari naona kimekuwa kitabu. Ila binafsi Im worried na namwombea sana kwa Mungu n ahata nina mpango wa kumpeleka kwenye maombi kabisa maana nahisi si sawa. Mimi ni mkristo na naamini katika nguvu za Mungu tu. Hii inaweza kuwa ni nini?
Sorry for such a very long text

The next Sheikh Yahya in tha making. (I'm joking) Lol
 
ha.ha ha, umeona eeh, kweli leo niamini hivyo?.Kisa nisionekane si conform na.majority.

Imani inaleta maana baada ya tafakuri kuleta maana, hapo ndo biblia imetupa nafasi ya roho mtakatifu, kila mmoja inamwongoza kivyake.

Hahahaha..... Afu ukiwa umepiga kaulabu roho mtakatifu hacheleweshi majibu.
 
shetani = pepo?

Kama mapepo ni complete subset ya shetani, kwa nini unashangaa kutoyaamini, wakati hata upande wa Biblia kuna vitu sizibebi kama vilivyo?

Back
Top Bottom