Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

Mhh afadhali hata unanitoa wasiwasi maana hilo liliniogopesha kwakweli

Your toddler has a new best friend, Mikey. Mikey is always available to play, shares your child's every interest, never demands special food or toys, and never has to be picked up or taken home. Sounds too good to be true? It is. Mikey is a figment of your child's imagination.

Many young children (about 65 percent) develop imaginary friends between the ages of 3 and 5, at a time when they are beginning to form their own identities and test the boundaries between fantasy and reality. Although it was generally believed that children outgrow imaginary friends by the time they enter school, research shows that nearly one-third continue to play with imaginary friends through age 7.

Bofya hapa kwa taarifa zaidi.
 
interesting ngoja aje Kiranga Pasco MziziMkavu EMT FaizaFoxy na wengineo tujifunze kitu

Watoto kuwa na imaginary friends ni kawaida sana Bossman. Cheki hicho kipande cha makala nilichokibandika hapo juu.

Hata wa kwangu alikuwa na imaginary friends wakati akiwa na umri wa kuanzia miaka 4.

Sielewi kwa nini watu muone hilo kuwa ni jambo la ajabu!

Ni kwamba Tanzania hakuna tafiti nyingi zinazohusu watoto na utoto?
 
Kuna mashetani pia...tatizo ni pale utakapochanganya devil and angel...

Huwa sipendi nguvu za hajabu hajabu...too risk...amuombee ili kieleweke kama huyo spirit ni angel or devil...

Kama Mungu anavyopenda watoto na shetani pia...

Kuna mama alikuwa na mtoto mchawi yeye hajuhi hili wala lile...

Kumbe uchawi alipewa na bibi yake ambaye alimuomba ampe company hivyo alilelewa kijijini...bibi kafa ameacha ka mtrain mjukuu...

ipo imani kwa dini zote kuhusu 'guardian angel'..inaaminika watoto wengi wanalindwa na huyo 'guardian angel'..
 
Watoto kuwa na imaginary friends ni kawaida sana Bossman. Cheki hicho kipande cha makala nilichokibandika hapo juu.

Hata wa kwangu alikuwa na imaginary friends wakati akiwa na umri wa kuanzia miaka 4.

Sielewi kwa nini watu muone hilo kuwa ni jambo la ajabu!

Ni kwamba Tanzania hakuna tafiti nyingi zinazohusu watoto na utoto?

unajua ishu za imani nyingi zina scientific explanations haimaanishi baada ya scientific explanations watu wanaacha imani...wengine scientific explanation ndo inazidi kuawaaminisha imani zao...
 
unajua ishu za imani nyingi zina scientific explanations haimaanishi baada ya scientific explanations watu wanaacha imani...wengine scientific explanation ndo inazidi kuawaaminisha imani zao...

Pamoja na hilo, ufahamu wa Watanzania wengi kuhusu mambo ni mdogo sana.

Kwa mzazi yeyote yule, kama huwa anampeleka mwanae kwa pediatricians haya mambo ya imaginary friends yasingekuwa mageni kabisa.

Mimi nimeyajulia huko huko kwa pediatricians nilipokuwa nampeleka bi mdogo. Huko mtaongea mambo mengi kuhusu maendeleo ya mtoto, mambo ambayo wewe umeya-observe, mambo gani uyatarajie, na kadhalika.

Sasa bongo watoto wakipelekwa kliniki wazazi na hao pediatricians huwa wanajadili mambo gani?

Yaani watu mnashangaa watoto kuwa na imaginary friends? SMH kwa kweli!
 
It's normal, Watoto wa siku hizi wajanja sana. Kuna niece wangu ana 6 years yupo grade tu ana tabia kama hizo.

Halafu ye anakuchambulia hata mambo ya space, aliens na science kwa upeo wa hali ya juu.

Pia kuna wakati alimwamsha mama yake akawa anamwonyesha kwenye kona ya chumbani anasema kuna mtu amesimama pale. It kind of scary sometimes.
 
Ni kawaida sana.

Hata Wiki kuna entry ya 'Imaginary friend'

Imaginary friends or imaginary companions are a psychological and social phenomenon where a friendship or other interpersonal relationship takes place in the imagination rather than external physical reality. Imaginary friends are fictional characters created for improvisational role-playing. They often have elaborate personalities and behaviors. Although they may seem very real to their creators, children usually understand that their imaginary friends are not real.[SUP][1][/SUP] The first studies focusing on imaginary friends are believed to have been conducted during the 1890s.[SUP][2][/SUP]
Imaginary friends are made often in childhood, sometimes in adolescence, and rarely in adulthood
 
Kuona vitu viwili viwili si ajabu, ukifanya maiengeza unaona viwili. Hebu weka kidole karibu na pua na ukitazame kwa macho yote mawili, then angalia vitu vingine utaona viwili.

Kuhusu immaginary friends/worlds kuna wataalam wa afya wataliongelea.
 
hujamueleza mumeo{kama unae??} maana mnapenda kufanya
mambo kisiri mwisho wa siku kikinuka ndo mnaanza
kubwaga manyanga...!!
 
Unaamini watoto wakiwa tumboni wanakunywa damu? Kama unajua si kweli, kwa nini unaamini?

Watoto wote huwa inawawia tabu kuelewa mambo ya Mungu, sababu ni mageni kwao, na hayana ushahidi.

Kijana wangu mdogo alishashindwa kuelewa Mungu alitokea wapi, ukimwambia alikuwepo siku zote ndio kabisaa anakujibu,its impossible.
 
Mchunguze anapendelea kitu gani kwa mfano mpira wa miguu, au mchezo wowote basi wewe mng'ang'anize(akulie katika kitua anchokipenda) tunaweza kuja kupata mchezaji wa kutuwakilisha kimataifa, au mtengeneza silaha na mengineyo. Huwezi jua
 
Hiyo ni very normal kwa mtoto wa kuanzia miaka 4 mpaka 10 wala usiwe na wasi wasi.

Miaka hiyo ndiyo watoto wanakuwa "inquisitive" sana na wana "experiment" kila kitu.

Na watoto hutofautiana, wapo ambao wanakuwa "hyper" kwaa ajili ya vyakula aina fulani na huwafanya wawe na maswali ya ziada.

"Illusions" za "imaginative mind" ya mtoto ni tofauti na mtu mzima na huyo wako kwa kuwa ni mchangamfu na muongeaji, amma natural amma kwa aina fulani ya vyakula basi ana "express" kwa muono wake, na wala si kitu cha kushangaza na usiwe na wasi wasi.

Jaribu kuchunguza diet yake na akila vyakula vipi huwa anakuwa hivyo. Wengine huwa vitu vitamu na vyenye sukari nyingi kama, pipi, chocolate na hata maziwa au chai huwafanya kuwa "hyper" na ikiwa-kolea huwa na extra energy na kuwa na mambo ya ajabu ajabu, kama kuongea sana, ku express illusions zao, kucheza sana bila kuchoka haraka, au kwa Kiswahili husemwa wamechacharaa.

Usiwe na hofu, mpunguzie vitu vitamu uone mabadiliko.
 
Labda ukisema wewe ndo baadhi ya watu watakubali.
 
Back
Top Bottom