Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

Ha ha ha kama CNN 'wanavyotupakazia' kuwa tunaongoza kwa 'imani potofu' za kichawi....eehheee wakati tunaendeleza culture zile wenzetu wamezitupa...

Halafu hao wazungu ndo utajua 'hawaaamini kabisa dini' sababu unatajwa kwenye Bible but wao wanakwambia imani potofu zilizo athiri mno bara la giza la Africa.....very funny.....wao ndo waanzilishi wa 'pick and choose' ya wasomi wetu wa kibongo..
 
Mzee wa Upako, riverside Ubungo.
Hivi Suleiman aliomba nini kwa Mungu na akapewa nini?
Are scared kwamba ukiomba usipewe imani yako uliyoirithi itashake? Hahahah, just kidding to mzee wa upako.
Ask chochote kwa Mungu atakupa kama ana uhakika kuwa utakitumia bila ubinafsi na kiburi.
Heheheheeh.... huyo jamaa anayewaombea wawe matajiri anawakamua. Wanaendelea kuwa maskini na yeye anaendelea kuwa tajiri.

Bora nibaki na ukatoliki wangu, Paroko wangu napiga naye ulabu kama kawa....
 
Nimemuuliza Kaunga mbingu.na jehanamu viko wapi?

Kwenye dini tumeanishwa mbinguni juu huko mawinguni, sasa tunajua huko kuko wazi to to infin. Na jehanamu tumeaninisha ni huko chini, chini ya dunia.ni wapi?

Ukitaka imani iparaganyike beba mambo literally, ndio maana ruksa kutafakari.

[/FONT][/COLOR]
Kuna siku moja akamwuliza ankal wangu mmoja, 'mbingu' iko wapi? Ankal akakosa jibu!


Ndo tunatudi kulekule.....heaven is just an imaginary place.


So you can see who shaped my thinking.....
 
Last edited by a moderator:
Interesting. I read somewhere kwamba watoto wadogo up to 7 years na vichaa wana sixth sense ya kutambua vitu on extra dimensions ambazo wengine hawana.

The fact is our thought and mind (not brain) are energies and follow the laws of energy in quantum physics.

Kids brains has so much theta and delta brainwaves which has a direct connection to universal cosmic consciousness.

For those interested u may be aware that in the last 10 years science has been coming with lot of experiments and answers on questions regarding: extra dimensions, consciousness, thoughts, emotions, mind etc etc

"Extra dimension" in this context ni jitihada ya kufanya "mapepo" ya sound scientific zaidi.

Afadhali hata useme "the unknown".
 
Usijaribu Wala Kuthubutu Kumwambia Yeyote Kuhusu Hili Other Ways Your Son Will Loose Control, You Have To Be Careful And A Strongest Mother... Unachotajikiwa Kujua Mwanao He Have A Power, Psychic Power A Gift From God.. In Type Its A Mediumship - Ability to communicate With Spirits.. Huyu Ukileta Kujua Utamvuruga He Has A Powerful Mediumship.. Ukijidanganya Kumpeleka Kwa Waganga,Wapiga Ramli,wAKEmea Mapepo,mashehe Mapadre... Umempoteza Ushauri Wa Bure Huyo Hata Dhambi Hana Mfundishe Amjue Sana Mungu Sasa Hivi Ukimpeleka Huko Atabaki Boksi Trust Me..

#Rakims
 
Nimemuuliza Kaunga mbingu.na jehanamu viko wapi?

Kwenye dini tumeanishwa mbinguni juu huko mawinguni, sasa tunajua huko kuko wazi to to infin. Na jehanamu tumeaninisha ni huko chini, chini ya dunia.ni wapi?

Ukitaka imani iparaganyike beba mambo literally, ndio maana ruksa kutafakari.

Unaona sasa...? Hizo ni imaginary places tu. I call it religious utopia!
 
"Extra dimension" in this context ni jitihada ya kufanya "mapepo" ya sound scientific zaidi.

Afadhali hata useme "the unknown".

kuna channel ya walokole ya wamarekani wachungaji wanajibu maswali kwa ku quote scientists ....very funny...
 
Anything ambayo haiko institutionalized kwangu ni big no...

Hizi dini za one man show...bora nibaki huku huku katoliki...(maana naishi my life to the fullest si kuishi duniani kama mbinguni afu nikifika huko mbinguni niishije sasa)

Kuna jamaa alisema eti atawacheka sana wale waliojinyima siku wakifika mbinguni wakute hakuna moto...

Heheheheeh.... huyo jamaa anayewaombea wawe matajiri anawakamua. Wanaendelea kuwa maskini na yeye anaendelea kuwa tajiri.

Bora nibaki na ukatoliki wangu, Paroko wangu napiga naye ulabu kama kawa....
 
Ukimeza ndio utaanguka vibaya.

Unaamini.dunia na vitu vyote viliumbwa kwa siku 6 literally?

Reasoning ndio imefanya wazungu wengi these days wasiende church...

ili uwe na imani inabidi umeze kila kitu kama kilivyo...

The moment you begin asking why...hutakaa uamini kuna Mungu..
 
Mi mshua wangu mpaka siku yake ya mwisho alikuwa anasema uchawi, au purported nguvu za uchawi hazipo.

Kwenye dini, licha ya kusomea Seminari huko Sayu Sayu na kupata mafunzo ya Kikatoliki, alikuwa ni agnostic.


Mara nyingi sana alikuwa aki-debate na ndugu walio walokole na alikuwa anashinda mara zote.


Kuna siku moja akamwuliza ankal wangu mmoja, 'mbingu' iko wapi? Ankal akakosa jibu!


Ndo tunatudi kulekule.....heaven is just an imaginary place.


So you can see who shaped my thinking.....

Tunarudi kule kule nilikokusema hapo juu.

Watu waliopata formal theological training ama wanakuwa atheists/ agnostics, ama kuamini kuwapo kwa mungu wana suspend reason totally on the nitty gritty of the question of the existence of god na kuangalia mambo practical tu.

Mchungaji anaangalia anaona imani ya mungu imeleta some sort of social cohesion, na hawa masses ukiwaambia hakuna mungu labda hawana moral cultivation nje ya dini kuwafanya wafanye mema, anaona hata kama mungu hayupo kwa mujibu wa reason, acha niendeleze libeneke tu.

Angalau nitakuwa a cheap therapist wa ku offer comfort kwa watu masikini ambao hawawezi ku afford real therapy.

Ukisoma theological discourses on the existence of god, particularly the Judeo Christian god, it is very easy to see that god is a fad that cannot be proven.
 
Nimemuuliza Kaunga mbingu.na jehanamu viko wapi?

Kwenye dini tumeanishwa mbinguni juu huko mawinguni, sasa tunajua huko kuko wazi to to infin. Na jehanamu tumeaninisha ni huko chini, chini ya dunia.ni wapi?

Ukitaka imani iparaganyike beba mambo literally, ndio maana ruksa kutafakari.

Ujue watu wa enzi za Biblia walikuwa ma illiterate to the core lakini sasa tupo kwenye era ambayo ipo way too advanced na tunapoenda uko mbeleni uwezo wa binadamu unazidi kuwa kwa hali ya ajabu......
Inanishangaza wakati mwingine lakini knowledge now ipo in abundance ni kutip tu kidogo.....
 
Last edited by a moderator:
Anything ambayo haiko institutionalized kwangu ni big no...

Hizi dini za one man show...bora nibaki huku huku katoliki...(maana naishi my life to the fullest si kuishi duniani kama mbinguni afu nikifika huko mbinguni niishije sasa)

Kuna jamaa alisema eti atawacheka sana wale waliojinyima siku wakifika mbinguni wakute hakuna moto...
Hahahahaha.... Au umkute Mungu wakati wa hukumu anamimina Safari Lager kwa glasi na kuigida glasi nzima kwa mkupuo.....
 
Na Mungu ni nani, yukoje?

Mungu na shetani, in the commonly accepted format bongo (Judeo Cristian/ Islam) are logically inconsistent.

Therefore cannot exist in the framework of logic/reason.
 
Usijaribu Wala Kuthubutu Kumwambia Yeyote Kuhusu Hili Other Ways Your Son Will Loose Control, You Have To Be Careful And A Strongest Mother... Unachotajikiwa Kujua Mwanao He Have A Power, Psychic Power A Gift From God.. In Type Its A Mediumship - Ability to communicate With Spirits.. Huyu Ukileta Kujua Utamvuruga He Has A Powerful Mediumship.. Ukijidanganya Kumpeleka Kwa Waganga,Wapiga Ramli,wAKEmea Mapepo,mashehe Mapadre... Umempoteza Ushauri Wa Bure Huyo Hata Dhambi Hana Mfundishe Amjue Sana Mungu Sasa Hivi Ukimpeleka Huko Atabaki Boksi Trust Me..

#Rakims

Jifunze kuandika vizuri halafu acha u copycat
 
Nimemuuliza Kaunga mbingu.na jehanamu viko wapi?

Kwenye dini tumeanishwa mbinguni juu huko mawinguni, sasa tunajua huko kuko wazi to to infin. Na jehanamu tumeaninisha ni huko chini, chini ya dunia.ni wapi?

Ukitaka imani iparaganyike beba mambo literally, ndio maana ruksa kutafakari.

Umeniona nabishana na mtu asiyeamini uwepo wa Mungu? Au kubishana na muislamu, muhindu au mbudha? Sibishani nao kwa sababu hatuamini sawa.

Nabishana na mkristu na hasa mkatoliki coz licha ya kuchangia kitabu lkn hata kanuni yetu ya imani ni moja.

Sasa ukiniuliza mbingu uwepo wa mbingu au mapepo ni sawa na kuchallenge imani yako mwenyewe.

Mungu tunaambiwa ktk katekismu kuwa YUPO MAHALI POTE, wewe unapinga kuwa space ni empty. Na unatumia 5 senses kuprove emptiness ya space. Sasa si bora uwe kama Kiranga.
Kumbuka na katekisimu hiyo hiyo inasema MUNGU NI ROHO, sasa unataka Mungu awe matter ili awe na weight na aoccupy space.
 
Last edited by a moderator:
Unataka niamini dunia na vilivyomo viliumbwa kwa siku 6? Like real real 6 days bila kujali uelewa uliopo sasa hivi? You must be kidding, siku 6 kwangu ni kiwakilishi tu cha process nzima.

 
Last edited by a moderator:
Ujue watu wa enzi za Biblia walikuwa ma illiterate to the core lakini sasa tupo kwenye era ambayo ipo way too advanced na tunapoenda uko mbeleni uwezo wa binadamu unazidi kuwa kwa hali ya ajabu......
Inanishangaza wakati mwingine lakini knowledge now ipo in abundance ni kutip tu kidogo.....

Ndo hapo sasa.

Mtu anapewa evidence zote kuonyeshwa kwamba biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu tu, chenye makosa kibao.

Lakini bado anakwambia biblia ni kitabu cha mungu.

Kama ni kitabu cha mungu kweli kwa nini aruhusu kiwe hata na kosa moja? Wakati ana uwezo wa kuzuia?

Kadiri tunavyoenda mbele huko ndivyo pazia la kututia ujinga linavyofunguka.

Kama mungu ana uwezo wote, ana upendo wote, anawapenda viumbe wake sana, ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao una mazuri tu, mabaya hayawezekani.

Kwa nini kauumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana na kututia mateso?
 
Back
Top Bottom