Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

HAHAHAAAAA Kiranga umeua hapa na hii ndio my main point sababu uchawi hauheshimiki na mtu kuona anaungana na kina Kiranga kwa kusema haamini uchawi anijipeleka group la 'scientist na the learned' ndio atakuja in publickusema siamini uchawi while halali bila kushika Bible au Qur-ann....unafiki wa ajabu.....

Hii insight deep sana, kuielewa na kuikubali lazima ukane unafiki wote.

Kitu ambacho si rahisi.
 
Kwa maelezo haya unamaanisha magonjwa ya kisaikolojia/tabia zisizokubalika na jamii husika ndio mapepo kwenye imani?

Kama ni hivyo nitakuelewa.

Then Kiranga ana pepo la kutoamini 🙂

Ilianza imani ndio hiyo ya saikolojia ikaja.
So mapepo (spirits) ndicho hicho wasomi mmetafutia misamiati fulani. Na mara nyingi solution za kiimani (sio ya kimagumushi) ni permanent kuliko rehabs na shrink sessions, au hata gereza.
 
Last edited by a moderator:
Unafiki wa kutosha tu, lkn hiyo ya kuamini Mungu halafu usiamini uwepo wa contrary spirits ni zaidi ya unafiki, unaoambatana na uoga. Yaani ni as if usipoamini uwepo wa evil spirit then utakuwa safe from them evil spirits.
Of course hata yule asiyetambua uwepo wa Mungu, haumfanyi Mungu asiwepo. Ni sawa na kukimbia kivuli chako mwenyewe.

AU wanatucheza shere..wanaujua uchawi nje ndani......halafu wakiona unaweweseka wanakwambia tu 'ahhh acha imani potofu' ili ujione mjinga waendelee kuku enjoy huku wao wana knowledge zaidi ya uchawi.....na imazi zinazohusu....halafu wana enjoy 'the victims' wasio na enough knowledge...
 
Huyo mtoto ana nguvu za asili na si evil spirits. Wewe pia unazo sema zimepoa na hujui namna ya kuzifanya active!
Endelea kumfundisha yaliyo makuu!

Nasikia wanadamu tunatumia akili / nguvu zetu aslimia ndogo sana. Unaweza kuanza hangaika nae ukamchanganya Labda ili kupata uhakika nadhani anzia kwa wnasaikolojia. Miaka kadhaa iliyopita niliwahi sikia bini Fulani alikuwa anasoma engineering UDSM ( civil nafikiri), she was so intelligent actually alwahi shika nafasi Fulani ya juu kabisa y UN (H Q) alkuwa akiconentrate kuangalia glasi inavunjika,sikushuhudia ila nilisimuliwa.
 
Sijajua kwa nini unasema kutoamini mapepo ni unafiki. Unakubali kuwa imani ni kitu unacho conceptualise?

Kama ni hivyo, ajabu iko wapi? Imani hazina proof, ni matofali unayoyajenga hewani. Sasa kila mtu anajenga huko, ila kajenga nini kila mtu ana lake.

Unaamini kuombewa utajirike?

Unafiki wa kutosha tu, lkn hiyo ya kuamini Mungu halafu usiamini uwepo wa contrary spirits ni zaidi ya unafiki, unaoambatana na uoga. Yaani ni as if usipoamini uwepo wa evil spirit then utakuwa safe from them evil spirits.
Of course hata yule asiyetambua uwepo wa Mungu, haumfanyi Mungu asiwepo. Ni sawa na kukimbia kivuli chako mwenyewe.
 
Naona mjadala umegeuka kuwa idealism versus materialism.

Actually umeanzia hapo hapo, sema labda umeenda deeper zaidi tu.

Mtoto anauliza swali based on the observation of the natural world kuhusu ideals notions ambazo hazipo supported na the natural world.

So haujahamia pembeni, umeenda deep palepale tu.
 
Sijajua kwa nini unasema kutoamini mapepo ni unafiki. Unakubali kuwa imani ni kitu unacho conceptualise?

Kama ni hivyo, ajabu iko wapi? Imani hazina proof, ni matofali unayoyajenga hewani. Sasa kila mtu anajenga huko, ila kajenga nini kila mtu ana lake.

Unaamini kuombewa utajirike?

Ninachoona hapa, kinachopingwa ni kujikanganya.

Mtu unasema unaamini mungu, kitabu cha mungu wako kinasema mapepo yapo, halafu wewe utasemaje huamini mapepo?
 
Imani ilikuwa ndio civilization ya mwanzo, iliyokuwa inajaribu kutatua matatizo ya wakati ule. Lakini si kila tatizo iliweza kutatua.

Ukienda kuombewa, unaambiwa imani yako ndio itakuponya, rejea kikombe cha babu.
Maana yake asiye na imani akafie mbele.

Lakini matibabu ya kisaikolojia ni fair kwa wote, sasa sijui unasema yako hafifukiaje. Mie naona yako more reliable.

j
Ilianza imani ndio hiyo ya saikolojia ikaja.
So mapepo (spirits) ndicho hicho wasomi mmetafutia misamiati fulani. Na mara nyingi solution za kiimani (sio ya kimagumushi) ni permanent kuliko rehabs na shrink sessions, au hata gereza.
 
Sijajua kwa nini unasema kutoamini mapepo ni unafiki. Unakubali kuwa imani ni kitu unacho conceptualise?

Kama ni hivyo, ajabu iko wapi? Imani hazina proof, ni matofali unayoyajenga hewani. Sasa kila mtu anajenga huko, ila kajenga nini kila mtu ana lake.

Unaamini kuombewa utajirike?
Huyo anayekuombea uwe tajiri, yeye kashakuwa tajiri?

Nipe address yake, nshachoka kupanda bajaji mimi.
 
Nimeona sana, lakini suala la mapepo bado silielewi na kuliamini.

Wewe kwako Mungu ni nani? Hapa ndio huleta tabu. Ndo maana kila siku huwa nasema, kutumia kitabu kimoja, hakifanyi muamini kitu kimoja au muwe na concept ya kufanana katika imani.

Naweza nikakupa maelezo yangu ukashangaa probability imeingia. Haya mambo ni conceptulisation tu.

bila kumdefine Mungu, biblia both aganos na actually agano jipya limezungumzia kuwa Yesu alitoa mapepo. Marco ana sura moja ameelezea vizuri juu ya yule mtu aliyetolewa mapepo yakaenda kwa kundi la nguruwe. Kikiranga huyo mtu alikuwa na mental disorder hadi akawa anaishi makaburini.
To you mapepo hayo aliyotoa Yesu ni nini?
Najua kuna scholars wengi wa kikatoliki wanajaribu kureason as scientific, kuwa Yesu akichokuwa anatoa sio mapepo bali ni hizo mnazoziita mental disorder. Whatever name you call it, bado itabaki kuwa ni kitu kinachoweza kuwa cast out by the name bigger than all names.

Na honestly, ukijifunza kuwa source ya all evil ni shetani mwenyewe, maisha yanakuwa rahisi sana.
 
Mtoto kuwa na imaginary friend kunaonyesha ana a very imaginative mind, usishangae baadaye akaja kuandika kitabu cha hadithi au kuwa a movie director.

Anachohitaji ni muongozo mzuri tu.

Seconded!
 
Mtoto kuwa na imaginary friend kunaonyesha ana a very imaginative mind, usishangae baadaye akaja kuandika kitabu cha hadithi au kuwa a movie director.

Anachohitaji ni muongozo mzuri tu.

Exactly....... Natumaini mama yake anaendelea kusoma na kupick yatakayo mfaidisha
 
Ninachoona hapa, kinachopingwa ni kujikanganya.

Mtu unasema unaamini mungu, kitabu cha mungu wako kinasema mapepo yapo, halafu wewe utasemaje huamini mapepo?

Take it from me..majority ya wanao pick and choose wana play watu akili.....deep down wana imani zao strong au hawaamini kabisa anything.....ni sawa na kumkuta Mchungaji mshirikina.....anaombea watu kumbe na yeye kwa siri anaenda Mlingotini.....huku kanisani anaponda mlingotini...
 
Huyo anayekuombea uwe tajiri, yeye kashakuwa tajiri?

Nipe address yake, nshachoka kupanda bajaji mimi.
Mzee wa Upako, riverside Ubungo.
Hivi Suleiman aliomba nini kwa Mungu na akapewa nini?
Are scared kwamba ukiomba usipewe imani yako uliyoirithi itashake? Hahahah, just kidding to mzee wa upako.
Ask chochote kwa Mungu atakupa kama ana uhakika kuwa utakitumia bila ubinafsi na kiburi.
 
Kweli mambo ya Child Development bongo bado kabisa.

Mtoto kadri anavyozidi kukua na kujitambua, udadisi na fikra zake nazo ndo zinazidi kupanuka.

Mtoto hawezi kufikiria vitu (vilivyopo na visivyokuwepo) kama akili yake haikui.

Kwa hiyo mtoto kuwa na marafiki wa kufikirika ni ishara ya kwamba ubongo wake una uwezo wa hata kufikiria mambo ya kufikirika (abstracts). Anakuwa anaonyesha uwezo wa kujenga taswira kichwani mwake si za vitu vilivyopo bali hata visivyopo. Hiyo ni dalili nzuri sana.

Hata sisi watu wazima hufikiria hayo mambo ya kufikirika lakini kwa vile akili zetu zinakuwa zimepevuka zaidi ndo maana pengine unakuta ni watu wazima wachache wenye marafiki wa kufikirika.

Kwani mnafikiri hata hivi vitu vilivyopo hapa duniani ambavyo vimetengenzwa na binadamu, wazo lilianzia wapi kama si kwa kujenga taswira vichwani?
 
Take it from me..majority ya wanao pick and choose wana play watu akili.....deep down wana imani zao strong au hawaamini kabisa anything.....ni sawa na kumkuta Mchungaji mshirikina.....anaombea watu kumbe na yeye kwa siri anaenda Mlingotini.....huku kanisani anaponda mlingotini...

Ndiyo maana nikasema hapa, for one to be a Pope, one must be a closet atheist or someone who totally suspended reason.

There is no way someone can gain the necessary theological training to become a Pope and believe in god without totally suspending reason.

Ukimsikiliza Pope Francis utamsikia polepole anaanza kuwafagilia atheists, anajitayarisha ili miaka ijayo atheism itakapokuwa mainstream watu waseme "Papa alishaanza kukubali atheism tangu 2014".
 
na kitabu kile kile kinasema dunia ni flat, niendelee kuamini?

Lazima kubadilika na uelewa wa dunia ya sasa, imani hizi pia zinabadilika. Wakati biblia inaandikwa uelewa wa mambo ulikuwa tofauti sana na sasa, sasa ukiamua kubeba biblia literally ni kujipasua kichwa.

Ndio maana kuna baadhi ya mambo zamani yalihesabiwa na kanisa katoliki kama mapepo, baada ya uelewa mpya wameyafuta.

Ndio maana kanisani tunasisitizwa kusoma biblia, na tafakari iongozwe na roho mtakatifu, huyo roho common sense ndani ya mtu inayomfanya kutengeneza mantiki ya aliyokisoma.
Ninachoona hapa, kinachopingwa ni kujikanganya.

Mtu unasema unaamini mungu, kitabu cha mungu wako kinasema mapepo yapo, halafu wewe utasemaje huamini mapepo?
 
Inategemeana huyu wa kwake alimpataje-kwa "Mzee wa upako" au "Kalumanzila"?

NB: All kids have Inquisitive Mind!

Hahahaa kuna majibu humu yameniacha hoi...
Mtoto hana tatizo lolote kabisa hata wa kwangu yuko bright hivyo hivyo but ukiangalia vizuri watoto wote wana akili na uwezo wa ajabu ni malezi na makuzi tu ndio yanachochea uwezo wa asili wa binadamu.
Acha ku associate haya mambo na vitu vya giza. Kila kitu ni Mungu
 
Back
Top Bottom