Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

kuna filam moja Demi Moore alikuwa m,walimu wa day care basi wakati anawafundisha watoto kuhusu Virgin Mary,,,Mtoto mmoja akamuuliza 'what is the meaning of virgin'? akajibu 'the woman who has never had sex' motto akauliza tena ' what is sex'? akajibu 'sex is what people do have babies' motto akauliza 'are you virgin'? akajibu hapana ..motto tena akauliza 'why you are not virgin and you don't have a baby'..? mwalimu akashindwa kujibu kitu...it was funny...
 
Ni kawaida, ila huku kwetu ni mapepo, bado tuna safari ndefu.

Yeah bongo mambo mengi yanaenda kiimani imani tu.

Hata ukiugua malaria wapo wataoamini kuwa umerogwa na kuugua malaria.
 
Jaribu kukaa nae kwa karibu, fuatilia michezo yake, achana na habari ya kumuonyesha au kumruhusu kutizama katuni za ajbu ajabu. otherwise mpeleke kwenye maombi
 
Umenisaidia kwenye vyakula.

Kuna saa tukimaliza kula mtoto anakuwa amechangamka hadi natamani kujifungia ndani. Ataruka ruka na kuzunguka nyumba nzima na maneno lukuki.

Mie huwa namwambia tu, nguvu zako za chakula usiharibu vitu, sijajua hasa ni vyakula gani, ila soda imo, anaweka maliza 2.

Hiyo ni very normal kwa mtoto wa kuanzia miaka 4 mpaka 10 wala usiwe na wasi wasi.

Miaka hiyo ndiyo watoto wanakuwa "inquisitive" sana na wana "experiment" kila kitu.

Na watoto hutofautiana, wapo ambao wanakuwa "hyper" kwaa ajili ya vyakula aina fulani na huwafanya wawe na maswali ya ziada.

"Illusions" za "imaginative mind" ya mtoto ni tofauti na mtu mzima na huyo wako kwa kuwa ni mchangamfu na muongeaji, amma natural amma kwa aina fulani ya vyakula basi ana "express" kwa muono wake, na wala si kitu cha kushangaza na usiwe na wasi wasi.

Jaribu kuchunguza diet yake na akila vyakula vipi huwa anakuwa hivyo. Wengine huwa vitu vitamu na vyenye sukari nyingi kama, pipi, chocolate na hata maziwa au chai huwafanya kuwa "hyper" na ikiwa-kolea huwa na extra energy na kuwa na mambo ya ajabu ajabu, kama kuongea sana, ku express illusions zao, kucheza sana bila kuchoka haraka, au kwa Kiswahili husemwa wamechacharaa.

Usiwe na hofu, mpunguzie vitu vitamu uone mabadiliko.
 
Yeah bongo mambo mengi yanaenda kiimani imani tu.

Hata ukiugua malaria wapo wataoamini kuwa umerogwa na kuugua malaria.

Chanzo cha imani zote ni dini as long as people wanaamini dini imani za kishirikina pia hazitakoma....only nakuelewa wewe ambae huamini dini ukisema huamini imani za kishirikina....but ukikuta mtu anajifanya haaamini ushirikina yet ni mpigania dini yake ujue kuna unafiki mkubwa in between.....
 
Kuna watu wachache hii hali imaginary friends inakuwa persistent hadi kwenye utu uzima. Hawa nadhani huwa ni tatizo.

Kuna mdada sikumbuki ni mwigizaji au mwanamziki, alikuwa na hii hali hadi utu uzima. Kuna siku walimkuta nje ya mji kabisa ameenda sijui kumtafuta nani kwenye nyumba ambayo hata hawamfahamu.

Nikimkumbuka ntaweka jina lake.
 
Mhhhhhh tufundisheni jamani ili tukipata watoto tusije kuwakimbia. NYANI NGABU& FAIZA FOX
 
Kuna vitu hatuvijui, basi inakuwa mapepo. Sometimes hata nightmares zinahusishwa na mapepo.

Ukitaka kuona jirani yako anahaha kwenda kwa waganga fanya hivi...

Tafuta kinyago cha kike, halafu tafuta kitambaa ukiandike maneno mawili matatu ya kiarabu (yasiyo hata na maana yoyote), halafu kivishe shanga zile za kimasai halafu usiku kakiweke getini au kirushe ndani ya ukuta kama anao...
 
ha ha ha, tena ukihusisha kiarabu ndo kabisaaa. Unakumbuka yule nyoka wa Arusha aliyekutwa na maandishi ya kiarabu?

Huyo jirani akikugundua anakumaliza kwa panga. Mie kuna mahali nilifika wanaogopa bundi hadi basi, akilia tu watu wakimbilia ndani wake kwa waume.

Bundi mwenyewe anakuwa amatafuta chakula tu.

Ukitaka kuona jirani yako anahaha kwenda kwa waganga fanya hivi...

Tafuta kinyago cha kike, halafu tafuta kitambaa ukiandike maneno mawili matatu ya kiarabu (yasiyo hata na maana yoyote), halafu kivishe shanga zile za kimasai halafu usiku kakiweke getini au kirushe ndani ya ukuta kama anao...
 
unajua ishu za imani nyingi zina scientific explanations haimaanishi baada ya scientific explanations watu wanaacha imani...wengine scientific explanation ndo inazidi kuawaaminisha imani zao...
Halafu kutengeneza scientific or rather psychiatric explanation sio kazi sana kwa sababu huhitaji ku-prove chochote ni kiasi cha kuelezea tu.
 
And you still consider that normal? kama si nguvu za giza basi psycho case...
kuna vitu vinahitwa sijuhi personality disorders...

Back
Top Bottom